Russia ina vichwa smart hadi raha, yani mkuu wa nchi ni kichwa na cabinet yake imejaa vichwa haswa.Russian Foreign Minister Lavrov: "If the West wants to offer something in terms of resuming relations with Russia, we will have to seriously think about whether we need this or not"
Lavrov: Those who seek Russia's defeat 'on the battlefield' probably had a poor education, don't know history very well and do not understand what Russia is
Lavrov: Russia will rely only on itself and on those countries that have proven their reliability and do not dance to the tune of others. Now that the West behaves in a dictatorial way, Russia's economic ties with China will grow even faster
Kazi ipo π€Yaani leo siku ya 90 (miezi 3) bado Urusi inacheza makida makida tu .Kumbe hata Tz tunamweza Urusi kwa manati yetu aiseee.Putin hata hajui anachakitaka wala kupigania zaidi ya kusema operation ya kijeshi.Yaani kwa kumwamini Putin nilijua siku saba atakuwa ameimaliza ukraine na kuwa yakwake kwa sasa hawezi teni kwa jinsi ukraine ilivyomsoma ukishapigana vita muda mrefu ujue adui anakujua na atakumaliza .Soon Rusia itaondoka na Putin wanapanga wenyewe inside Cremia kumfekelea huko .Mark my words .Bure kabisa!Putin out hafai
Nukta nyuma ya nenomakida tu .Kumbe
πhata Tz tunamweza
Matumizi ya "Space" yanakupa shidaaiseee.Putin
Waacha we!hajui anachakitaka
He he hesasa hawezi teni kwa jinsi ukraine ilivyomsoma
Duhatakumaliza .Soon Rusia itaondoka
πwenyewe inside Cremia kumfekelea
Ase, kweli nyege mbaya sana...ππΆhuko .Mark my words .Bure kabisa!Putin
RUSSIA anaijenga kwanza UKRAINE akimaliza ataenda kuijenga hio UKRAINE uitakayoUrusi aache utoto, ajikite kujenga nchi yake
Haa Putin akiondoka sio kwamba vita itaisha no ,usinielewe hivyo atakayekuja hatakuwa mbaya kuliko Putin ila ndio atakayekamilisha hii operation kama ilivyokusudiwa.Warusi wanashangaa tu kwa nini Putin hamalizi kazi anathema makida making siku 90π€£π€£π€£π€£Ndio mnavyojipa moyo kwamba Putin ndio kila kitu RUSSIA kwamba akiondoka mtapumua poleni.
Kuna kina Madvedve na wengine wanaandaliwa ili waendelee kuwasomesha no. bladfuuul.
RUSSIA mbele kwa mbeleee oooohhhh mbele kwa mbeleee
Mkuu nakuomba tu uendelee kujikita kwenye uimbaji wa mapambio ya mama na CCM, huku siyo level zako na ukiendelea utaishia kujiaibisha tu maana hujui hata tulipofikia, unaingia kwenye Uzi na kupotea baada ya kula spana za kutosha.Nilikua nusra nikate tamaa pale niliona picha ya limsafara la Urusi kilomita 60, nikajua Kiev kwisha, nyuzi zikarindima humu za wafia dini ambao ghafla mna mahaba na Putin, ila mambo yakaja kubadilika kabisa, limsafara likaliwa shaba hadi raha...Warusi wakageuza na kwenda kuparamia kamji ka mbali huko Mariupol.
SiumeelewaSasa mdada wa Nguvu kama unapata taabu hivi kuandika utaweza kuelewa Putin anachokifanya kweli?
Kazi ipo π€
Nukta nyuma ya neno
π
Matumizi ya "Space" yanakupa shida
Waacha we!
He he he
Duh
π
Ase, kweli nyege mbaya sana...ππΆ
Si umeelewa lakini mpaka.umesoma na umenijibu.So msg sent and delivered. Kumbe hatanikiwa na nyege kuna watu wananikuna tu haaaaSasa mdada wa Nguvu kama unapata taabu hivi kuandika utaweza kuelewa Putin anachokifanya kweli?
Kazi ipo π€
Nukta nyuma ya neno
π
Matumizi ya "Space" yanakupa shida
Waacha we!
He he he
Duh
π
Ase, kweli nyege mbaya sana...ππΆ
Rudia kuandika vizuri wewe mrusi wa kwa mpalange.RUSSIA anaijenga kwanza UKRAINE akimaliza ataenda kuijenga hio UKRAINE uitakayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wooiiii ndio walivyokuambia RUSSIA sio kama kwenu likitoka jiwe linaingia udongo.Haa Putin akiondoka sio kwamba vita itaisha no ,usinielewe hivyo atakayekuja hatakuwa mbaya kuliko Putin ila ndio atakayekamilisha hii operation kama ilivyokusudiwa.Warusi wanashangaa tu kwa nini Putin hamalizi kazi anathema makida making siku 90
Taarifa zangu zinaniambia kwenye Vita ya Vietnam, mmarekani alipigwa vibaya SanaMkuu achana na hao watoto wa mama wasiojua hata wakisemacho.
Kuipambanisha kivita Russia na nchi moja tu kama USA nikuikosea heshima yake kijeshi, Russia vita na operation zake zote ilizopigana na inayoendelea sasaiv huwa inapigana na mhusika mkuu lakini nyuma ya huyo mhusika anakuwepo USA na allies wake + Vikwazo + kelele za UN na bado huwa hawaiwezi Urusi, rejea operation za Syria, Venezuela, Georgia na sasahivi Ukraine halafu utaelewa kwanini USA&NATO wanaiogopa Russia.
USA ukiondoa nukes ni size ya wavyetenam, wataliban, wasomalia na wale wake zake wa "EU"
Ila Russia ikiamua itumie full scale war bila nukes hakuna nchi hapa duniani yakuhimili mziki wa mrusi. Russia ana hypersonic missiles na Surmat missiles(toleo jipya), vacuum bombs na laser weapons ambazo nchi nyingi dunian hazina na wengine ndo bado wapo kwenye trial testing ya hypersonic missiles tena kwa kukusanyana kama viazi.
Tumeona marekani akipigana vita/Operations nyingi duniani bila nukes zipo alizoshinda na zipo alizoshindwa mfano; Libya alishinda(kupitia mgongo wa NATO), Vietnam alishinda(japo hatasahau moto wa wavyetenam), Syria Alishindwa yeye na waasi wake (hapa alikutana na moto wa Mrusi), Venezuela alishindwa (Moto wa mrusi pia), Somalia alishindwa ( alikutana na moto wa muafrika mla bangi na siyo mvutaji), Afghanistan alishindwa(moto wa wataliban)
Na ieleweke kuwa hapo anakuwa hana vikwazo wala kelele zozote za Ulaya na UN anapopigana sasa hebu jaribu kugeuza mazingira anayopiganaga USA ndo yawe kwa Mrusi unadhani Ukraine ingekuwa je sasahivi?
URUSI [emoji635] KIJESHI SIYO ALBANIA [emoji1025]
Hehee kabisa MKUUIyo convoy ya 60 km ulisikia Putin akisema au ulisikia kutoka Marekani.shida bwana wenu anawaongopea sana na nyie bila kufanya hata utafiti mnakubali kila kitu
Hebu wekeni ushabiki pembeni,vita sio lele mama!US mwenyewe huko Afghan kapambana na wanamgambo miaka 20,mwishowe kaona akimbie tu awaachie nchi!Yaani leo siku ya 90 (miezi 3) bado Urusi inacheza makida makida tu .Kumbe hata Tz tunamweza Urusi kwa manati yetu aiseee.Putin hata hajui anachakitaka wala kupigania zaidi ya kusema operation ya kijeshi.Yaani kwa kumwamini Putin nilijua siku saba atakuwa ameimaliza ukraine na kuwa yakwake kwa sasa hawezi teni kwa jinsi ukraine ilivyomsoma ukishapigana vita muda mrefu ujue adui anakujua na atakumaliza .Soon Rusia itaondoka na Putin wanapanga wenyewe inside Cremia kumfekelea huko .Mark my words .Bure kabisa!Putin out hafai
Warusi hawashangai maana wanajua hataki kuua raia wengi wasio na hatia!Haa Putin akiondoka sio kwamba vita itaisha no ,usinielewe hivyo atakayekuja hatakuwa mbaya kuliko Putin ila ndio atakayekamilisha hii operation kama ilivyokusudiwa.Warusi wanashangaa tu kwa nini Putin hamalizi kazi anathema makida making siku 90
πSi umeelewa lakini mpaka.umesoma na umenijibu.So msg sent and delivered. Kumbe hatanikiwa na nyege kuna watu wananikuna tu haaaa
Huachii π€£mpaka.umesoma na umenijibu.So
Hapana, Msg sent and get rejected Miss Upopo π.So msg sent and delivered.
βDuh kumbe ni kikosi halafu bado wanakuachia "wadudu genyezi" wanaendelea kukutia wenge πππ, hiyo "Board" unaonaje tukiivunja mdau tuweke mpya?Kumbe hatanikiwa na nyege kuna watu wananikuna tu haaaa