Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Once a Genius always a Genius, fumbo mfumbe mjinga mwerevu atalitambua. Umekita pale pale nilipokua nimekusudia mdau.Haina tabu Jomba, kwa heshima nafanya kama ulivyoelekeza naachana nae!
Ila naomba nihitimishe kwa haya machache...
1. Tunapojadiliana tusikijikite katika kushinda majadiliano bali kujifunza kupitia majadiliano.
2. Kundi la huyu dogo wanasumbuliwa na Ego, they pretend to know much while they know nothing.
3. Akili fupi sana ya kupambanua mambo yet kila post wanadandia kureply utafikiri wanalipwa manina.
4. Na mie huwa sina mtindo wa kujadiliana nao mara kwa mara ila ile hoja ya Opium ika break my patient.
5. Kwa faida ya wengi wanaojielewa... Swali la Ask-Q lilikuwa zito, Gumu na fikirishi kwa wanaojielewa bahati mbaya likaangukia kwa akili kisoda, Mrembo Yoda akakurupuka kutoa mashudu yaliyomo kichwani mwake.
Ile hoja ya Ask-Q inafanana na jambo ambalo nilishawahi kulisema huko nyuma. Kua dunia tunavyoitizama haipok vile inavoeleweka kwa walio wengi. Iko tofauti kabisa.
Em fikirieni tunaishi katika dunia, Dunia ambayo most sector ambazo ni muhim zipo under control.
Leo hii hata apo mbagala, fungua kiwanda kimya kimya hazipiti nukta utakamatwa. Na utakamatwa kupitia supply chain ya vifaa utakavyohitaji kuvitumia ili uzalishe ulichokusudia.
Je vipi kwenye ulimwengu wa silaha? Leo hii Intelligence zote kubwa dunian zinatizama kila ujio wa techonology mpya inashindwa kujua kweli supplier wa silaha za magendo ni nani?
Miaka 20, US aliyokua hapo Afghanistan alishindwa kujua anaesambaza silaha kwa Wataleban ni nani?
Afghanistan GDP kwa sasa ni 19.81US dollar, yani ile total GDP haijafikia hata ile Nusu ya kiasi alichopewa Ukraine in term of cash and Aid. Na ieleweke kua GDP ni Pato la Nchi wala sio kiasi cha matumizi ya nchi husika.
Hizo Opium zinazodaiwa kuwasaidia Taleban, ni hivi, Annual export ya Opium Afghanistan iko around 1.7$ to 2.4$ billions. Na hapa yadaiwa kuongezeka tofauti na miaka 20 hiyo hapo nyuma. Chukulia maxium hata ya 5Billion dola kwa mwaka. Zidisha mara 20 utapata around 100$ billions linganisha na Cost iliyotumika kwa US ya 8 Trillion dollar.
Kwa kifupi alichokua anak'point Ask-Q kwenye kile alichokizungumza ni watu kuelewa tofauti ya "Real War" na "Fake War", ndani yake kwa wenye akili tu huwa wanapata majibu ya kwanini kwanini kwa Ukraine imeleta attention kubwa kulizo zile za nyuma.
Na hilo mtu hawezi kulielewa kama ni mla chips zege nijazie jazie za kushiba, NEVER EVER.
A Aaah ha ha haa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha noma sana mwamba! Jana nilikua na mzuka nako nikatoe wenge kakanitoroka na sasa kamenitoroka tena. Hakapendi kavu kanaumia [emoji41].
Majeshi ya Russia yamewakamata waingereza wawili waliokuwa wakiipigania Ukraine kwa kulipwa na Zelensky...Waingereza hao watafikishwa mahakamani siku za hivi karibuni na wanatazamiwa kuhukumiwa adhabu ya kifo
View attachment 2252541View attachment 2252542
Ha ha ha mkuu Ziroseventytwo kaniambia niachane nae, nami nimemuacha kama alivyo [emoji23][emoji23][emoji23] Moto nimeuziiiima.Huyo toto jojo Yoda anafaa kupelekewa moto
Et kifo ,we jamaa..! Apo umekaa kwenye kona ya kitanda cha chuma cha shemeji yako umeshiba sasa umeanza kuleta habari za vijiweni mlizo hadithiana na watoto wenzakoMajeshi ya Russia yamewakamata waingereza wawili waliokuwa wakiipigania Ukraine kwa kulipwa na Zelensky...Waingereza hao watafikishwa mahakamani siku za hivi karibuni na wanatazamiwa kuhukumiwa adhabu ya kifo
View attachment 2252541View attachment 2252542
Duuu kazi ipoMajeshi ya Russia yamewakamata waingereza wawili waliokuwa wakiipigania Ukraine kwa kulipwa na Zelensky...Waingereza hao watafikishwa mahakamani siku za hivi karibuni na wanatazamiwa kuhukumiwa adhabu ya kifo
View attachment 2252541View attachment 2252542
Eiwaa pa1 mwamba, we shusha spana tunaoelewa nukta zilizojificha tuna-appreciate kimya kimya.Once a Genius always a Genius, fumbo mfumbe mjinga mwerevu atalitambua. Umekita pale pale nilipokua nimekusudia mdau.
Tofauti kati ya Real war na Fake war, Curious mind always huwa wana question kila neno katika sentence. Most people fail to grasp kwanini mercenaries wanaoenda Ukraine wanalalamika na kudai hali iliyopo sio kama Afghanistan. "Ukraine is Hell", Why?
Mind you, Russia alichotangaza ni just Military Operation not a War,
So how a large country like Ukraine (Yes it's large compared to Afghanistan) run out of everything kujilinda wenyewe in the so called Operation ikiwa vita kamili itakuaje?
And how did a poor country like Afghanistan, Oh no wait, kikundi cha wachunga mbuzi ndani ya Afghanistan kuweza kusurvive miaka 20 bila msaada dhidi ya World largest economy na wapambe wake?
As you said... Hizo mambo kwa wala Chips zege nijazie jazie bado sana kuweza kuzielewa.
Mbona unalialia hivyo mkuu?Et kifo ,we jamaa..! Apo umekaa kwenye kona ya kitanda cha chuma cha shemeji yako umeshiba sasa umeanza kuleta habari za vijiweni mlizo hadithiana na watoto wenzako
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hatari sana, hakikisha huikosi video hii motomoto...
Majeshi ya Russia yametumia hurricane rocket system kuyachapa na kuyapelekea Tsunami ya "kimbunga cha moto" majeshi ya Ukraine...yaani hadi raha aisee
Omusolopogasi, Glenn, Proved, MK254, Mwanamkiwi na waMarekani wengine wa Usoke, hakikisheni mmepata kopy yenu ya video hii hapa chini
Yaani kuna watu mpaka unajiuliza huyu ana kichwa au kabati la kuhifadhia Meno 🤣🤣🤣🤣🙏Sana lakini mpaka uwe na mtaji wa akili kiasi ndio utayaona!
Hapana hakuwahi kua nyuma ya watalebani.... US angekua ashapiga saa kelele.
Hivi kwa huu upumbafu unaukutoka kwenye hiyo kichwa... Hata kupiga mswaki unaweza kweli? Mbona unakua fala sana kiasi hiki?
Watalebani ndani ya vita miaka yote mfululizo, unataka kutwambia US alikuwa ***** tu hadi walipata mda wa kulima? Wakavuna? Wakapata soko la kuuza hizo Opium kupata hizo fedha? Wakati huo US hayo mashamba alikuwa anayamwagilia sio? Wakati huo Intelligence ya US ilikuwa imetulia tulii ikiwatizama sio? We jamaa mbona Mse**e sana?
Vitu vingine ukikosa majibu si ukae kimya tu 🤔.
Sikirimimimasikini hua anapote,ukiona kapotea ujue Yuko chimbo.Frontline kabisa.Umepoa sana mkuu😂 😂 leta manjonjo yako yale huwa naona sasa yule mchekeshaji kakimbilia shimoni kama panya
Si itakuwa Vita vya dunia.Yani urusi Sasa inaenda kupigana na UK, USA, German, swiden, Canada, Poland coz hao ndo watoaji siraha, pamoja na Ukraine wenyewe Ni hatari , na vita vitakuwa vikubwa Sana .
Watamfanya urusi kuongeza mashambulizi zaidi.
Muwe mnatuliza akili ndo muandikeChina
Korea kaskazini
Iran
Haya mataifa hayawezi kuingia kwenye vita ya urusi saana china kipindi RUSSIA anapigana na NATO wachina watavamia Taiwan only
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Tunapiga Marekani tu wengine wakiona moto mikia wataficha.Yani urusi Sasa inaenda kupigana na UK, USA, German, swiden, Canada, Poland coz hao ndo watoaji siraha, pamoja na Ukraine wenyewe Ni hatari , na vita vitakuwa vikubwa Sana .
Watamfanya urusi kuongeza mashambulizi zaidi.