Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii CV ntairudia baasae Bata batani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia anamdhalilisha sana baba mkubwa ,ninavyoijua Russia hatoridhika na Range ya 5km ya hizo laser lazima ataenda beyond. Akifikia range ya km 2000 ataweza kutungua chochote ndani ya ulaya
Hawa watu wapo mbali saana aise
Hapo USA aweze kuhusu
S-400
S-500
na bado kuna hako kachoma drone najua mwakani Rwanda ataenda kuulizia bei then 2025 atazinunua
 
Mwanajeshi akifia vitani sio big deal
Nimeona like haitoshi....
Sijui kwa nn sisi Africans bongo zetu n finyu ivyo wale toka mafunzoni wanajua wanacheza na mabomu,mapanga,mishale,sumu sasa apo mtu anaponaje yaan uhai wako uko salama kama hakujatokea kazi sasa kazi imekuja kifo n sehemu ya wajibu wake.
Sasa unakutana na mjomba nshomari kavimbiwa mihogo analaumu watu(mwanajeshi)kufia kazini kwake ikitokea raia hayo n makosa na huwa wanawajibishwa.
 
ha ha ha - yaani huo ubavu autoe wapi, Mziki wa NATO ni balaa !! wale ndani ya masaa 4 tu wanaweza kupiga vinu vyake vyote vya nuclear anavyotamba navyo !!

Ukraine tu inamtoa jasho mwezi wa pili sasa ngoma isambe, itakuwa NATO.
Kama walibeza lraq, Libya na nchi zingine,kwanini washindwe Urusi? ukweli wanaujua na balaa la Urusi wanalijua.
 
Sisi nani anatuzuia tusinunue mafuta ghafi Russia na tukatenga fungu la dharura kufufua refinery ya mafuta ghafi hayo pale Kigamboni ?

Sawa, ngoja nikubali yaishe. Umeshinda! mchana mwema mkuu.
By the way pole sana... Pole sana ase.

Huwa nashangaa sana mnavyowapa mda wenu kwenye majadiliano ilhali mwisho wake mnaufaham kua atachagua kutokuelewa.

Utabishana vipi na Robots jomba? 😂😂😂

Em tueni serious mda mwingine, Ignore them bro... Puuza tu jomba maana hizo energy ungezitumia walau kutueleza jambo kwa sie tuliochagua kujifunza ungepata ama tungepata faida kubwa mno.

Dah jomba yaaani unatenga mda kwa mkiwi? huyuuuu anaejiita Mkiwi? Dah haya bn. Ila hongera.
 
Hawa wanajitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ww mkuu una ubishi usio kuwa na maana hivi mfano Tz itanunuaje bidhaa za chakula wakati mabenki ya Urusi yameondolewa kwenye mfumo wa fedha wa kimataifa?
 
Siku anasikia nyumbu wa S.Korea wanakaa kikao cha kumaliza mzozo na N. Korea ndipo atatia akili

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Sijuin Hawa watu wapo mbali saana aise
Hapo USA aweze kuhusu
S-400
S-500
na bado kuna hako kachoma drone najua mwakani Rwanda ataenda kuulizia bei then 2025 atazinunua
Leo hii silaha alizojinadi Marekani kupeleka Ukraine ili kulinda anga la ukraine zimefanyiwa kitu mbaya na Urusi!! Sijui lini Zelensky ataishtukia marekani!!
Operation maalumu ya kuziangamiza iliitwa CONTERBATTERY MISSION!!

More US-supplied weapons destroyed in Ukraine – Russia​

The Russian military says it’s destroyed a battery of American M777 howitzers supplied to Ukraine


A Russian artillery strike has destroyed a battery of US-supplied 155mm towed M777 howitzers used by the Ukrainian military, the Russian Defense Ministry claimed on Monday.
The ministry released a video showing Russian self-propelled 152mm 2S5 Giatsint-S artillery guns in action. It didn't specify the location, but described the strike as a “counterbattery mission.”
Last Wednesday, the Russian military reported destroying a battery of M777 howitzers near the village of Podgornoe. The Russian army used strike drones to force their opponents to seek cover in a small forest and followed up with a heavy artillery strike to finish them off, the Defense Ministry said. It released drone footage of the Ukrainian forces under fire as evidence.

 
Hivi vile vikao vya saccos ya EU vimeishia wapi!?
Maana walikuwa wambea kama wadada wakisukana

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Hawa watu wapo mbali saana aise
Hapo USA aweze kuhusu
S-400
S-500
na bado kuna hako kachoma drone najua mwakani Rwanda ataenda kuulizia bei then 2025 atazinunua
Hahah Rwanda alitaka kununua kale ka S-200 ka zamani huko(nadhani kwa Sababu ya udogo wa eneo lake aliona itamfaa maana ina-cover eneo la km 150 mpk 300, sijui iliishia wapi,lkn hio S-200 pamoja na uzamani wake Kule Syria inapiga kazi Sana tu,hizo drones za Turkey walitaka kuzinunua 12 zikapige kazi Kule Mozambique (RWANDA : Rwandan army eyes Turkish drones for Mozambique - 07/10/2021 - Africa Intelligence) sijui Kama walizinunua au la.

Hio tech ya Laser Ni tamu Sana aisee,Ila Africa mpk tuje tuuziwe sijui Ni lini(Nimesema kuuziwa maana kuitengeneza najua Hilo litakua Ni jambo la kujilisha upepo).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…