Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,597
We endesha boda boda na kupiga Gym tu maana MoDewji kashika njia za uchumiMadogo wa dini ya mnyazi mungu mkiwa huko mnapeana sumu juu ya US wakati serikali yenu inapokea misaada ya kutosha.
Mtaumia bure tu kuchukia US wale wameshashika njia za uchumi.
hawa jamaa wana hasira na US, kisa alivyombokoa Saddam na Gadaffi
US atabakia kuwa US tu as long as bado unaishi hapa duniani ni lazima umpende - utake usitake. Kwanza angalia misaada yake kwa Africa kwa mwaka.
In Fiscal Year 2020, USAID and the U.S. Department of State provided $8.5 billion of assistance to 47 countries and 8 regional programs in sub-Saharan Africa.
Haya tafuta na Mrusi wako basi tuone !! 🙂🙂🙂
Hivi nyieee ndio maana mnatukanwa alafu mnakasirika.hatakama amna cha bure but uwezi ku deny misaada yao kwetu, kuhusu kuchukuliwa raslimali zetu dunia aijwai na autokuja kuwa fair kama unavyotaka wewe lazima utoe ndio upewe
Mchina reli akutusaidia bure ebu rudisha kumbukumbu vizuri tulichomsaidia UN kwenye mgogoro na hongkong na VetoHuoni aibu?? Mchina alitusaidia bure reli ya TAZARA ambayo mpaka leo tunanufaika nayo, we unaongelea vyoo??
Hiyo misaada wanatoa lakini mkono wa pili wanatuibia pakubwa. Huko kwao wako homeless wasio na makazi na yako makazi yanashida ya clean water sasa jiulize kwanini wasimalize shida kwenye nchi zao waje wakusaidie wewe bure bure tu..
Mrusi ana msaada wowote kwa afrika ukiondoa yale machuma chuma yake na ayo pia atoi bure anawauzia
As of today 26/5/22 na bado ngano yote tunapeleka West Ukraine hatuachi kitu#update 5/26/22
[emoji1255] #Soldiers of the Armed Forces of #Ukraine do not receive heavy weapons, food and medical supplies. There are no cars, evacuation is not possible. Command is silent on questions.
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Ukraine inaelekea kushindwa...maelfu ya Askari wa Ukraine wamezungukwa huko Donbass...hi ni kwa mujibu wa vyombo vya habari vya west...NATO wakitia pua tu wanalo...Bakisheni akiba ya maneno pro russia
Mambo magumu na wa ukraine wamekubali show kaliPutin will be fixed, hana uwezo wa kuisumbua Dunia kwa vitisho vyake !! Mara ntakata gas supply, mara ntauza gas kwa Ruble tu, mara kitengo cha nuclear kaeni tayari , mara atakayemsaidia Ukraine ntamfanyia kitu hatakaa asahau milele.....
vitisho vya kitoto hivi, vita mwezi wa 3 sasa na bado mambo magumu.
Ameshika mpini[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Mario Draghi Italian premier "I asked Putin for a ceasefire Putin replied it's not the time"[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
Brigedi 5 zimenyoosha mikono juu nakussurrender halafu unasema wanajipanga ....Kaka Ukraine inajipanga achana na habari kwamba washakimbia - mambo ni magumu mno kwa wiki hii - Warusi wanakufa mno sema tu jamaaa ni wengi balaa !!
Asilimia kubwa ya kizazi cha sasa kipo katika Comma, haijalishi utaweka effort kiasi gani kuwazindua huenda n their fate iko destined kua hivo walivyoKuna point hapo ya dawa za akina mama na chanjo bado hajaelewa kwa nini nimeandika.
Putin sio Urusi baba,
Putin atakuja kufa lkn Urusi Itabaki palepale.
Kulikua na wababe Urusi Putin ni Cha mtoto.
Kilichopo Urusi ni kuwa hawataki upumbavu.
Kulikua Kuna Marais wa Urusi hawasemi mara mbili.
Kama wangekuwepo Leo hii Ukraine Ingekua Jimbo la Urusi.
Nakupa simulizi moja ndogo TU ya unyama wa hao Marais wa Urusi waliopita.
*Magaidi wa kiarabu waliwateka maafisa wa Ubalozi wa Urusi huko moja ya nchi za arabuni.
Magaidi wakaanza kutoa masharti na madai Yao yasikilizwe la sivyo watawaua mateka.
Majasusi wa KGB wakafanya ujasusi wao, wakawajua watekaji wote.
Baada ya kuwajua magaidi nao KGB wakaenda kuwakamata au kuwateka ndugu wa magaidi hao.
Kisha wakawaambia watekaji kuwa,ndugu zenu tunao hapa,tunataka muwaachie hao Russian mliowateka,msipo waachia tutawaua ndugu zenu.
Kumbuka katika hao ndugu wa magaidi kulikua Kuna baba,kaka wadogo na ndugu wengine.
Magaidi wakazikaza shingo zao,wakakataa kuwaacha mateka.
KGB wakaanza kazi,wakaua ndugu mmoja, magaidi walipojifanya jeuri KGB wakaua ndugu mwingine.
Magaidi wakao Ohooo! haya majamaa hayatanii haya,wakawaachia mateka wote bila kuua hata mmoja.
Chezea KGB wewe?.
Usipoelewa ntakupa kisa kingine jinsi Marais wa zamani wa Urusi walikua vichwa ngumu Putin Mtakatifu.
Mgogoro wa makombora ya Urusi nchini Cuba.
Wanajeshi wa Urusi waliokuwepo Cuba na zana za nyukilia walipewa Ruhusa kabisa na Serikali ya Urusi kuweza kuyatumia makombora hayo ya nyukilia kama wataona Kuna hatari yoyote dhidi Yao na kisiwa Cha Cuba,bila kusubiri amri kutoka Kwa wakubwa zao mjini Moscow nchini Urusi.
"Hii ni Hali ya hatari sana"
Marekani kwa kujaribu kupeleleza kuhusu silaha hizo za nyukilia za Urusi ilituma mara mbili kwa nyakati tofauti ndege za upelelezi kama sijakosea ni U2.
Amini nakuambia wanajeshi wa Urusi waliokua Cuba walizipiga ndege hizo na kupoteza marubani kabisa.
Hakuna kitu USA walifanya,waliishia kupiga kimya TU na baadae kuomba mazungumzo yafanyike juu ya mgogoro huo.
Mgogoro ulikua mkali sana,ilibaki kidogo tu new York na Washington zipigwe kwa makombora ya nyukilia.
Unajua matokeo yake?
Matokeo yake ni USA ilikubali kutoa silaha zake za nyukilia Uturuki ndio Urusi nae akatoa silaha zake za nyuklia cuba.
Akifa Putin Leo, watakuja Marais watata sana Urusi, Putin Mtakatifu.
Dah...umenikumbusha mbali Sana kwa andiko lako hili...congratulations...Hii JF Ina watu wanaojua mengi...thanks...Putin sio Urusi baba,

Ukombozi wa nnchi gani? Taja mojaHakika nakusihi kubali kuwa kunatofauti kati ya unachotamani kitokee na uhalisia.
Unaujua mchango wa Russia katika ukombozi wa Bara la Afrika? Tena kutoka kwa baazi ya wana-NATO wa leo.
Hamia ulaya au marekani kabisa ukale maisha. Maana haupo tayari kujenga kwako kwa jasho na damu hata upate heshima kama binadamu.ndio mahana nikasema kuwakwepa west na USA ni ngumu
Jeshi la Ukraine limevurugwa . Russia amepiga makombora mengi kwenye strategic points kama maghala ya silaha, mawasiliano, command pts, radar. Miundo mbinu ya usafiri, kambi za jeshi za muda na za kudumu, akiba za mafuta , majengo ya utawala nk amefanya more than two weeks wajinga wakasema huwezi shinda vita kwa makombora ya mbali.
Uko donbass sehemu gani?Jeshi la Ukraine limevurugwa . Russia amepiga makombora mengi kwenye strategic points kama maghala ya silaha, mawasiliano, command pts, radar. Miundo mbinu ya usafiri, kambi za jeshi za muda na za kudumu, akiba za mafuta , majengo ya utawala nk amefanya more than two weeks wajinga wakasema huwezi shinda vita kwa makombora ya mbali.
Sasa pamelainika anapiga kwa karibu akijua jamaa tayari hawawezi kupata sapoti . Askari waliojifanya kusogea front aliwaacha tu wasonge mbele blindly . Sasa anawazingira 50000 huko Donbass . Sasa hivi zelensky atajipiga shaba
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Unasikitika kwa nini tulipata hata huo uhuru. Kwa sasa tungekuwa kama New York.Ukombozi wa nnchi gani? Taja moja