Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Ni wazo mbadala,sio baya.Ila nia ya NWO ya muda mrefu ni kuisambaratisha Urusi,kwa kuwa wanaona ndiyo kikwazo kikubwa cha adhma yao ya muda mrefu ya kuanzisha a One World Goverment,One Satanic Religion under the Antichrist and One World Currency.
Kuna vyuma vipya vimepelekwa huko Ukraine from US. Vyuma vya masafa marefu.Shauri yake, mpaka mwisho wa mwezi huu ya June zaidi ya 50% ya ardhi ya Ukraine itakua mikononi mwa Russia.
The United States and other NATO members do not intend to send high-class combat aircraft to Ukraine.
Julianne Smith, Permanent Representative of the United States to the North Atlantic Alliance, stated this. When asked by Air Force Magazine if the transfer of American aircraft such as F-16 fighters was discussed, she replied: "No."
Earlier, the media reported that the United States plans to sell Ukraine MQ-1C Gray Eagle reconnaissance and strike drones.View attachment 2248398
Putin instructed the Cabinet of Ministers to approve a 5-year road construction plan worth more than 13 trillion rubles
“The biggest project in this area is the creation of the M12 Moscow-Kazan highway with access to Kazakhstan as part of the Europe-Western China corridor”
Ruble Trillion 13 ni sawa na Tsh 476,803,407,080,000.00
Nisawa na Tsh Trillion 477.
Ukraine inapigwa kwa sababu nyingi tu!Kwasababu hata ukiangalia comments zilizo positive mwelekeo huo zina flag ya Rainbow na Ukraine pembeni. Huh!
Mzee wangu mapema mida hii upo hewani.Hebu wamalize kupigana basi tufanze ishu zingine maisha yasonge
Unasngalia vyanzo vya propaganda? Msikilize Zelensky the comedian mwenyewe anavyolialia. Jifunze kutafuta ukweliNawahurumia sana madereva wa hivi vifaru, wanauawa kizembe sana, Mrusi anatumia mbinu za WW2 kupigana kwenye maisha ya leo.
Unasngalia vyanzo vya propaganda? Msikilize Zelensky the comedian mwenyewe anavyolialia. Jifunze kutafuta ukweli
Ungejua ukubwa wa Ukraine usingebeza 20% iliyochukuliwa.Kelele zooote zinazopigwa humu nikajua Russia imeshachukua kama 50% ya Ukraine.
Ungejua ukubwa wa Ukraine usingebeza 20% iliyochukuliwa.
Itakuwa Afghanistan ni linchi likubwa sana lile,Mlimpa masaa 24 wakati mnaanza operesheni, leo bado ndiye rais na anaamrisha jeshi linalowatesa....
Kainchi kadogo kameshindikana, tena jirani wa Urusi kabisa.....kha!!
Afghanistan ni taifa la mbali sana, ila hako Kaukraine hapo jirani kamewatoza makamasi mumepoteza majenerali, mimeli, misafara imeliwa shaba, mumepoteza mindege, mumeuawa kama kuku na bado Kiev ilishindikana mumefuata tumiji twa huko mbali kama ilivyo Katavi kwa Tanzania.Itakuwa Afghanistan ni linchi likubwa sana lile,
lililowafanya mpigane kwa muda wa miaka 20 na bado mkapigwa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Unaposema Afghanistan mbali una maanisha nini?Afghanistan ni taifa la mbali sana, ila hako Kaukraine hapo jirani kamewatoza makamasi mumepoteza majenerali, mimeli, misafara imeliwa shaba, mumepoteza mindege, mumeuawa kama kuku na bado Kiev ilishindikana mumefuata tumiji twa huko mbali kama ilivyo Katavi kwa Tanzania.
Waliingia Somalia kichwa kichwa wakaishia kubinuliwa na Alshabaab, West Gate tu iliwashinda wakasaidiwa kimya kimya na TPDF. Nyambaf hawaUnaposema Afghanistan mbali una maanisha nini?
Zile base zenu dunia nzima mpaka Kenya ipo Zina faida gani?
Halafu Marekani halikuwa peke yake?
Hivi unajua Donetsk ni mji wa ngapi kwa ukubwa? Je kharkiv, je Mariupol?
Unafahamu viwanda vingi na rasilimali muhimu nchini Ukraine zipo Mashariki?
Na kuikata Mashariki maana yake umeua uchumi wa Ukraine?
Vita ni mkakati na sio kama ninyi mliingia Somalia kichwa kichwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Russia anapambana na vita za aina nne.Afghanistan ni taifa la mbali sana, ila hako Kaukraine hapo jirani kamewatoza makamasi mumepoteza majenerali, mimeli, misafara imeliwa shaba, mumepoteza mindege, mumeuawa kama kuku na bado Kiev ilishindikana mumefuata tumiji twa huko mbali kama ilivyo Katavi kwa Tanzania.