Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Russia ana silaha za kutisha zaidi ya hypersonic??
Hembu tuambie hizo ambazo hajazitumia mpaka sasa uliziona wapi na zinafanyaje kazi?
Hivi jamaa angu tuache tu bias, hivi kitendo cha NATO kuwapa Ukraine silaha siyo kushiriki vita?
Na Kama Russia atashinda, ujue nchi za NATO zote zitakuwa zimeelewa kuwa hazina cha kuizidi Russia kijeshi.
Hii vita ni Russia Vs NATO ila wote wapo away ground huko Ukraine
We jamaa umeongelea sarmat, kama kakitu kadogo sana lakini siku nalisoma hizo dubwana nikasema halafu bado kuna watu wameshindwa matatizo madogomadogo kama njaa duniani kweli? haimake sense kabisa. ICBM technology should be a proof kwamba kuendelea kulialia njaa ni ujinga. Sisi tusihangaike na masilaha tuunde tu hata trekta basi aah!Tunapiga Marekani tu wengine wakiona moto mikia wataficha.
Sarmat tatu tu zinatosha kuiteketeza Marekani yote.
Katika pitapita zako umewahi kugusiagusia silaha za ICBM za kaliba ya Sarmat II?Russia ana silaha za kutisha zaidi ya hypersonic??
Hembu tuambie hizo ambazo hajazitumia mpaka sasa uliziona wapi na zinafanyaje kazi?
Maneno ya kijasili Sana[emoji28][emoji106]View attachment 2250785
Kadyrov: One of these days you will see a real special operation, from which these shaitans will flee not only from the cities, but also from Ukraine. We will please the true patriots of Russia, and let the enemies die.
Kuna muda huwa nahisi labda urusi ndio [emoji1134] na ndio ilopewa Baraka na Mungu ukute wale wa Israel ya Sasa sio wao paleHesabu hua hazidanganyi.
Ukitaka kujua uwezo wa majasusi wa Urusi angalia idadi ya majasusi wanaokabiliana nae na uwezo wao.
Kwa miaka yote Urusi anakabiliana na majasusi wa nchi kubwa zote na kwa pamoja lakini anawamudu.
Urusi anakabiliana na CIA,MI6,majasusi wa Ufaransa,German,iltaly, Belgium,Poland,Denmark,Norway, Turkey,Japan, Australia,Ukraine,Spain,n.k.
Au kwa kifupi sana anakabiliana na majususi wote wa NATO na maswahiba zao wa west.
Bila kusahau Mossad.
Hii wala sijiongelei TU,Bali ndio Hali halisi.
Kwa Russia kuhimili na kuwamudu majasusi wa nchi za west,sio bahati mbaya ni uwezo wake TU
vita ya dunia ya wapi watapigana wenyew labda mashoga zao watawapa sapoti. Wakilazimisha sana mie nitakuwa na washikia kofia tu.Si itakuwa Vita vya dunia.
shingo atoe wapi huyu ana nguzo Kama zile za kubebea madishMuwe mnatuliza akili ndo muandike
Kichwa bila akili ni kuichosha shingo yako
Kuna ka ukweli hapaMajususi wa magharibi wanakabiliana na Russia wanataka kuifanyaje Russia?
Ili tujue Russia kaweza kuhimili na kuwamudu hao majasusi lazima utuambie tujue wana lengo gani, vingenevyo ni porojo za vijiweni tu za kupuuzwa.
walime mbogamboga Kama mchicha, matembele, bamia, kisamvu , msusa n.k. pia waingie msituni kukata kuni Kama Poland hapa lazima wapoteane kwa kupuliza moto kila mmoja atakuwa anajiuoiza nipo ulaya au Afrika.Zelensky analalamika kuwa shoga zake wa kimagharibi wameanza kumshinikiza akubali kustopisha vita vya Ukraine kwa kufuata matakwa ya Russia na pia kwa maslahi ya hao shoga zake (nchi za magharibi)...
Naona mabeberu yameshaona maslahi yao yapo mashakani ikiwemo kupanda kwa gharama za maisha kwenye nchi zao, kukosa nafaka ikiwemo ngano, kupanda bei za gesi na wese...wameamua kuanza kumminya kibaraka wao
View attachment 2252590View attachment 2252591View attachment 2252592
Putin hii ngano isiwafikie Kenya nadhani unajua kwanini isiwafikieMarekani yalalamika kuwa Russia inasafirisha ngano ya Ukraine (iliyoizuia kwenye maeneo ya Ukraine) kwenda kuiuza kwenye nchi 14 zenye uhaba wa chakula, nyingi katika hizo zipo Africa...
Marekani imechukia kwa nini ngano hiyo imepelekwa Afrika badala ya kupelekwa kwenye nchi za mabeberu ya kimagharibi, na hivyo imeamua kuziadhibu kidiplomasia nchi hizo zinazopokea ngano hiyo.
Russia ndio mkombozi wa Africa, hawa wengine ni mabeberu tu wananua ngano kutufikia sisi.
View attachment 2252611View attachment 2252612
Full mzigo wa Mavi au nini au wa dhambiAmerica kupeleka UKr full mzigo [emoji116]
mie nishanawa Hawa upande wa pili huwa na skip post zao kabsa maana si waelewa, ni wakukariri Kama marobot tena wengi wao ni wanawake. Mie kidume nianze kubishana na dem kweli tena mvaa dera akili kisoda . Ajabu unakuta dume nalo linashadadia misaada mtu Kama huyu atakwepaje ushoga.Kuna hadithi moja inasema hivi
Kulikuwa jamaa mmoja alikuwa amekaa nyumbani kwake
Mara rafiki yake akaja kumtembelea, basi katika maongezi jamaa akasema Leo nimeenda porini kukata majani ya ng'ombe wangu, nimekuta majani yamechipua vizuri yaani nimepata majani mabichi ya kijani,
Rafiki yake akajibu kuwa si kweli Yale majani yana rangi ya blue na Siyo kijani
Ukatokea ubishi mkubwa Sana mpaka wakaamua kwenda Kwa mkuu wa mkoa
Na wakaahidiana kuwa Yule ambaye atakuwa hayupo sahihi atachapwa bakora 12
Basi walipofika Kwa mkuu wa mkoa wakasema mkuu tusaidie Kati yangu na mwenzangu Nani yupo sahihi na Yule ambaye atakuwa hayupo sahihi aadhibiwe Kwa kuchapwa bakora 12
Mkuu wa mkoa akasema sawa hakuna tatizo, haya sasa niambieni mlikuwa mnabishania nini??
Jamaa akajibu tulikuwa tinabishana majani ya mimea Yana rangi gani??,
Mwenzangu anasema Yana rangi ya blue Mimi namuambia Yana rangi ya kijani, sasa tunaomba utupe jibu Nani yupo sahihi na Nani amekosea
Mkuu wa mkoa akainama akafikiria halafu akainuka akasema aliyesema majani yana rangi ya blue yupo sahihi na wewe unayesema Yana rangi ya kijani umekosea, Yule jamaa aliyesema Yana rangi ya blue akaruka juu Kwa furaha na kwenda mitaani huku akishangilia kuwa ameshinda
Basi jamaa akachapwa bakora 12 na akaanza kuondoka huku akisikitika, mkuu wa mkoa akamuita akamuuliza unajua kwanini nimekuchapa???
Jamaa akajibu sijajua na Nina uhakika jibu langu la kusema majani yana rangi ya kijani ndiyo sahihi
Mkuu wa mkoa akamwambia ni kweli unachokiongea Ila nimekuchapa Kwa sababu, wewe ni mwerevu na unajua sasa ilikuwa vipi ukabishana na mpumbavu ambaye ameamua kuita kijani kuwa blue????
Nimekuchapa Siyo Kwa kukosea swali Ila Kwa kitendo chako cha kupoteza muda wako na muda wangu kumfundisha mpumbavu
Kwa hiyo huwa najiuliza mnapata wapi ujasiri wa kuwaelimisha wapumbavu ambao hawataki kuelimika na kushikilia kile walichoaminishwa au kinachowapendeza????
kwa hiyo sie ni wa chandarua na madawa ya ukimwi tu , sasa si bora anayeleta msosi maana Kama maralia mwarobaini upo. Ukimwi asilimia kubwa ni wapenda ngono za ovyo(waopoaji)Marekani yalalamika kuwa Russia inasafirisha ngano ya Ukraine (iliyoizuia kwenye maeneo ya Ukraine) kwenda kuiuza kwenye nchi 14 zenye uhaba wa chakula, nyingi katika hizo zipo Africa...
Marekani imechukia kwa nini ngano hiyo imepelekwa Afrika badala ya kupelekwa kwenye nchi za mabeberu ya kimagharibi, na hivyo imeamua kuziadhibu kidiplomasia nchi hizo zinazopokea ngano hiyo.
Russia ndio mkombozi wa Africa, hawa wengine ni mabeberu tu wananua ngano kutufikia sisi.
View attachment 2252611View attachment 2252612
analazimisha hadi majogoo mwishowe mida ya saa tatu kaanza kusinziaHuyu dogo tulimuonya aache ujinga alikuwa hasikii! Pia tulimwambia ngoma za watoto hazikeshi alikuwa hasikii shaulizake sasa!
Acha kusumbua wewe na kichwa chako cha mpanzi kisichoweza hata kubeba sado,subiri ulishwe madini.Jaribu ku summarize, mambo ni mengi sana humu ndani , ni vigumu kuweza kupata muda wa kusoma hadithi za Abunuwasi.
Mkuu jifunze kunyamaza kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wako, siyo sifa kuquote kila bandiko linalopostiwa humu, hizo ni dalili za ushamba na ujuha.Russia ni Tajiri kuliko Tanzania au Zimbabwe, Ujerumani, Ufaransa, Singapore, Korea ya Kusini ni Tajiri Kuliko Russia
USSR ilikuwa maskini kuliko Russia ya sasa ila ilikuwa na ushawashi mkubwa duniani kiasi cha kutambulika kama superpower, Korea Kaskazini na Pakistan ni mataifa maskini ila yenye kuleta shida sana kwa majirani zao. Hata Malawi kesho akiwa na nyuklia anaweza kuvamia majirani zake.
Geopolitics ni ngumu kuliko physics hasa kwa watu wenye akili ndogo kama za kwako. Unaweza kuchanganyikwa unapojaribu kuyaelewa mambo.