Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Be blessed
 
Nakupa vyeo tu mkuu
 
Ndio maana uliemuuliza hajakujibu ipasavyo.huwa Hana dharau angeshakujibu mapema TU.
Hapana me sikujibu chochote, ila Galip Vrl na Mr Tyang ndio waliomjibu kimasihara nadhani sababu ni kama ulivyowaza wanajua anajua ila ana......

Ok tuachane na hilo, umemweleza vizuri indeed ila kuna kisehem hiki hapa ngoja tukiweke sawa!
Kwa hiyo no fly zone ni kuweka (mitambo) Yani silaha za kuweza kufanya kazi hiyo ya kuzipiga ndege za Adui ama kudungua makombora ya Adui.
Kwa sentensi moja ni kwamba Zelensky aliomba silaha za kupiga ndege za Urusi.
Ni kwamba hakuna silaha inaitwa no-fly zone/ no flight zone!

Bali no fly zone ni kitendo cha kuzuia ndege vita ku-fly over eneo lililokusudiwa kuwekea hiyo no 'flight zone' vyovyote utakavoiita fly ama flight.

⚫ Ok sasa swali, Hii no fly zone inatekelezwa vipi?

Hii no fly zone inakuwa enforced by a threat of force, Taifa au Mataifa yanayo'impose hiyo No Fly Zone lazima ya-deploy surveillance aircraft ili ku-monitor airspace iliyokusudiwa.

Bila kusahau fighters to deter na kama ikiwezekana basi ku-shoot down any hostile aircraft ambayo inaingia eneo hilo. Mfano rahisi ni namna NATO walivyofanya Libya 2011 hiyo also kwa US na kundi lake kule Iraqi toka 1991 hadi 2003.

⚫ Swali la pili sasa turudi nyuma kwanini NATO waligoma?

Yah wote tunakumbuka namna Elensky alivyokua akiwaomba NATO kuweka no Fly Zone hapo Ukraine! Hii ilimaanisha kwamba NATO waingie kulilinda anga la Ukraine kama walivyofanya Libya. Vile vile ilikuwa na maana rahisi kutamka ila ngumu kutekeleza, maana ya kushoot down ndege vita za Russia.

So hiyo kwa tafsiri nyingine ingekuwa ni kama direct military intervention ambayo walipigwa Onyo na Putin kuhusu yoyote atakayeingilia. Na hiyo ndio sababu ya NATO kuwakatalia Ukraine kuhusu kuwawekea no Fly zone kwasababu ingekuwa ni mapigano ya moja kwa moja kati yao na Russia...

Mdau sikumjibu kutokana na namna alivyouliza "Kwa hiyo no flyzone ni silaha" 😂. Yes ni Pro-Russia mwenzetu nikaamua kukausha tu.

Logic ya kawaida tu.
Eneo la Bank si linalindwa? Wanalilinda kwa kutumia nini? Kwani neno ulinzi ni silaha? au Silaha ndio zinatumika kufanya ulinzi?

Katika kile nilichokua nazungumza kule ni kua hata panga ni silaha ila inaweza kua Offensive au Defensive kutokana na kusudio!

NATO na EU wamekuwa wakidai wanawasaidia Ukraine kujilinda, ndio tukahoji hata ile No Fly Zone waliyoomba ilikuwa ni kwa kujilinda wangewasaidia kama walivyofanya "huduma bora" kabisa kule Libya

Out of topic ni sawa na anayezini na anayefanya jimai 😂... Tendo ni lile lile style ni zile zile kasoro kusudio kua hili limefanyika ndani ya ndoa hili jingine nje ya ndoa!

Mdau lee van cliff nimesherehesha bila kusema eneo nilokusudia kulisahihisha... Lakin hadi kufikia hapo nahisi umenelewa na kutambua eneo nilokusudia kwenye maelezo yako ya awali.
 
Biden kutoipa Ukraine silaha za kupiga ndani ya Urusi anathibitisha ujinga wa watu wanaosema Ukraine kuwa karibu na US au kutaka kujiunga NATO ilikuwa tishio kwa usalama wa Russia na eti ndio sababu ya uvamizi wa Putin.
Naona mnazidi kujifariji
Si US ama NATO yeyote anaeweza kuhatarisha usalama wa RUSSIA
Waeke basi No fly zone ili UKRAINE iwe mahali salama dhidi ya RUSSIA
Kama wamechemka kumpa silaha zakupiga ndani ya RUSSIA
UKRAINE inaondoka mujue oohoo[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Yoda
Pitia hapa uupoe huo ubongo msosi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hzi ndio habar zanifurahishaga mm kwa kijiwe
 
Biden kutoipa Ukraine silaha za kupiga ndani ya Urusi anathibitisha ujinga wa watu wanaosema Ukraine kuwa karibu na US au kutaka kujiunga NATO ilikuwa tishio kwa usalama wa Russia na eti ndio sababu ya uvamizi wa Putin.
Wee jamaa ni mpuuzi sijapata kuona; akisema anatoa unafurahi na kusema mtaona sasa, akisema hatoi anathibitisha ujinga kwa pro Russia. You are hopelessly engaging your empty head in serious staffs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…