Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni vyema ukufahamu haya kwa sababu Historia imekupitia kushoto kidogo,

China ilipata maendeleo kwa gharama ya Wachina zaidi ya million 20 waliouwawa na utawala Mao kwa njaa, kufanyishwa kazi za kitumwa kwa nguvu au kwa sababu walikuwa matajiri.China ilipata maendeleo makubwa zaidi kuanzia miaka ya 1980 baada ya kuufungua uchumi wake kwa uwekezaji wa nje wa magharibi na kuingia soko la magharibi.

Eastern Europe ilapata maendeleo makubwa kuanzia mwaka 1990 baada ya USSR kuanguka na nchi nyingi za USSR ikiwemo Russia kuachana na ujamaa na kukumbatia ubepari .Kabla ya hapo mataifa mengi ya USSR yalikuwa maskini kapuku wa kutupwa.

India haijawahi kufuata sera za kijamaa.
 
Hili bandiko taam, zaidi nimekunukuu sehem niliyoipenda zaidi.

Hizi ndo Fikra za vijana wa Africa ambaye haamini kwenye kujitegemea fwala sana, mwanaume ukishakua unapenda vya bure namashaka na wewe [emoji2380]
Anaomba ela ya vocha kwa shemeji yake amtumie dem wake ili awasiliane na mchepuko wake! So stupid as ffffff...k!

Government of the elites by the elites for the elites..
Mzee mwenzangu umetoa definition nyoofu sana, tutoe mfano hapa bongo issue za tozo 😂😂😂. Democracy ya kwenye makaratasi ilitumika kweli?

Duh! Kuna watoto watakuita baba au mama sio?
Akizeeka ataitwa babu pia 😂, ila dunia ina mambo hii.

Mimi sio Muislam,lakini nafurahi sana kuona ndani ya Urusi Kuna Warusi waislam,baadhi ni wanajeshi,na wanapigana kwa mzuka mkubwa sana.
Nalipenda hii.
Msiniulize sababu.
Nimependa TU.
Mimi ni Muislam na naipenda Russia, Upande wa dini Russia zipo nyingi mno mbali na Uislam na Ukristo, yet wanaheshimiana na huezi kuta kuna migogoro ya kidini nchini hapo. Kwa kifupi kiimani wanaheshimiana sana tena sana.

It's better to be silent than to dispute with ignorant, waacheni kama walivyo tu, you can't argue with ignorances. Na huenda isiwe upumbafu mwingi unaowasumbua bali illusion of knowledge plus Ego that destroying them from within.
Umenuna sio 😂😂😂

Narudia tena huezi shindana na mpumbafu ukaonekana una akili. Kitakachofata ni ku-trigger emotions, mshikwe na hasira muanze kutukanana kitendo ambacho si cha kiungwana....
Sure, unaweza kujikuta unakasirika ukakosa stara ya kinywa mkaanza matusi kutukanana...

We Acha kuandika ujinga, Democracy ilianza ugiriki,usifikiri unajadiliana na watoto hapa!
😂
Na ile democracy iliyoanzishwa na wagiriki sio hii iliyopo hivi leo. Hii ya sasa sio democracy but demon-cracy.

Like hapa kuna mwingine kani'qoute na hatoona abadani nampa attention 😂,
Mtaje tumjue 😂😂😂

This is real T14 Armata i knew, i do respect you mwalim shida mimi kama pro Russia najua kuchanganua
Ukizidisha mahaba unaishusha heshma yako tupo wengi ambao tunapita kimya kimya ila Alhamdulillah tunauwelewa mkubwa wa kupambanua
Surely! Alikuwa vizuri akatekwa na mrembo Joannah plus bibi Nyamizi mahaba yakamzdia akaanza kuvuruga mambo 😂

Ila sa hivi kapunguza akirejea taratibu kwenye status aliyokua nayo
 
Hata Russia kulikuwa na makumpuni makubwa ya mafuta na gesi. Baadhi ni ExxonMobil na BP ambayo tayari imejiondoa kutokana na uvamizi wa Ukraine.
Yaani ni Capitalism mwenye nguvu mpe. Na mdogo atafikiriwa. Hii dunia yafaa iwe reset turudi kwenye barter trade exchange of economic goods rather than monopoly of economic goods.
Assume leo Russia yake makumpuninya Gas na nk yangekuwa foreign?
 
Dunia haitakaa irudi kwenye barter trade, Hata huyo Russia unayemshangilia ni bepari wa kutupwa na mfumo wake wa ubepari ni Oligarchs hao ambao unasikia boti zao za kifahari na pesa kwenye benki za Ulaya zimekamatwa baada ya vikwazo.
Mfano wa Oligarchs mkubwa wa Russia ni Roman Abromovich aliyepoteza timu ya mpira ya Chelsea.
Yaani ni Capitalism mwenye nguvu mpe. Na mdogo atafikiriwa. Hii dunia yafaa iwe reset turudi kwenye barter trade exchange of economic goods rather than monopoly of economic goods.
Assume leo Russia yake makumpuninya Gas na nk yangekuwa foreign?
 
Nakuelewa sana Yani.

Kuna watu sio kwamba Wana misimamo hapan,maana Kuna misimamo in faida.
Bali watu ni wapumbavu maana hata ukiwaelimisha hawaelimiki,kitendo Cha kutokuelewa watu wengine wanadhani ndio misismamo.

Mtu unamuelewesha mara moja haelewei unarudia Tena haelewei,
Aisee "unamwacha"
 
Hata sijui nisemeje umemaliza kila kitu.
 
Hakuna tena mgogoro kati ya Capitalism na Communism au Socialism. Mfumo wa Ujamaa ulikufa ilipoanguka USSR na hautarudi tena. Russia ya leo ni capitalism, China nayo ni Capitalism yenye mkono mrefu wa serikali.

Mgogoro mkubwa uliobaki duniani ni kati ya Democracy na Dictatorship/Autocracy na huu utadumu muda mrefu sana kwa sababu kuna mataifa ya kidemokrasia yanaangukia kwenye udikteta na mataifa ya kidekteta yanaoingia kwenye demokrasia.
 
😂😂😂😂Kwamba tutusa alafu anajifanya ndio msimamo 🙌🙌🙌😂😂😂😂lig zao mwisho mtaani kwao.
 
inshu sio kumpa vislaha vya enzi za ujima tunataka nato wakiongozwa na baba yao America watie maguu kwenye uwanja wa vita kama walivyofanya Iraq, Libya , Afghanstan na pale kosovo, hapo ndio tutajua Putin anapigana na wanume, ila kwa sasa kwa hizi ngojera wanazoleta watabaki kua ni kikund kinachounda umoja wa machoko against mwamba Putin
 
Hiyo lawama ipo tu.
Kabla ya ukoloni kulikuwa ni utumwa. Wale waliokuwa na nguvu walibebwa wakabaki weakest na iliharubu kabisa family system za kiafrika.
Ukoloni ulikuwa unyonyaji big time na ilikuwa ni kubeba tu rasilimali kifupi wangekuja leo wangekuja na gear ya demokrasia kuwa u Chief ni udikiteta lakini sio Ufalme.
Hawakupenda tuwe huru ndio maana serikali zote zilikuwa haziendani nazo walizitoa mfano Patrice na Angola.
Zimbabwe imepewa bendera 1980 na 2000 imeonyeshwa na mabepari kuwa wao wapo na wanamoliki.
Kwa sasa huwezi kuishi nje ya mifumo yao na ukitaka uishi kama Amazonian.
Kifupi huna ubavu wa kuanzisha mfumo wowote wa kiutawala wakaukubali kirahisi huku wakijua ni threat kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…