Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unakuta baba na mama huko wanajisifia wana mtoto, kumbe mtoto mwenyewe ndo huyu zero brain[emoji28][emoji28]
Ni effect ya mama kula kihepe kipindi cha mimba yake, yale mafuta yanaharibu ubongo wa mtoto anazaliwa zezeta, wazee wa zamani wengi walikuwa wana akili japo hawakupata shule hata uko vijijini wazee wengi wanajielewa sana kuliko haya magarasa ya Sasa hivi Yana degrees, diploma, certificate kibao sijui next generation itakuwaje lakini ni disaster kwa ustawi wa jamii.
 
Ficha ujinga mkuu hakuna nchi inaitwa "america" na hata hiyo unayomaanisha imepigana vita moja tuu ya American war of independence 1776
mbona ww ni punguani hujui tofaut ya war na civil wars , hapa tunazungumzia wars sio civil wars
 
Ficha ujinga mkuu hakuna nchi inaitwa "america" na hata hiyo unayomaanisha imepigana vita moja tuu ya American war of independence 1776
Factually untrue!!

Iraq, vietnam, somalia, korea? etc.
You blind or on something?

By the way swali liko general sana.

Je war kwa maana direct conventional au indirect involvement tu?

Timeline ya war..?
Kwa maana kwa muda fulani nchi baadhi hazikuwepo. I mean huwezi kuhesabu vita vya USSR na Russia. Sudan and South Sudan, etc
 
Hizo ulizozitaja ni military operations na sio vita USA kapigana vita moja na alishiriki vita ya pili ya dunia kwa kiasi kidogo sanaa
 
Yaliyotokea Mariupol hivi karibuni yatatokea hapo mashariki mwa Ukraine.

Russia steps up operation to encircle last Ukrainian holdout in Donbas

📝 Russian forces have intensified their military operation in eastern Ukraine to encircle Ukrainian troops in twin cities in the last Ukrainian-held pocket in the Donbas region.
 
Urussi akiingia huko hao waaasi watasanda wenyewe
 
Huyo kastaafu sasa mtu ana miaka ishirini kazini mnataka afie kwenye kiti cha office.
Kuna huyo mmoja alitoka USA na information nyeti akaenda kupata asylum Russia naisi anaitwa Snowden.
Hana impact yyte kwa Russia apumzike salama.
 
Nimemuona waziri wa mambo ya nje wa MALI akiwa RUSSIA wakati ambao mahusiano ya kimkakati na kijeshi yakiwa mabaya dhidi ya ufaransa. Bila ya shaka mali wameenda kwa wanaume ili waongezewe msaada zaidi na russia wa kupambana na magaidi
Msumbiji na DRC nao inabidi waombe msaada huko ili Urussi aje aweke mambo sawa
 
Kweli jiwe tutammisi
 
Russia anakwenda taratibu kwa uhakika . Battle za Ukraine ni kuviziavizia

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
mbona ww ni punguani hujui tofaut ya war na civil wars , hapa tunazungumzia wars sio civil wars
Civil war , inter state war zote mbele zina neno war tamka wo maana wapo wanasema wa . Ila civil uprising ama civil strife hiyo ndio sio war ni small scale in terms of are , crude weapons and low level of casualties. Kwaiyo ikiwa war basi ni war kwa character yake kama nilivokuwekea hapo

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…