Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Acha kukaza fuvu hilo, hujui kinachoendelea nyuma ya pazia lait ungekua unafaham usingeendelea kuwaabudu hao rainbow [emoji304]
Wewe umejulia kutoka wapi ? Mihemko ndio inakuendesha na sio facts.
 
Napenda mijadala ya facts kama hivi sio blaablaa za kishabiki.

Russia anapigana kisayansi sana Ukraine anapambana na vifaru frontline akilipua kimoja au viwili anafanya sherehe wiki tatu. Russia anapigana kwa kulivunja uti wa mgongo jeshi zima la Ukraine. Kabla ya kudili na frontline pambana na supply chain na possible support ndio utaweza kumzunguka adui kwa uhuru kwa wiki nzima maana umeshamtenga na sapoti .waliopo ndio waliopo.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Pro Russia[emoji1787][emoji1787] kupata vichekesho kama ivi tubonyeze ngapi kilichofanya mpak leo hii vita iwe mpaka muda huu ni west, pamoja na NATO kutompa silaha za offensive Ukraine wanampa deffensive peke yake siku watakayompa silaha za kushambulia Ukraine mwezi tu watu watakuwa Moscow wanakunywa Tequila
 
Hapa ndio wanaojua hisabati wapige.
Yaan Russia imepata 1.8 Trillions Rubles mwezi wa nne kutokana na kuuza mafuta tu. Ambazo ni sawa na Tsh 64.91 Trillions.
Yaani ni sawa na Budget ya miaka miwili ya TANZANIA nzima.

Hebu tuache utani aisee!
Hapo bado hujaweka mauzo ya gas, makaa ya mawe, mbolea, ngano, madini na silaha, ukija kupiga total export income utakuta ni zaidi ya Tsh100trillions/month.

Halafu anatokea mNATO mmoja anakwambia Russia itakata upepo vita ikiendelea.

Russia siyo Latvia.
 


⚔️⚔️⚔️Putin is making "gradual, slow but tangible" progress in Ukraine (c) British Prime Minister Boris Johnson. What happened, Boris? After all, on May 3, 2022, in the Verkhovna Rada, to thunderous applause, you said: “I have one message for you today: Ukraine will win, Ukraine will be free.” Something went wrong?⚔️⚔️⚔️
 
⚡️ Kremlin on Zelensky's statement about readiness to resume talks: 'This contradicts with fact that negotiations were frozen by Kiev'

Negotiations with Ukraine have been "on a low profile" for some time, but this format has not yet been terminated, Slutsky, a member of the Russian negotiating delegation, said.

He added that denazification in Ukraine is a process that cannot be reversed.
 
AU sasa imeanza kuchukua upande..

Safi Sana Rais wa Senegal,kataa uhuni na mauji 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220523-155244.png
    182.9 KB · Views: 29
  • Screenshot_20220523-154942.png
    142.9 KB · Views: 29
  • Screenshot_20220523-155000.png
    41.1 KB · Views: 28
Waziri wa ulinzi wa Ukraine amekiri wazi ya kuwa, hali ni mbaya sana kwenye mji wa pili kwa ukubwa wa Donbas. Mashambulizi ni makubwa. Bila msaada wa magharibi eneo hilo linaweza kufanywa mahame.

Chanzo: DW, habari za ulimwengu, mchana.
 
I will fight calmly with steady advancements and ensure minimal level of casualties. Kwaiyo ni plani ya Putin.

NATO wanataka haraka na Papara ili Poutine apate hasara kubwa sasa kashtuka hataki mhemko

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Lini, wapi umeibiwa dhahabu za trillion badala yake ukapewa vyandarua? Toa reference. Ni rahisi kusema maneno yanayo sound nice masikioni lakini kumbe hayana ukweli wowote.
Kwa hiyo mimi ndio umeona nafaa kutoa reference ya kuibiwa madini ya trilioni na huyo Mnato mwenzio aliyesema uchumi wa US ni mara elfu ya uchumi wa Russia umeona hana haja ya kutoa reference ina maana unaona alichokisema hakina shida kipo sawia as long as kiko against Russia. ProNato mko na mahaba ya ajabu sana

Unauliza kuibiwa dhahabubza trillion!? Msikilize Prof Mruma hapa
"Kamati imebaini kuwepo kwa viwango vingi vya juu vya dhahabu ndani ya makinikia yaliyofanyiwa uchunguzi. Viwango hivyo ni kati ya 671 g/t hadi 2375 g/t, sawa na wastani wa 1400 g/t. Wastani huu ni sawa na 28 kg za dhababu kwenye kontena moja lenye tani 20 za makinikia.

Hivyo, kwenye makontena 277 ya makinikia yaliyozuiliwa Bandari ya Dar es Salaam na Bandari Kavu yatakuwa na wastani wa tani 7.8 za dhahabu yenye thamani ya TZS bilioni 676 (USD 307,292,720).

Aidha, kwa kutumia kiwango cha juu kilichopimwa kwenye kontena moja lenye shehena ya tani 20 za makinikia (47.5 kg), kiasi cha dhahabu katika makontena 277 kitakuwa 13,157.5 kg ambazo thamani yake ni TZS 1,146,860,330,000 (USD 521,300,150"

Hiyo ni dhahabu tu bado copper, Silver, sulfur, iron, iridium, rhodium, ytterbium, beryllium, tantalum, etc.

Mnaambiwa ni mchanga tupu unasafirishwa kumbe ndani ya huo mchanga yapo madini. Huo sio wizi!?? Taarifu yako ya wizi ikoje!? Au unataka kubisha kwamba kwenye mchanga unaosafirishwa kutoka kwenye migodi yetu (kama mchanga) hakuna madini ndani yake!?

Skia wataalamu wanavyosema
"Africa loses far more money through illicit financial flows every year than it receives in aid and foreign direct investment. Global Financial Integrity (GFI) estimated that Africa loses a total of US$38.4 billion annually through trade mispricing, and US$25 billion through other illicit flows."

"According to a joint report by the African Development Bank and GFI, the illicit haemorrhaging of resources from Africa is about four times that of Africa’s current external debt. Unethical commercial transactions by multinational companies make up a massive 60% to 65% of the illicit outflow of the continent’s wealth"

Wanatuibia rasilimali zetu kwa mabilioni ya dola kisha wanatupa mikopo yenye masharti magumu alafu wanatupa misaada ya kutupumbaza.

Unajua Cobalt inayoibwa hapo Congo kila mwaka ina thamani gani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…