Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,700
Ni huzuniEt kifo ,we jamaa..! Apo umekaa kwenye kona ya kitanda cha chuma cha shemeji yako umeshiba sasa umeanza kuleta habari za vijiweni mlizo hadithiana na watoto wenzako
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Jitahidini kuficha ujinga wenu hata mkiuliza maswali.
Sasa iyo nato iliyo hai na inajitanua kuelekea RUSSIA ulitegemea nini? yes it's cold war na ndio maana unaona hao ndugu zenu wanavyoweweseka hapo UKRAINE maana wakishindwa mambo yao yanaenda kuvurugika completely na tayari tushaona moshi tunausubiria moto.
We mzoga unateseka sana ila tulia utaoza hivo hivo taratibu, Galip Vrl alivokuita wasted sperm hakukosea nenda kapambane nae kule sio akiingia unajifanya kupotea akiondoka unakaza makalio yako kudandia text zisizokuhusu.
Jaribu kubalance shobo we gasho mtoto, unajisikiaje unapolazimisha maongezi na mtu ambae hana habari na ww? Unalipwa? Hicho kipele kama kimekua kikate au wafate mbumbukwazi wenzio wakukune.
A dull witted, mindless, fat headed, silly and brain dead. Hivi unatofauti gani na "Pig" we boya?
Hilo yai lililo kutotoa mara 10 lingekuwa viza wasingeingia hasara kukulisha ugali kukuza huo mzoga unaotembea.
So STOP,
Hili jukwaa huru acha kiherehere na Engange kwe issue zinazokuhusu tu other wise funika tundu lako sio kila mtu ni muhitaji kenge ww!
Mkuu jifunze kunyamaza kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wako, siyo sifa kuquote kila bandiko linalopostiwa humu, hizo ni dalili za ushamba na ujuha.
Nasiyo kila kinachopostiwa hapa nilazima kieleweke sawa sawa kwa kila mtu, RAM na CPU za ubongo wetu ni tofauti so, usilazimishe kuelewa kila kitu au kulazimisha maana ya mwenzio kuwa maana yako kwasababu tu ya interest zako binafsi huo pia ni ushamba.
Mwisho: kwa wenye akili na wasio watumwa wa fikra za Western propagandas wameelewa nilichoandika kuhusu uwezo halisi wa Russia ila kwa vichwa maji kama wewe naamini hujanielewa na hutanielewa kabisa kwa taifa masikini kama Russia kuwa na uwezo wa ajabu vile kijeshi, kiuchumi, kiteknolojia, kiushawishi, kisiasa, kirasilimali na nk
So its better to mind your own business ili tusipotezeane muda na nguvu bure. siwezi kuangaika na kinywa cha mjinga asie tayari kueleweshwa.
Dola bilioni 40. Mzee kama una upinde peleka unakula dola hizoHivi Jamani hizi siraha zinapelekwa huko Ukraine zinaenda bure au wananunua maana kila nchi inataka kupeleka siraha huko.
Isije kuwa Kuna manufaa huko wanapata. Eti Jamani tujuzane.
Hakuna vita visivyoisha, vita baridi iliisha mwaka 1990 baada ya USSR kuanguka na Ukomunisti wake, Kilichobaki ni USHINDANI na tofauti za mataifa, HAKUNA VITA. Wachina na Warusi wanapambana kukuza geopolitical powers zao dhidi ya Marekani na mfumo wa demokrasia duniani.
Mimi nimeachana nae huyo.Namna ulivyouliza swali tu mtu unapata picha kuhusu uwezo wako wa uelewa wa Mambo mbalimbali...Sina Shaka yoyote ile uwezo wako katika uelewa ni wa chini mno...unauliza eti niliziona wapi silaha hizo?!?!!!! Duh...maswali Kama haya huwa wanaulizana kwenye vijiwe vya wanywa kahawa mitaani...kwenye jukwaa hili maswali ni: Tupatie source, na kadhalika na siyo uliziona wapi silaha hizo...
Kama jasusi mbonevu ameiona Hali halisi kuwa Ukraine inapoteza,na misaada ya USA haisaidiwi kitu.
Kama wewe na ubishi wako wote huu hujui vita visivyoisha baina ya Russia na west basi ntapata taabu sana.
Sasa nakuuliza NATO IPO kwa ajili ya kujilinda dhidi ya nani?
Siku hizi na nyie mnavaaga vimodo?Sisi haoo View attachment 2252177
Dadekiiii washaanza elewaaa mzikiii dadekiii
Kuna muda huwa nahisi labda urusi ndio [emoji1134] na ndio ilopewa Baraka na Mungu ukute wale wa Israel ya Sasa sio wao pale