NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Ukiona hivyo ujue ni hao vijana 2000's hakuna wanachowaza positive. Ukiwasikiliza ni Urusi piga ulaya,piga marekani. Ukiwauliza utapata faida gani?. Hawana majibu. Mawazo yao yapo tu kwenye kula tunda kimasihara.Miafrika Ni mijitu ya ajabu Sana..
Sielewi mnaoshangilia Vita mna matatizo gani..
Ndio maana nikamwambia The Sunk Cost Fallacy kuwa afiche UPUMBAVU wake, na kwa kuwa ni MPUMBAVU hakuelewa upumbavu gani anaopaswa aufiche...Kweli kabisa ujinga mzigo kweli. Hawa PRO-NATO hawana uwezo kabisa wa kuchambua, hapo na yeye anajiona kachangia kitu kikubwa ama kweli JF ni sehemu ya vituko na leo ndio nimejua kumbe USA sio NATO
Hana Yule,angekuwa nazo Basi ,angekua anajua kitakachoenda kutokea na angepeleka ambazo hazibanikwi.Unazani USA Haina laser weapons? Jidanganye hizo Dola Bil 40 subiri utaona zinachoenda kufanya huko
USA kapata dhaifu wake wa kumpumulia kisogoni, miezi mitatu maneno haya hayajazungumza Ukraine. Mjerumani mwanzoni kabisa alikuwa na maneno ya vitisho kwa Russia kilichotokea Mrusi akasema maneno ya ujerumani ni tishio kwa usalama wa Urusi na warusi tutawapa jibu, muda si mrefu mbabe wa vita PUTIN akaagiza vikosi vyote viwe tayari kwa uvamizi kutoka Ujerumani hapohapo Germany akafyata mkia.Kuna habari zingine ukizisikia unajiuliza hawa viumbe wengine wanatafuta nini kwenye uso wa dunia. Kama hiyo jeuri wanayo si waende Official hapo Ukraine π€
View attachment 2235119
π΄ BREAKING
Biden: We are ready to get militarily involved if there is a military attempt against Taiwan!
Mkuu hakuna kitu kibaya duniani kama dhana, baadhi ya ndugu zetu wameshaaminishwa hivyo kwamba wanaotengeneza hayo madude si warusi asili wala wamarekani asili bali ni wayahudi, yaani sometimes ni kama ugonjwaUmejibu kiwepesi na kwa hoja dhaifu sana ila sio kosa lako ni ufahamu tu.
Hivi kuwepo raia wa Israeli sehemu ndio kigezo Cha nchi kuwa na maendeleo makubwa ya kitechnolojia? Kama ndivyo waisraeli hawapo Kenya na Burundi? Kama wapo, wameweza kuyafanya yanayofanywa na walioko USA au Russia? Je,uwezo wa waisraeli wote kiakili upo sawa?
Hiyo haiwezi kukaa kwenye anga ya Russia hata kwa sekunde tano.. Mnadanganywa na hayo mapicha ndio maana mnawehuka na mahaba niue. Unakumbuka ile drone ya USA ambayo walisema ni very expensive na kujinadi haiwezi kuonekana na rada yoyote ile ambyo haikuchukua hata sekunde tano kwenye anga ya Iran?
Kwa hilo sawa Ukraine wanahitaj mafunzo ya mda kidogo ,maana wakitegemea silaha hafifu watapotea,NATO anatafuta sababu ya kuingia direct ila mrusi naona anakwepa ,kama mtego wa Finland na SwedenTatizo silaha za maana walizo nazo NATO ni too advanced, kwa mfano ndege za kisasa za Sweden hakuna rubani hata mmoja Ukraine anayeweza kuendesha.
Huyo Mrusi anatamaniwa sana na NATO.
[emoji23][emoji16][emoji16] jamaa wanasumbuka sanaBebii Joseph yawezekana hajui katika nchi za Ulaya Waisrael wengi wanapatikana Ukraine na ndiko wanakoshikishwa adabu.[emoji1]
Hawa jamaa ni kugombanisha tu wenzaoBiden announced the readiness of the US military participation in the defense of Taiwan "in the event of an invasion."
View attachment 2235123
Na mimi naomba nijazie nyama mdau,Kabisa.
Mass= tungamo kiasi cha mada kinachounda hiyo kitu. Hupimwa kwa kilogram
Weight= uzito hpimwa kwa Newton
Hii yote nikatika muendelezo wa kumzarau na kucheza na akili ya babu Biden.[emoji298]οΈ The Japanese Prime Minister invited the US President to hold the next G7 summit in the Japanese city of Hiroshima
Kuna habari zingine ukizisikia unajiuliza hawa viumbe wengine wanatafuta nini kwenye uso wa dunia. Kama hiyo jeuri wanayo si waende Official hapo Ukraine π€
View attachment 2235119
π΄ BREAKING
Biden: We are ready to get militarily involved if there is a military attempt against Taiwan!
Yaani mjiunge NATO 30 kwa kujilinda dhidi ya nani !?? URUSI BABA LAO....
Na ndio maana hawataki tujiunge wanajua tukijiunga hawana chao tutakua na nguvu kijeshi,uzalishaji wa bidhaa kote viwandani na mashambani hivyo hatutakua tegemezi kwao.Hivi unafikiri kwa nchi zetu maskini ni rahisi kufanya biashara na adui wa USA?
Africa wanatamani kwenda urusi kununua mbolea na mafuta lakini wakimkumbuka usa wanakua wadogo,
Wanajitoa akili tu.. waijua hiyo teknolojia vizuri tu, kama ilivyo RADAR(Radio Detection And Ranging) kuna teknolojia mpya inaitwa LADAR(Laser Detection And Ranging) hiyo hufanya kazi kama Radar lakini yenyewe ina more accuracy sasa hapo Rusia niwamefanya modification kwa kuongeza intensity ya hiyo laser light tu nakuifanya hiyo LADAR kuwa weaponHata wao hii technology wanadai hawaifahamu (wanasema ni imaginary)
Coz inatumia mionzi kuchoma drone iliyo umbali Zaid ya km 5
Hii Vita inaweza kuonyesha uhalisia wa silaha za ajabu walizonazo RUSSIA
Kuheshimiana Dunia π€. America na Ulaya SII wamiliki wa duniaMiafrika Ni mijitu ya ajabu Sana..
Sielewi mnaoshangilia Vita mna matatizo gani..
Naam Jombaa, vile vile a body can become weightless if its accelerated at constant velocity, kwamba changes ya Velocity inakua zero hivyo Acceleration inakuwa zero vile vile... Ukija kwenye W=ma.A man can become weightless akiwa exposed kwenye Zero Gravitational force i.e W=mg ila never ever huezi kuta mahala binadam au kitu kikawa na tungamo (Mass) zero.