Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Hapa ndipo ninagundua anayesababisha viendelee kwa muda mrefu ni mrusi na Siyo NATO
Ukiangalia Kwa umakini urusi inataka marekani na NATO wapeleke silaha za kisasa Ukraine ili na yeye atumie silaha za kisasa kuzidhibiti
Kinachotokea baada ya hapo ni urusi anataka atawale kwenye soko la kuuza silaha, kiufupi kwenye Vita hii marekani anapoteza ushawishi kwenye soko la silaha
Muda Siyo mrefu hata hawa watu wa ulaya watahitaji silaha kutoka urusi na Siyo
marekani,
angalia ilipo silaha ya kirusi, mmarekani hapeleki silaha zake, lakini mrusi Hana mipaka yeyote anayehitaji atamuuzia Kwa kuwa ana uhakika na silaha zake zitaperfom Kwa kiwango Bora Kwa muda Wote, kiufupi hata marekani mwenyewe hajiamini kwenye silaha zake
Nakumbuka mwanzoni kuna drone za marekani walizitumia wafuasi wake wakasifia Sana kwamba mrusi Ali hack hizo drone musk akaingiza software mpya ambayo mrusi Hana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lakini Leo kiko wapi?
Kwenye Vita hivi marekani anaenda kuanguka kwenye kila eneo alilokuwa ana dominant,
Uchumi unaenda kushake na dollar inaenda kupoteza nguvu duniani ni swala la muda tu
Akikujibu unitag MKUU[emoji3][emoji16][emoji23]Aachie mara ngapi? Endeleeni kumjaza aendelee kuumia
Duuuu mamayeeee lazima kiwakeJoint military exercises of the air forces of China and Russia are aimed at increasing the level of inter-army cooperation, the PRC Ministry of Defense said.
View attachment 2237900
hatimae umeamua kuweka picha yakoWapi unafikiria NATO ni jeshi.lililoko EA au Africa.Nyie wanaume wa huku badala ya kumwambia January akaniunue mafuta Urussi ya bei rahisi mnawaza territory za Putin.Look for opportunities jamani .Mimi nawaza kuolewa na Putin nasikia hana mke big opportunity. Utasikia first lady .Kwani Samia kapataje urais wanaume mlikaa tu mnacheka cheka na kupiga makofi.Wanawake tunaupiga mwingi come 2035 marais wanawake watakuwa 50 percent
babu acha fix, hayo mazaga miezi 3 bado huyatoi tu tuyaone.Umesahau drones walizokua wanazisifia sana Bayraktar TB2 leo zipo wapi?? Urusi anaziunguza tu [emoji28][emoji28]. Turkey anapoteza soko la drones zake. Nyie kuna mazaga Russia akiamua kuyatoa tuyaone dunia itazimiaa [emoji28][emoji28][emoji28]
Huyo dogo mabeberu wamembeba na hatimaye amegeuka kuwa mzigo na yeye bado kutambua kama ameshakuwa mzigo,Kwa kulialia Kila kukicha🚶Hali imekuwa si hali tena. Sasa ni dhahiri Ukraine hafurahishwi na ushirikiano anaopewa na mabwana zake. Unadhani wapi mambo yameanza kwenda kombo???View attachment 2238037
Hali imekuwa si hali tena. Sasa ni dhahiri Ukraine hafurahishwi na ushirikiano anaopewa na mabwana zake. Unadhani wapi mambo yameanza kwenda kombo???View attachment 2238037
Waje kumwaga povu tuwasikie🚶Subiria wa West (NATO) wa Mpandangindo waje.
Hua wanasubiri japo zifike comment 10 ili wajue waanzie wapi ndipo huibuka.Waje kumwaga povu tuwasikie🚶
Basi wanakosa kujiamini Kwa kile wanachosimamia🤔Hua wanasubiri japo zifike comment 10 ili wajue waanzie wapi ndipo huibuka.