Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Walianza wao kumzuia kutumia Dollar, Euro, kumuondoa kwenye mfumo wa SWIFT akaona isiwe Tabu, tumieni sarafu yangu wanalalama.

Wakakusanyana kwa wingi vikao kuweka, wakahitimisha kwa vikwazo juu ya vikwazo, wamezuia meli za kutoka Russia, wamezuia mifumo ya ulipaji, leo chakula kinabaki kwenye soko la Russia wanatangaza dunia itaingia kwenye njaa kwasababu ya Fujo za Mrusi.

  
Akawatangazia wasipeleke silaha Ukraine, kwani kufanya hivyo watazidi ku-worsen hali iliyopo, hawakumskia. Akaacha njia ya reli iendelee kutumika kwa usafirishaji kawaida wao wakaona ni udhaifu wakaendelea kupitia mwanya kusafirisha silaha zao, reli ikabomolewa wanatangaza Russia anaharibu miondo mbinu muhim ya usafirishaji.

 
Kiu ya kuendelea kutuma silaha haikuishia hapo, wakawa wanatumia bandari ya kule Odessa kuingizia shehena za silaha, Bandari ikadhibitiwa wanatangaza Russia anazuia chakula 🤔

Wakasema jeshi la Urusi dhaifu, wanajeshi hao wana njaa, hawana chakula, kipondo kinaendelea zaidi kuwa wanashinda Vita, hawakuishia hapo wakasema watapigana na watamdhibiti mrusi, leo wanatangaza hii vita haiwezi kuisha kwa mapigano bali kwa diplomasia.

Ukraine is winning yet thousands of their soldiers wanajisalimisha kwa "anayeshindwa", how is it Possible for the winning side to surrender in such a mass to the loosing side?

Wamezuia mali zenye thamani ya more than half a trillion dollars kutoka Russia. That was okay, kazuia meli kutoka bandarini inatangazwa hii kua sio sawa. Hii double measures inatoka wapi wadau?

Even thou you don't support Russia, you don't agree with Russian Operation. How comes for you, Pro-NATO mpo comfortable believing in such vitu vya namna hiyo? Are you dumbs?

Why you guys mpo like a programmable software, that always execute the same command hata kwenye different scenarios until when developer will decide to change the code? Are you bots😂?

Uelewa wenu unatia mashaka mno, kama ni limbwata limewakolea si haba...🙌
 
Naomba unielimishe kuna vikwazo gani zinazohusu vyakula na mbolea kutoka Urusi ? Nani anazuia meli kutoka kwenye mabandari ya Urusi? Nani anazuia meli zake kufika mabandari ya Afrika? Nani anazuia nchi yoyote kulipa bidhaa kutoka Urusi kupitia benki zinazoendelea kupokea malipo ya gesi na mafuta?
Sijui mfano wowote,, nimetafuta!
Lakini ninaweza kukuambia ni nani anayezuia meli kutoka kwenye mabandari ya Ukraine na hivyo kusababisha uhaba wa nafaka kwenye masoko ya Dunia . Njaa na vifo ni matokeo yake katika nchi zinazohitaji kuingiza vyakula.
Kuhusu hali ya vyakula tanzania unasema kweli; isipokuwa hata hapa unga wa ngano unaingizwa kutoka nje nisipokosei, hii sababu ya kupanda bei ya chapati ("In 2020, Tanzania imported $219M in Wheat, becoming the 53rd largest importer of Wheat in the world"), pamoja na mafuta ya kupikia.
Mafuta ya diseli: bei zimepanda kwa sababu vita inaleta vurugu kwenye masoko. Vikwazo ni hatua zilizofuata vita. Uhindi inanunua mafuta kutoka Urusi, hakuna anaye wazuia. Marekani inajaribu kuwashawishi Wahindi wasiendelee kununua kwa Putin lakini hawana uwezo kuwazuia.
 
Miafrika Ni mijitu ya ajabu Sana..
Sielewi mnaoshangilia Vita mna matatizo gani..
Hakuna anayeshangilia vita!! Kinachosemwa hapa ni kwamba Marekani ni mhuni!! Ndiye anayeshangilia vita na hataki mapatano ya amani ili auze silaha zake!! Kwa uchoyo hataki hata wengine wauze ila yeye tu!! Sasa tunachoshangaa ni kwamba hata silaha zake juzi juzi zimeangamizwa kwa halaiki hadi Zalensyky akaanza kusema njia pekee ya kumaliza vita ni ya kiplomasia!! Japo NATO wanaotaka kuendelea kuuza silaha wamegoma! Marekani hana tatizo la kupeleka silaha zingine baada ya zile za mwanzo kuunguzwa, si hapeleki bure!! Hajali kuwa watu wanakufa, anachojali ni kuwa muamala unasdoma!!
 
mtoto wa putin anafuata dushe west halafu wajinga humu wanasema urusi ni super power
 
Mkuu nimetumia lugha rahisi Ili kila msomaji aelewe!Kupunguza weight nakomaanisha ni kupunguza tension kwenye rope itakayounganishwa kati ya helcopter na parachuti!Net weight experienced by the helcopter inakuwa imepunguzwa Kwa parachute kutoa upward force!
 
🤣🤣🤣Vijana wengi hawajui beef la USA na Russia lilianzia wapi ilihali wote walikuwa wamoja katika vita ya pili ya Dunia wakasome wajue
Urusi na Marekani hawakuwa pamoja kwenye vita kuu ya pili bali walikuwa wanampiga adui mmoja Hitler aliyekuwa pamoja na Japan iliyomshambulia Marekani!! Kuonesha kuwa hawakuwa pamoja mara baada ya vita kuu ya pili Marekani alianzisha NATO kujilinda dhidi ya Urusi na Urusi wakati huo ikiwa chini ya USSR ikaanzisha WARSAW PACT kujilinda dhidi ya NATO!! Kila mmoja alikuwa anampiga Hitler kivyake!! Hawakuwahi kuungana kama jeshi moja la muungano!! Ni sawa na majirani wahasimu wakivamiwa na simba wote watamshambulia kwa pamoja!! Lakini baada ya kumuua simba uhasimu wao upo pale pale!! Simba alikuwa anatishia maisha ya wote!!
 
Russia aondoe majeshi yake kwenye ardhi ya Ukraine na awe tayari kubeba gharama za uharibifu aliofanya. Period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…