Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Sergei medved zakharova shoiguWestern politicians who say Russia must "fail" have been bad at teaching history, Lavrov said.
“They draw the wrong conclusions from their understanding of the past and what Russia is,” he said.View attachment 2236407
Msisahau Russia anao wajeda wa Ukraine zaidi ya 2000,huyo itafanyika deal aachiwe!Tofauti na hapo hao buku 2 Ukraine iwasahau kabisaa!haya ndio malipo ya wanajeshi wa Russia nchini ukraine ukiachana na kuuliwa
Inasikitisha sana kuona watu wenye akili timamu wanachambua mambo ya vita kama wanavyochambua mambo ya siasa za Lumumba na Ufipa.kaka as long as watu wa Magharibi wanamsaidia Ukraine, hivyo vita haitaisha leo ama kesho and as result Urusi ananyongonyea sana kiuchumi maana vita inatumia national resource kubwa mno.
Ukraine anapata misaada toka G7 na US inazidi kumpa mabillion ya dola, vita haiishi leo hii.
Lavrov: Those who seek Russia's defeat 'on the battlefield' probably had a poor education, don't know history very well and do not understand what Russia isnimemwambia mwenzio kwamba Urusi anatongonyea kiuchumi maana vita hii haiishi leo wala kesho, anayepigana naye kila kukicha anapata misaada ma billion ya dola, mrusi hata kama ana resources kiasi gani itafika pahala atadhoofika.
Hii vita itaamuliwa na nguvu ya kiuchumi, atakayechoka atatoa majeshi yake - Ukraine imeapa haitaachia sentimita moja ya ardhi yake.
Msisahau Russia anao wajeda wa Ukraine zaidi ya 2000,huyo itafanyika deal aachiwe!Tofauti na hapo hao buku 2 Ukraine iwasahau kabisaa!
RUSSIAAAMkuu achana na hao watoto wa mama wasiojua hata wakisemacho.
Kuipambanisha kivita Russia na nchi moja tu kama USA nikuikosea heshima yake kijeshi, Russia vita na operation zake zote ilizopigana na inayoendelea sasaiv huwa inapigana na mhusika mkuu lakini nyuma ya huyo mhusika anakuwepo USA na allies wake + Vikwazo + kelele za UN na bado huwa hawaiwezi Urusi, rejea operation za Syria, Venezuela, Georgia na sasahivi Ukraine halafu utaelewa kwanini USA&NATO wanaiogopa Russia.
USA ukiondoa nukes ni size ya wavyetenam, wataliban, wasomalia na wale wake zake wa "EU"
Ila Russia ikiamua itumie full scale war bila nukes hakuna nchi hapa duniani yakuhimili mziki wa mrusi. Russia ana hypersonic missiles na Surmat missiles(toleo jipya), vacuum bombs na laser weapons ambazo nchi nyingi dunian hazina na wengine ndo bado wapo kwenye trial testing ya hypersonic missiles tena kwa kukusanyana kama viazi.
Tumeona marekani akipigana vita/Operations nyingi duniani bila nukes zipo alizoshinda na zipo alizoshindwa mfano; Libya alishinda(kupitia mgongo wa NATO), Vietnam alishinda(japo hatasahau moto wa wavyetenam), Syria Alishindwa yeye na waasi wake (hapa alikutana na moto wa Mrusi), Venezuela alishindwa (Moto wa mrusi pia), Somalia alishindwa ( alikutana na moto wa muafrika mla bangi na siyo mvutaji), Afghanistan alishindwa(moto wa wataliban)
Na ieleweke kuwa hapo anakuwa hana vikwazo wala kelele zozote za Ulaya na UN anapopigana sasa hebu jaribu kugeuza mazingira anayopiganaga USA ndo yawe kwa Mrusi unadhani Ukraine ingekuwa je sasahivi?
URUSI [emoji635] KIJESHI SIYO ALBANIA [emoji1025]
unajieleza sana 😂Inasikitisha sana kuona watu wenye akili timamu wanachambua mambo ya vita kama wanavyochambua mambo ya siasa za Lumumba na Ufipa.
Hivi we jamaa kwa akili yako unaona hizo $billions ndo zinapigana? kama dollars ndo zinapigana basi USA asingekuwa anaigopa Russia nchi ambayo kiuchumi ameizidi mbali tu au kim kiduku kijana mdogo kabisa anae ongoza taifa masikini(kwamjib wa USA)
Nikweli wewe jamaa hujui kuwa USA anaigopa Kivita Russia kuliko China ambae ni wapili kiuchumi duniani?
Nikweli wewe jamaa hujui kama vita vya kisasa wanashindana ubora wa teknolojia ya vifaa vita na siyo pesa zako, hujuilizi tu kwanini USA, Japan na Korea kusini wanaogopa kuanzisha vita na nchi maskini ya Korea kaskazini?
Haya tufanye basi Zelensky apewe hizo $40b Russia nayo imuongezee mauzo yake ya mafuta na gas kwa mwezi $40b then G7 na EU nao waichangie $20b ifikishe jumla ya $100b waipatie na vifaa vya kijeshi, halafu wapiganaji wabaki hao raia waliovishwa ujeda kwa sheria ya marshal law unadhani watatoboa kweli?
Unategema mtu aliekuwa mkulima wa ngano kabla ya operation hii ndo aanze kutumia drones na missiles za Pentagon kuyapiga majeshi ya Russia kweli[emoji1787][emoji1787]
Yani watu kama wewe jamaa ndo mnaoamini kuwa hata jeshi la JWTZ ukilipatia dollars za kutosha na kila aina ya vifaa vya kijeshi wanavyotaka basi linaweza likapigana na kushinda vita dhidi ya jeshi la USA, CHINA au Russia[emoji23]
Mkuu naomba nikutoe tongo tongo kuwa, misaada ya kijeshi inatakiwa iendane na ujuzi wa kijeshi, yani kabla ya kuisadia hypersonic missiles Ukraine hakikisha ina watu wenye uwezo wa kuzitumia, unapoipatia drones basi hakikisha ina watu wanaojua kuzitumia otherwise unaweza ukakusanya silaha zote hatari ukaipatia Ukraine ila kama haina watu wenye uwezo wa kuzitumia bado hakuna kitu watafanya juu ya mpinzani wao, kipigo watapokea na zaidi silaha hizo zitaishia kuharibiwa bila kufanya kazi yeyote.
Ni hayo tu mkuu ila nakushauri utafute account ya zelensky umrushie hata elf10 itasaidia sana kuyashinda majeshi ya Urusi.
Huyo atakuwa msaliti na hafai kuwa sehemu ya taifa linaloangazia usalama wake dhidi ya jirani anae wakaribisha adui zake.Kama Mimi ningemshauri atafute taifa lake.🚶🚶🚶Boris Bondarev, mwanadaplomasia mzoefu wa Russia katika ofisi za UN Genevea amejiuzulu katika kazi yake akiandika barua kali inayosema anaona aibu kuhusishwa na matendo nchi yake kwa sasa na hawezi kuwa sehemu ya kinchoendela. Pia ameandika Putin ameigeuza Russia kuwa igizo la hofu kuu.
Umeandika maelezo mengi mno lakini hakuna mantiki hapo, Uchumi wa Urusi ushayumba tayari hadi muda huu.Inasikitisha sana kuona watu wenye akili timamu wanachambua mambo ya vita kama wanavyochambua mambo ya siasa za Lumumba na Ufipa.
Hivi we jamaa kwa akili yako unaona hizo $billions ndo zinapigana? kama dollars ndo zinapigana basi USA asingekuwa anaigopa Russia nchi ambayo kiuchumi ameizidi mbali tu au kim kiduku kijana mdogo kabisa anae ongoza taifa masikini(kwamjib wa USA)
Nikweli wewe jamaa hujui kuwa USA anaigopa Kivita Russia kuliko China ambae ni wapili kiuchumi duniani?
Nikweli wewe jamaa hujui kama vita vya kisasa wanashindana ubora wa teknolojia ya vifaa vita na siyo pesa zako, hujuilizi tu kwanini USA, Japan na Korea kusini wanaogopa kuanzisha vita na nchi maskini ya Korea kaskazini?
Haya tufanye basi Zelensky apewe hizo $40b Russia nayo imuongezee mauzo yake ya mafuta na gas kwa mwezi $40b then G7 na EU nao waichangie $20b ifikishe jumla ya $100b waipatie na vifaa vya kijeshi, halafu wapiganaji wabaki hao raia waliovishwa ujeda kwa sheria ya marshal law unadhani watatoboa kweli?
Unategema mtu aliekuwa mkulima wa ngano kabla ya operation hii ndo aanze kutumia drones na missiles za Pentagon kuyapiga majeshi ya Russia kweli[emoji1787][emoji1787]
Yani watu kama wewe jamaa ndo mnaoamini kuwa hata jeshi la JWTZ ukilipatia dollars za kutosha na kila aina ya vifaa vya kijeshi wanavyotaka basi linaweza likapigana na kushinda vita dhidi ya jeshi la USA, CHINA au Russia[emoji23]
Mkuu naomba nikutoe tongo tongo kuwa, misaada ya kijeshi inatakiwa iendane na ujuzi wa kijeshi, yani kabla ya kuisadia hypersonic missiles Ukraine hakikisha ina watu wenye uwezo wa kuzitumia, unapoipatia drones basi hakikisha ina watu wanaojua kuzitumia otherwise unaweza ukakusanya silaha zote hatari ukaipatia Ukraine ila kama haina watu wenye uwezo wa kuzitumia bado hakuna kitu watafanya juu ya mpinzani wao, kipigo watapokea na zaidi silaha hizo zitaishia kuharibiwa bila kufanya kazi yeyote.
Ni hayo tu mkuu ila nakushauri utafute account ya zelensky umrushie hata elf10 itasaidia sana kuyashinda majeshi ya Urusi.
Ukorofi huo 😂😂😂Ase, kweli nyege mbaya sana...🏃🚶
Tajiri hanuniwi, nchi zenye viongozi wenye akili ndo muda wa kuimarisha uchumi wao kwa kutumia primary resources kutoka kwa mzalishaji mwenyewe na siyo secondary resources kutoka kwa westerners.[emoji3538][emoji3538][emoji3538]India received about 182 thousand tons of fertilizers from Russia in May (c)
Friendly countries will have oil, gas, coal, electricity, fertilizers, food. The unfriendly ones don't.[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
Wala hakuna kosa hapoRudia kuandika vizuri wewe mrusi wa kwa mpalange.
Alitembezewa kichapo ambacho hatawahi kukisahau katika historia yake. Alipoteza askari wengi sana juu ya wapori pori wa vyetenamu.Taarifa zangu zinaniambia kwenye Vita ya Vietnam, mmarekani alipigwa vibaya Sana
Huo muonekano wa "he looks like a child" uko wapi?haya ndio malipo ya wanajeshi wa Russia nchini ukraine ukiachana na kuuliwa
Ndo umetumia kichwa yako sasa na wewe mama mkwe wako anajivumia?kaka as long as watu wa Magharibi wanamsaidia Ukraine, hivyo vita haitaisha leo ama kesho and as result Urusi ananyongonyea sana kiuchumi maana vita inatumia national resource kubwa mno.
Ukraine anapata misaada toka G7 na US inazidi kumpa mabillion ya dola, vita haiishi leo hii.
Umeandika maelezo mengi mno lakini hakuna mantiki hapo, Uchumi wa Urusi ushayumba tayari hadi muda huu.
Wote tulidhani kwamba vita hii ingechukua wiki moja tu na Ukraine wasalimu amiri na Rais wao akimbilie mafichoni hii ilitokana na jinsi tulivyoamishwa kwamba nguvu ya Urusi kijeshi ni balaa - sasa ni miezi 3 na mambo bado ni magumu mno kwa URUSI.
Kupoteza kwa Meli ya kijeshi pia limekuwa pigo kubwa kwa Urusi, yaani sawa na mtoto kumzaba kibao mtu mzima - inatia hasira sana.
Mwezi jana Putin alilalamika kwamba NATO wana PROXY vita - sasa mbona hajachukua hatua yoyote kujaribu kuwashambulia? Tunaanza kupata wasiwasi kwamba hata nguvu ya kivita ambayo URUSI anatamba nayo sidhani kama kiuhalisia anayo.
As long as Ukraine anasaidiwa basi stay turned my friend, vita mbado ni mbichi na URUSI atadhoofika tu at the end na ataachana na vita hii kiaina.
Kwa niaba ya Pro Russia wenzangu tunakuomba piga spana nzito nzito huyo Fuso naona loophole za kutosha usimmbembeleze sisi tuko nyuma yako.Alitembezewa kichapo ambacho hatawahi kukisahau katika historia yake. Alipoteza askari wengi sana juu ya wapori pori wa vyetenamu.
Kuna movie inaitwa "WE WERE SOLDIERS" Maudhui yake yanaendana na hiyo Vita ya USA vs Vietnam.
Aisee itoshe tu kusema Wamerekani walipigwa na vitu vizito vyenye ncha kali.
kaka hata kama unaipenda Urusi lakini ndiyo hivyo imeshanasa kwenye anga US na watu wa magharibi.Ndo umetumia kichwa yako sasa na wewe mama mkwe wako anajivumia?
Sawa na kuchukua Mbuzi uipe rungu ukaipiganishe na Tembo, af ukae ukingoja kuona Tembo anavyodondoshwa... Hii kama sio cha Arusha basi cha Chooni...Mkuu naomba nikutoe tongo tongo kuwa, misaada ya kijeshi inatakiwa iendane na ujuzi wa kijeshi, yani kabla ya kuisadia hypersonic missiles Ukraine hakikisha ina watu wenye uwezo wa kuzitumia, unapoipatia drones basi hakikisha ina watu wanaojua kuzitumia otherwise unaweza ukakusanya silaha zote hatari ukaipatia Ukraine ila kama haina watu wenye uwezo wa kuzitumia bado hakuna kitu watafanya juu ya mpinzani wao, kipigo watapokea na zaidi silaha hizo zitaishia kuharibiwa bila kufanya kazi yeyote.
😂😂😂 apite huku na mie najitolea buku jero tu ya maji njiani.Ni hayo tu mkuu ila nakushauri utafute account ya zelensky umrushie hata elf10 itasaidia sana kuyashinda majeshi ya Urusi.
Kumbe jeshi la nchi moja(RUSSIA)anapambana na nchi zenye nguvu zaidi ya 30 na anawatoa kamasi.kaka hata kama unaipenda Urusi lakini ndiyo hivyo imeshanasa kwenye anga US na watu wa magharibi.