LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Unaona harakati za Macron?? Yeye sio viongozi vichaa kama BORIS. Jamaa anapenda sana amani. Ujue hii vita sio itatikisa uchumi wa URUSI PEKEE hadi ulaya nzima, huku USA akijikita zaidi kuuza silaha.
Umewahi kujiuliza kwanini vita zote za Dunia zinapiganwa ULAYA??
USA anataka kudominate Dunia zaidi na zaidi kwa mikopo nk. Mpinzani mkubwa wa USA ni CHINA, na China katulia ili nae auze silaha.
Acha tuone mzigo utakavyokuwa, ila nakuhakikishia hii vita ikipiganwa jumla SOUTH AFRIKA atasogea moja ya nchi tajiri duniani. Most of European country watarudi nyuma kiuchumi. Remind you, WWII nchi zote za Afrika hazikuzimejipatia uhuru, hivyo nguvu kazi ilikusanywa hadi huku. Now hakuna nchi itapeleka majeshi yake kusaidia wazungu, Dunia itageuka na uchumi utakua ASIA.
View attachment 2134365
 
Tuko na Rais Vladimir Putin - akianguka tunaanguka nae.
 
Ameshapandisha interest mpaka 20% anahofia kutakuwa kuna kudondoka kwa thamani ya pesa yake si muda mrefu
 
NATO wameshaipata message kisawa sawa. Unamshika simba kwenye sharubu ukidhani ni paka.
 
Naona Putin amaeamua kufukuza high military officials Walio conduct operations sababu imekua na majibu hasi kutegemea na walivyo kusudia. Na usiku wa leo looks like they plan a very serious attack.
Acha porojo za kwenye vikao vya wazee wa kahawa
 
Erdoğan ni mwamba mwenye akili, yupo kote kote
 
Balozi wa Russia UN Vassily Nebenzia aongea muda huu.

Anasema NATO walianza kuwapa silaha kali Ukraine tangu 2015 baada ya kukiuka mkataba wa Minsk, ambazo walianza kuzitumia dhidi ya watu wa Donbas.

Wapiganaji wa jimbo hilo la Donbas wakaomba msaada kwa Russia na ndipo Putin alipoamua kuwasaidia na pia kuifanya Ukraine isiwe na uwezo wa kuwa na silaha kama hizo.
 
⚡️US will discuss results of Russia-Ukraine negotiations with Kiev - State Dept.
 
naona aibu na hasira nnapoona mtu mweusi analia na ukraine.

waache wadundane huku wafe kule wafe damu itapakae allover mataifa mengine yenye nguvu yaingilie, nyuklia zitumie wapigane vita haswa maiti kila kona safi tuu.

baada ya waliyo yafanya kwenye nchi za africa hao marekani na washirika wake kwa muda mrefu acha wageukiane wao kwa wao wapelekeane moto.

dj walete na songi la ameno
 
Walianza kumlegeza kwanza.

Sasa ameshalegea unatupiamo muhogo mzima!

Putin bye bye!
Ila wanasema eti baada ya kuona wale vijana wa awali wasio wazoefu na vita imekula kwao,wanaleta jeshi lenye nguvu kutoka Belarus..

Kwamba ndani ya siku 12 lazima wachukue serikali,wakishindwa hapo watakuwa kwenye shinikizo kubwa zaidi la kumaliza vita .

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…