Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Na hiyo hasara ya upande wa ukraine waliyo toa mabeberu bado imeficha ukweli .....ukweli ni kwamba urusi kateketeza silaha mara mbili hadi 3 ya hizo pamoja na ndege za kimarekani zinazo ongozwa bila ya rubani kutokea pentagoniZa Urusi simnajaua idadi yake. Si kila siku mnasema Urusi kapoteza zaidi kuliko Ukraine ndio mtuambie sasa ngapi kwa ngapi. Maana ndio kwanza leo ndio tunasikia hasara ya upande wa Ukraini.
Mshaa anza kulia lia eeh!Si mlimuwekea vikwazo Russia mkajua yeye atakufa njaa matokeo yake nyie ndio mnalia njaa[emoji1787].Nyie si mlisema Russia wanajeshi wake hawana chakula duuh kweli machoko safari hii moto mnapelekewa.Putin ongeza kupaka mkongo...Putin anaanza kuua Waafrika kwa njia ya njaa kwa sababu ameshambulia Ukraine. Nafaka za Ukraine haziwezi kupelekwa tena kwenye masoko ya Dunia. Bei zinapanda. Watu maskini wanaona njaa. Hasa nchi kama Ethiopia, Somalia na Kenya zinazotegemea misaada kutoka mashirika ya kimataifa ambayo yanakosa hela kulipa bei mpya.
Waumini wake wanaendelea kumwabudu . . .
Kweli kabisa ujinga mzigo kweli. Hawa PRO-NATO hawana uwezo kabisa wa kuchambua, hapo na yeye anajiona kachangia kitu kikubwa ama kweli JF ni sehemu ya vituko na leo ndio nimejua kumbe USA sio NATOFicha upumbavu wako...
Putin anaanza kuua Waafrika kwa njia ya njaa kwa sababu ameshambulia Ukraine. Nafaka za Ukraine haziwezi kupelekwa tena kwenye masoko ya Dunia. Bei zinapanda. Watu maskini wanaona njaa. Hasa nchi kama Ethiopia, Somalia na Kenya zinazotegemea misaada kutoka mashirika ya kimataifa ambayo yanakosa hela kulipa bei mpya.
Waumini wake wanaendelea kumwabudu . . .
Hivi unafikiri kwa nchi zetu maskini ni rahisi kufanya biashara na adui wa USA?Mkuu, tafadhali ukijibu soma kwanza unachotaka kujibu!
Niliuliza "Tafadhali utueleze namna gani ni vikwazo vya magharibi?" -
1) nani anazuia Urusi kupakua mbolea na ngano kwenye meli zake??
2) nani anazuia meli za Urusi Superpower kuondoka bandarini?
3) Nani anazuia meli za Urusi Superpower kufika Afrika, Asia, wapi (zinazuiliwa katika nchi za NATO, japani, Korea, Australia..)
4) nani anazuia nchi zisizo na NATO kulipa Urusi SupaPawa kupitia benki za Kirusi ambazo zinaendelea kushiriki kwenye SWIFT ???
(Menginevyo A: Nimeona taarifa kwamba meli ya Kirusi iliyobeba ngano ilyoibiwa katika ghala za Ukraine ilikataliwa kwenye bandari ya Misri ikaendelea hadi Latakia - Syria - ambako waliondoa ngano, sasa wanaweza kuiuza kama ngano ya Syria; uwezekano mkubwa haikuwa kazi ya serikali ya Putin lakini ya majenerali wahuni waliolenga kujipatia faida ya pembeni..)
(Menginevyo B: ukisema "to hell with Ukraine and the West" - ongeza "Afrika" )
Kabisa.Uzito siyo mass mkuu
Mbona wako umeuweka peupe?Ficha upumbavu wako...
Ficha upumbavu wakoMbona wako umeuweka peupe?
Kwahiyo unakubali kuwa vitu vingine USA hana. Hiyo kiboko yake hypersonic MissileUmeona hii Harrier matako ya Nyani kutoka Britain? Russia wakiona tuu wanajiharishia👇
View attachment 2235024