Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawana msimamo...
 
Mbona unawaza kupewapewa tu kila kitu, kwa nini unataka kutufanya waafrika wanyonge sana, hivi hiki ndo tunawarithisha watoto wetu kuwa wajiandae kupewa na kuomba, hao wazungu unawasujudu...wao hivo vitu waliumbwa navyo...kwa hiyo fikra zako zimefungwa kabisa kwenye ukoloni mamboleo na unaamini hamna njia out....kweli???Mbona waafrika tunashangaza sana..

Badala ya kujengea vizazi vyetu vijitambue kuwa vina uwezo wa kujikwamua....badala yake unasujudu hiyo misaada ambayo inatugharimu uhuru na utu wetu..seriously....??
 
Aisee
 
Hao watumwa wako walipelekwa Oman,Saudia,Brunei au Iran? waarabu/machifu walikua madalali wa wazungu na hiyo fursa wazungu ndio waliointroduse kwa ajili ya kwenda kulima mashamba yao huko America na kutumikishwa viwandani na ushahidi upo Black americans huko USA kama mfano.
 
Hivi hawa Ypg wana uhusiano wowote na Pkk ?.....ni kweli YPG sio adui wa Assad Ila ni adui kwa Uturuki, ila kujiingiza kwa Uturuki huko Syria na baadae Libya ni kama vile kumewakera waarabu japo walishirikiana nae kumpiga Vita Assad.

Ilikuwaje Marekani ikawaamini YPG mpaka kushirikiana nao kupigana na Isis badala ya kuwatumia waasi waliokuwa wakiungwa mkono na Uturuki ?.

Halafu Kuna vyuma chakavu nyingi na Screpa za vifaru vya Urusi na magari ya deraya vilivyoharibiwa au kutelekezwa hapo Ukraine, Ina maana Urusi hawana zile MRAP'S ambazo ni mine resistant na haziharibiwi kirahisi na milipuko mpaka watumie hayo mavifaa ya kale ?
T14 Armata
 
The main thing from the briefing of the Ministry of Defense of the Russian Federation:

- The Russian Aerospace Forces destroyed a large arsenal of the Armed Forces of Ukraine in Krivoy Rog, an Osa-AKM air defense missile launcher, as well as a radar station and five ammunition depots;

- Russian aviation eliminated more than 300 nationalists, up to 50 units of military and special equipment, and two command posts;

- Russian air defense systems shot down a Ukrainian Su-25 aircraft, destroyed four drones and intercepted a Smerch MLRS projectile;

- rocket troops and artillery hit 62 command posts, 596 areas of concentration of manpower and military equipment, as well as 52 nationalist positions.
 
lee van cliff
 
wape darasa watoto wa putin, hakunaga urafiki wa uncondition kwenye hii dunia .. kila urafiki au ubusiano lazima ndani yake uwe na benefit kwa kila mrengwa
 
Mko dunia gani nyie pro russia, yani silaha awe nayo Russia alafu USA asiwe nayo bajeti yake tu ni kielelezo tosha, baada ya kuvunjika soviet uninon USA ili wachukua wanasayansi wengi sana wa USSR tech ya dunia hii unayoijua wewe USA ndio Mmiliki
 
Yaani ni Capitalism mwenye nguvu mpe. Na mdogo atafikiriwa. Hii dunia yafaa iwe reset turudi kwenye barter trade exchange of economic goods rather than monopoly of economic goods.
Assume leo Russia yake makumpuninya Gas na nk yangekuwa foreign?
Dunia haina usawa,toka enzi na enzi ndio fomular ya maisha mpaka nowdays ukiwa mnyonge, utaendelea kuwa mnyonge mpaka kifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…