Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

@Proved

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ndio wanaziita Controlled Conflicts, Kitu kinasukwa kuanzia A hadi Z. Hizo 8 trillions dola kwa miaka 20 ni wastani wa dola Bil 160 kwa mwaka.

Sasa tizama hii Graph kisha fikirisha akili yako ela nyingi za defense budget zilikuwa zinaenda wapi. Hadi wanafikia hatua ya kutoa majeshi yao huko hali tete...

Inashangaza kwa kweli unknown sponsor kwa technology tuliyonayo kwa sasa inashangaza
Ukumbuke pia Afghanistan ni land locked country...
Kuna njia za aina mbili za kufanya malipo, either Cash mkononi ama kupitia banking system.

Ukifatilia wanadai waliwatoa wataleban madarakani toka 2001, ina maana control ya nini kinaingia na kutoka ilikuwa kwao. So option ya banking system unaitoa.

Njoo kwe option ya pili angalia hizo nchi zinazoizunguka Afghanistan bila kusahau sheria zao zilivo kali. Jiulize iliwezekana vipi kwa kikundi cha wachunga mbuzi kuambaa na US pa1 na kundi lake miaka 20 yote na hivi sasa wako madarakani.

Nje ya topic Kama kumbukumbu zangu ziko sawa wakati Putin wanapambana na hao ISIS, alisema wazi japo kwa mtindo wa swali, Mnajua nani amewatengeneza hawa ISIS? akaishia hapo.

Walimsingizia sadam hussen anamiliki siraha hatari ikiwemo nuclear na chemical kumbe walifuata yao.
Yes bro! Kuna huyu mzee aliwaambia kabla na baada juu ya Iraqi, na walichomfanya the Almighty anawaona... Msikilize namna anavyoongea kwa uchungu!
Your browser is not able to display this video.

Huyo mzee sio mwarabu wala Mrusi bali muingereza Pure, alikuwa MP.

😂😂😂
Hivyo vyombo vyao vinasubiri kifaru kilipuke.

Katika Western MSM ambao wamechange mwelekeo kurudi kwenye professional zao mojawapo ni Bloomberg, wamepunguza Bias waliyokua nayo mwanzo. Kuna taarifa wanazitoa hadi unashtuka, unajiuliza ni wao kweli au 🤔

Maana wamezoeleka kudanganya mfano kama hii,



Taarifa ambayo BBC hata uwaogeshe maji ya "mchele" hawawezi thubutu kuizungumzia.
 
👏
👏👏
 
Utarukaruka kama mahindi ya popcorn na hiyo ndoano,utaenda mbele na kurudi nyuma ila fact inabaki pale pale kwamba Afghanistan ndiye nchi namba 1 kuzalisha Opium duniani kwa zaidi ya miaka 20 iliyopita na 80% ya Opium duniani KOTE inatoka Afghanistan.
 
Western Countries unaweza hisi wao ndio wamepewa vikwazo na Russia... Wall Street Journal nao wameanza kupasua majipu kueleza ukweli!


🇺🇸 The overwhelming number of Americans are dissatisfied with the state of the US economy.

The corresponding data is provided by The Wall Street Journal with reference to the NORC study.

83% of respondents believe that the country's economy is in a bad or sad state.

35% of Americans are not satisfied with their financial condition at all.

38% of respondents said that they have become impoverished recently.

The survey was conducted from 9 to 17 May. More than 1000 people became its participants.

Such results are the worst indicator of Americans' assessment of the state of the US economy since 1972.
 
‼️Summary from the Ministry of Defense on the situation in Svyatogorsk:

🏁Russian armed forces are completing the liberation of the city of Svyatogorsk in the DPR and the surrounding area.

💣In order to prevent the retreat of Ukrainian troops from Svyatogorsk, Ukrainian nationalist formations acting as barrage units today blew up a bridge across the Seversky Donets River.

💥Under the onslaught of Russian units, cut off from the main forces and supplies due to the undermining of the bridge, the remnants of the battalions of the 95th Airborne Assault Brigade of the Armed Forces of Ukraine and the 81st Separate Airborne Brigade of the Armed Forces of Ukraine abandoned military equipment along with weapons and dispersed along the coast.

🏊‍♂️Up to 80 Ukrainian servicemen swam across the river. The Russian servicemen deliberately did not open fire on them.

◼️We regard the refusal of the Ukrainian military to defend the useless Kiev regime led by nationalists as the only right thing to do, not cowardice. In doing so, they all saved their lives.

◼️We call on all military personnel and members of the territorial defense units of Ukraine to follow this example and stop thoughtless resistance in order to save their lives.

✅ For its part, the Russian armed forces guarantee all Ukrainian servicemen and members of territorial defense units who voluntarily laid down their arms decent treatment and return to their families.

@rusvesnasu
 
Wall Street Journal ni sawa na Fox news, Conservative wa US kuna vitu vingi wanafanana na Putin na siasa zake, ikiwa ni pamoja na kuthamini power juu ya kitu chochote, kupenda propoganda na conspiracies. Bahati nzuri Katiba yao ina checks na balances imara hivyo huishia kufanya uharibifu kiasi na kupiga kelele tu.
 

BIBISIII ni media ya democratic party
 
Marekani na Western Europe ni nchi kubwa kwa propaganda but in reality Russia kawaacha mbali sana! Kwa upande wa silaha
Huenda Russia sio nchi masikini kama tulivyoaminishwa kupitia propaganda

Mkuu bado unaamini Russia ni maskini?? Ulaya ni kama watoto wake anawahudumia, Dunia inapata shida kwa sasa sababu ya Russia.

Russia ni nchi tajir achaneni na propaganda. Russia ni taifa lenya nguvu na linaloogopwa na west.

Na hili suala la Ukraine ni kama anawapa onyo wasimsogelee. Russia ndo taifa lenye majasusi hatari duniani lakn mtaambiwa wale mashoga wa CIA na FBI[emoji28][emoji28].
 
Enhe we kima njoo hapa, jana ukanitoroka. Unahangaika kumjibu mtu ambae hana habari na wewe, Text zangu unajifanya huzioni eeh [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dunia iunge mkono Urusi kuvamia nchi nyingine, maajabu hayataisha bongo!
Ila kama unaumia sana Dunia kubwa kutounga mkono huo uvamizi fahamu tu nchi zinazoiunga mkono Russia kwa wazi mpaka sasa ni Korea Kaskazini, Eritrea, Syria na Belarus. Hayo yote ni ama mataifa ya Kidekteta, Banana Republics au failed states.
Kama dunia ingejua mapema Urusi inachofanya,ingeinga mkono,kama Urusi itashinda hii vita,dunia itajuta na kuikumbuka Urusi.
 
Leta hizo data za mauzo ya Opium zilizoweza kumuhenyesha US miaka 20, yes anasambaza 80%, wingi wa asilimia sio wingi wa thamani. Kama unazo hata chembe weka data kamili ya thamani ya mauzo kiasi kadhaa afu utwambir hio amount inajilinganisha wapi na gharama alizotumia mmarekani bado akavuliwa pichu miaka 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…