NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Akikujibu nitagHuo muonekano wa "he looks like a child" uko wapi?
Hizi akili kisodaKuna watu humu wanajidanganya kwamba eti jaribu kumpa mbuzi rungu afu utegemee atampiga Tembo - Sasa subirini muone namna Ukraine anamkomesha mtu mzima.
Hizo Laser weapons mbona hatujaona zikimaliza battlefield ?
Russia Laser weapons on the battlefield in Ukraine.
Tuione iyo barua[emoji4]Boris Bondarev, mwanadaplomasia mzoefu wa Russia katika ofisi za UN Genevea amejiuzulu katika kazi yake akiandika barua kali inayosema anaona aibu kuhusishwa na matendo nchi yake kwa sasa na hawezi kuwa sehemu ya kinchoendela. Pia ameandika Putin ameigeuza Russia kuwa igizo la hofu kuu.
Kuna watu humu wanajidanganya kwamba eti jaribu kumpa mbuzi rungu afu utegemee atampiga Tembo - Sasa subirini muone namna Ukraine anamkomesha mtu mzima.
Hizo Laser weapons mbona hatujaona zikimaliza battlefield ?
Russia Laser weapons on the battlefield in Ukraine.
tulia we mrusi mweusi - umeyataka mwenyewe !!Unakuta baba na mama huko wanajisifia wana mtoto, kumbe mtoto mwenyewe ndo huyu zero brain[emoji28][emoji28]