Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

uwezi kuwafananisha wazungu na wahindi au wachina japo wote cyo watu wazuri lakini ni bora ya wazungu angalau kidogo wanachotuibia wanaturudishia lakini siyo wachina na wahindi
 
Bwana twawashobokea kweli
Nasikia kule zanzibar jirani zetu watanzania mukawapa mpaka hotel zabuure kabisa
Waafrika watu waaajabu sana sisi ujue khaaaa[emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu pro Russia mnatumia emotion kuliko fact. kuwapa hotel za bure ile ni diplomacy technique na kukuza uchumi leo hii wale raia wakiojiwa lazima wataishukuru sana serikali ya zanzibar kwa walichowafanyia kimataifa tayari ile ni sifa mojawapo ya kukuza na kuboost utalii wetu
 
uwezi kuwafananisha wazungu na wahindi au wachina japo wote cyo watu wazuri lakini ni bora ya wazungu angalau kidogo wanachotuibia wanaturudishia lakini siyo wachina na wahindi
Un equal exchange=wazungu.
Slavery=wazungu.
Colonialism=wazungu.
Neo-colonialism=wazungu.
New world order=wazungu.

NB
Jamaican-Bob marley
If you know your history.
Then you would know where you coming from
Then you wouldn't have to ask me.

Shwaaaaaiiiiinnnn.
 
wahindi na wachina awapo kwenye iyo list yako apo kutokana kipindi icho awakuwa na nguvu izo walizonazo sasa trust me hakuna watu wabaya,wabaguzi na wenye roho mbaya kushinda awa watu kwenye hii dunia nivile tu awajapata nafasi ya kuonesha makucha yao direct
 
Kwa hiyo hawajafika evolution yao.
Hebu leta historia ya dunia na watawalq halafu utuelezee where are Red Indians, who are Saxons , British empire. Etc
 
Neo-colonialsm =chenese wako vizuri
New world order=chenese na indian wote wananguvu.
Chenese n super power ana miradi mikubwa kwenu ya kimaendeleo. while India ndio founder na kiongozi wa NAM hata nchi yako iko uko.

Nionyeshe unachotaka kusema kwa fact narudia tena FACT
 
'Wataalamu walisema ile ni professional rubbish mbona huwataji na kuwanukuu!? Hata mm naweza kusema wataalamu wamesema, nikisema haimaanishi kweli wamesema. Evidence!?

Unataka kubisha kwamba katika mchanga unaosafirishwa (kama mchanga) ndani yake hamna madini!?

Ukweli ndio huo na sio maneno ya kubumba tu ni utafiti wa wataalamu (unless una ushahidi wa utafiti mwingine) kwenye mchanga unaosafirishwa kwenye makontena yapo madini ya aina mbali mbali.

Swala la kudai trilioni 400 au la halihusiki na ukweli wa uwepo wa madini kwenye mchanga. Tatizo lipo/lilikuwepo kwenye mikataba.

Nimekuwekeeni na nukuu kutoka AFDB na GFI nazo ni professional rubbish!?

Kuwa muungwana basi walau kidogo. Mtu anaweka hoja na kuzilinda na nukuu kutoka kwa tafiti mbalimbali za taasisi zinazofahamika wewe unakuja na maneno yako matupu tu mfano wa mlevi si sawa!!

Alafu ni Mruma sio Mluma
 
Sasa huoni Kama ilitakiwa utoe conclusion ndugu genius,

1.Ilitakiwa rais wa Ukraine afanye nini?

Yani wewe ndie rais wa Ukraine em sema ungefanya nini?
 
Tunakagua sehemu wanaongea kirusi na kama wapo tayari kurudi tunavamia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…