Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Lini mwisho tulipokea development assistance kutoka Urusi? Development partners wa Tanzania tunawajua vizuri tu.
According to your little brain,ndio maana unapanua hilo domo lako chafu.
Urusi ilizisaidia nchi za Africa wakati wa ukoloni kupata Uhuru,ikumbukwe,USSR kipindi hicho,ikitoa mafunzo na silaha kwa nchi nyingi za kiafrika hasa SADC,Afrika kusini ikiwemo. Kilichosababisha Urusi ikapotea Africa ni baada ya USSR kuanguka. Hawa mashoga unao wapigia Debe humu,wameawaua viongozi wetu ambao ni 'visionary' Sankara,Lumumba n.k. hii misaada wanaotuoa ni yakinyonyaji na kudhalilishana eti tuukubali ushoga,hivi ww babako angekuwa Shoga ungeona Sawa? Au labda ni Shoga tayari?
 
Umeandika madini Sana nahisi wewe ni Educator by Professional. Ina stahili uzi wa hili suara. Ask-Q
 
Muda wa kutumia kuni sasa.


🇫🇮 People in Finland are at risk of being left without bread. Bakeries are experiencing difficulties in their work due to the reduction in gas supplies.

Who is to blame and what to do? All because of Russia, the authorities will say they are strange, and they will ask the Finns to be patient a little more.
 


#Announcement

⚡️On June 6, a meeting of the Council of the CSTO Parliamentary Assembly will be held in Yerevan.

As part of the agenda of this event, CSTO Secretary General Stanislav Zas will inform the participants of the meeting

▪️on the situation in the area of responsibility of the Organization,

▪️on measures to counter challenges and threats to collective security,

▪️On the ratification of international treaties concluded within the framework of the CSTO.

The meeting will be chaired by Speaker of the State Duma of the Russian Federation Vyacheslav Volodin.
 
Upo sawa kabisa. Russia ni rafiki wa kweli kwa mataifa ya Afrika. Hakuna cha misaada ya NATO kwanza ni madeni siyo misaada
 
Punguza hasira baba. Jibu swali Urusi imetoa msaada gani Tanzania kipindi hiki na unalingana vipi na msaada wa traditional development partners? Vizuri pia tukumbushane USSR is DEAD AND BURIED siku nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…