Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ameishiwa silaha 👇
rukeni naye sasa msimcheleweshe, sio kaishiwa siraha halafu mpo kimya. Yaani adui yupo mikono mitupu wewe una silaha kilichobaki ni kumfyekelea mbali. Sio kushoboka tu na kucheka "haha mhumhu ona kaishiwa siraha mhumhumhu Russia kaishiwa silaha mhumhumhu eti ni supapawa".ingia ulingoni we nato acha umama
 
Mpishi abaki jikoni kwa niaba ya Pro Russia umetisha.
Vitu aviongelewi from nowhere ni fact yaaani kwelii tupu siasa za nchini kwetu tuu hamjui alafu mnapandisha kifua.
 
Duh!
 
Nikajua unakuja na refference ya kueleweka kumbe unatuletea ya kina mluma serious? watu waliosema kila mtanzania atapata Noah na chai ya maziwa na mkate ile ilikuwa ni professional rubbish according to wataalamu wenyewe awa si ndio walitaka kutuingiza kwenye guiness book ya maajabu kwa kudai faini ya Tirioni 400 mara 2 ya bajeti yote ya ulinzi wa marekani ile ripoti ilikuwa ya kubumba
 
Endeleeni tu kuwatukuza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2239959Hii TZ sio uzunguni... Taratibu watu wataanza kuzivàa wengine wakijua wengine bila kujua... Miaka kadhaa ijayo Tanzania inajaa Rainbow kila kona.
Wazungu watu wabaya sana
Jamaa ndio hvyo watu ila washenzi mnoooo[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpishi abaki jikoni kwa niaba ya Pro Russia umetisha.
Vitu aviongelewi from nowhere ni fact yaaani kwelii tupu siasa za nchini kwetu tuu hamjui alafu mnapandisha kifua.
kwa kipi sasa apo anatuletea ripoti za kina kabudi na prof Mruma [emoji1787][emoji1787][emoji1787] serious na wewe ulivyo empty eti umeona kaandika cha mahana[emoji16][emoji16]
 
Wakumbushe tu hata wenzao walikuja kama ama zaidi ya wao na tuliwakimbiza nawao nisuala lamuda tuu wtakimbia ama kukimbizwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Uyo jamaa utafikiri roboti la kusetiwa[emoji28][emoji28]
 
Msiwe kama mmezaliwa jana, toka zamani mnajua kuwa dunia aijawai kuwa fair kama mnavyotaka ili uweze ku control wengine lazma nguvu itumike hii ni dhana toka enzi za falme izo mpaka leo ndio iko ivyo
Kabisa naungana nawewe kwa 100% ndio maana naunga mkono kichapo anachotoa RUSSIA kwa 100%
Kama unavyounga mkono wewe MKUU safi sanaaa
RUSSIA taifa TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakumbushe tu hata wenzao walikuja kama ama zaidi ya wao na tuliwakimbiza nawao nisuala lamuda tuu wtakimbia ama kukimbizwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiwa siti ya mbele kabisa ya Pro NATO sitarajii kukimbia na wala sina wazo kama vita inavyoendelea na mimi nitakuwepo kuwaweka sawa pro Russia subirini Nondo za kuwatuliza nawaandalia mtatafutana nawaambia
 

Embu acha ukilaza wako hapa JF bajeti ya ulinzi wa marekani ni $800billion change to Tshs unapata kiasi gani??. Embu kawadanganye rainbow wenzako huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…