wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraineHata putin anafaidika na ndio maana aliianza vita kwa papara na military convoy ya km60 yote ikawa perished,wote mnaomsapoti huyu dikteka mnafanana akili zenu wengi ni panya road.
sasa kama roketi zinamikutu kwanini mmoja asiamue kuivamia Russia hadi wajikusanye wote watatu?(US, UK na Ufaransa?) Unataka kusema wao haiwaathiri hata kidogo kisiasa na kiuchumi?Kidude safi sana (Warusi walihitaji kitu kipya maana roketi zao za zamani nyingi zina kutu, natumaini hawakununua tena matairi yale ya bei duni kutoka China..) ila kwa nini tunapata picha hizi ?
Ndiyo, zinaweza kuangamiza Marekani yote, Uingereza yote, hata Andorra na San Marino!!! Ila hazibadilishi kitu chochote kwa sababu uwezo huo ulipatikana hata zamani. Na uwezo wa Marekani, Uingereza na Ufaransa kuangamiza Urusi yote uko palepale.
Sijui waumini wa Putin wana imani dhaifu kiasi cha kukimbilia picha za roketi kubwa zaidi? Ambazo ni habari za kale?
PatachimbikaWaambieni NATO warushe jiwe Moscow!
Ok,endelea na huo ujinga wakoUbabe na ujinga wa urusi
Hata putin anafaidika na ndio maana aliianza vita kwa papara na military convoy ya km60 yote ikawa perished,wote mnaomsapoti huyu dikteka mnafanana akili zenu wengi ni panya road.
Ili wapewe mateso makali zaidi, wanakatwa kiungo kimoja kimoja adi viishe vyoteKwa hiyo wanajeshi 20 wa SAS wanawatoa jasho? [emoji23]
Haoni aibu matendo ya France Mali au Saudia Yemen au kukaa kwenye organisation iliyobariki Iraq na Libya Invasion .Boris Bondarev, mwanadaplomasia mzoefu wa Russia katika ofisi za UN Genevea amejiuzulu katika kazi yake akiandika barua kali inayosema anaona aibu kuhusishwa na matendo nchi yake kwa sasa na hawezi kuwa sehemu ya kinchoendela. Pia ameandika Putin ameigeuza Russia kuwa igizo la hofu kuu.
Hatari na nusuKamati ya sayansi ya silaha ya Russia Ni kiboko.
[emoji117]Lile bomu la Hypersonic Ni kichomi,
Ukilisikia,ujue limekukosa. Huombi hata maji.
[emoji117]Ile Laser ya kutungulia drone, Ni komesha.
Drone zinayeyushwa Kama uji
[emoji117] Kuna ile ya kujam ndege Ni balaa na nusu,
Helicopter na ndege zikikatiza vyuma vinaumana kwenye engine mpk inadondoka yenyewe.
[emoji117]Bado Yale mabomu ya kumtoa mnyoka pangoni, wanaita thermoballic balistoc. Likipigwa unakohoa Hadi ulimi, unatoka mwnyw uko ulikojificha.
Hawa jamaa kijeshi tuwaache TU,
Ndo maana USA wanahangaika Sana kumpunguzia Kasi[emoji4]