Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mjapani na yeye katoka mita mia.... Putin la kwako hilo babaa !! ukizubaa utachuchumaa !!

Japanese and NATO officials agreed Tuesday to step up military cooperation and joint exercises as they shared concerns that Russia’s invasion of Ukraine is causing a deterioration of the security environment in Europe and Asia.

Japanese Defense Minister Nobuo Kishi said after meeting with NATO Military Committee chief Rob Bauer that Japan hopes to strengthen its ties with European countries and welcomes NATO’s expanded involvement in the Indo-Pacific region.
 
Ni vita au operation?
Mkuu unapenda ligi za kijinga sana.
Unaweza kuwa unaelewa jambo vizuri sana,Sina shaka na hilo.
Lkn unapenda kuchukua vitu vidogo visivyo na faida na kuifanyia ubishi.
Kwa kifupi sikudharau, na ninaheshimu sana mawazo Yako.
Lkn vitu vingine ni vidogo sana kwako.
Wewe ni zaidi ya hivyo.
 
Bro sisi wote tuna tegemea habari za vyanzo hivo hivo ila una fanya research kidogo. Rusia ana kadiriwa kuwa na nuclear war heards 6500 ila sasa US ana 5500, idadi sio ishu, US amefanya nuclear enrichment mara 500 ya lile la Nagasaki na Hiroshima.
At least we mdau umezungumza kama mtu mzima hivi!

Kitaaluma si sawa kupinga ulichokieleza ila ni sawa 101% kuhoji ulichozungumza.

AFAIK ni kua lile la Hiroshima lilikuwa na around 15kilotons, 500times maana ake ni 7,500kilotons, sawa na 7.5Megatons.

Tsar Bomba ina 50Megatons, hii ni mara 3,300 zaidi ya lile la Hiroshima na ni mara 6 zaidi ya hiyo Idadi uliyoisema upande wa US, Je Unajua Tsar Bomba linamilikiwa na nani? Hapana sisemi we nenda tu Google ukasakue...

By the way sijui kwanini nimevutiwa na hiyo reply yako kwa Jamaa hapo Juu. So tuongezeane maarifa kidogo... Kwanza ni kua US kaboresha zaidi ya hiyo Idadi unayoisema.

Top kabisa kwa US ni Castle Bravo yenye 15Megatons zaidi ya mara 1,000 ya lile la Hiroshima, kuna Castle Yankee yenye 13.5Megatons, kuna Castle Romeo yenye 11Megatons hizo zote iliyo top Castle Bravo haisogelei hata kwa kubahatisha ile Tsar Bomba ya Russia.

Castle Bravo yenye 15Megatons kwa Tsar bomba yenye 50Megatons ndio utaelewa kwanini Russia anaogopeka kama ukoma, na hapa hatimae nimejibu nilichogomea kukisema mwanzo.

Mind you kua hiyo Tsar bomba ina uweoz wa kufikia 100Megatons, karibu mara 7,000 ya hiroshima meanwhile Largest weapon ever produced by US ni B41, ambayo yakadiriwa ina uwezo wa kufikia 25Megatons, this is no where closer to Tsar bomba ya Russia.

Kingine nilichokipenda kwenye maelezo yako umesema idadi sio issue, well said then sasa nakusogeza kwenye Issue ya means of delivery ya hizi Nuclear bomb. Linganisha upande wa Russia na Upande wa US ama NATO kwa Ujumla utapata majibu kwanini US amekomaa kujenga Base kuizunguka Russia.

Samart 2 ina uwezo wa kubeba vichwa 15 vya Nukes, na inaweza kupiga sehem yoyote US ndani ya dk 30, sasa ikiwa US ni ndani ya mda mfupi kiasi hicho je hawa majiran wa EU vipi???.

Ile Notion ya kwani "EU hawana hizo nuclear" bila uchambuzi yakinifu ya how and when ni mashudu tu kama mashudu mengine.
 
“Without training, without anything, people who didn’t serve at all, that’s how I am. They just took it and threw it into the meat.”

A serviceman of the Armed Forces of Ukraine, who surrendered to the LPR fighters, said that after mobilization he had almost no connection with the command - it was simply absent.

“We were assigned to dig trenches, then we went for provisions, we were fired upon, and we decided to surrender to the LPR. I don’t regret my choice: we survived and survived,” he added.

 
Asante. Nime jifunza
 
Mkuu umempa madini sana. Mkuu we ni multi Experienced sana
 
UKWELI KUHUSU UTURUKI NA URUSI KUHUSU UHUSIANO WAO
Za mchana. Nimekuwa kimya kwa muda mrefu ili niweze kufuatilia kwa kina masuala haya.
Leo ninapenda kuongelea haya yanayoendelea Ukraine na uhusiano uliopo katika taifa la Uturuki na Urusi.

UKRISTO ULIANZIA WAPI?

Bila kupoteza muda kabisa, watu wa kwanza kuitwa kuwa ni wakristo ni waumini wa kanisa lililokuwa linaitwa kanisa la Antiokia(Antioch). Kanisa hilo linapatikana maeneo ya nchi ya Uturuki.
Kanisa hilo lilianzishwa mwaka 42AD baada ya Barnabas na Paul kufanya kazi katika maeneo hayo. Wayahudi wengi walikuwa wakikimbia kutoka Jerusalem na kwenda Antiokia kule ndiko kulikuwa na usalama. Sasa basi wayahudi wengi walikimbilia uturuki.

Kanisa la Antiokia ndio msingi wa kanisa la Orthodoxy. Kwamba walikuwa wakiamini kuwa Mungu ni mmoja na Mungu hana mwana. Watu wengi walieneza injili na kusababisha Roman Empire kuanza kulemewa.

First Council of Nicaea
Hii iliitishwa na Roman Empire ilikusanya ma Bishop wote wa kikristo. Ilifanyika mwaka 325AD chini ya Emperor Constantine I. Ndipo kukaanzishwa kanisa la Roman Catholic. Baada ya hapo ndipo kilizaliwa kitu kinachoitwa utatu mtakatifu. Utatu mtakatifu ni imani za kimila za wa Rumi. Jupiter, Juno and Minerva.

Wakristo wa kweli walikimbia na kuvuka Black Sea kuelekea Urusi. waliweza kuanzisha na kuendelea na kanisa la ukweli nchini urusi.

ISRAEL YA KWELI
Kwa sasa tupo katika safari ya mpito kwamba Wakristo wa kweli wanarejea kule walipotoka. Lazima kuwepo na njia ya kuweza kuifikia Uturuki. Uturuki itakuwa chini ya Urusi na Itaondoka kwenye umoja wa NATO. Israel ya kweli ni Urusi. Na siyo eneo la Palestine tena. Wayahudi walishaondoka katika eneo hilo.
 
Urusi hana jeuri ya kupigana na ushirika wa nchi zaidi ya thelathini ambazo kwa pamoja zina share gharama ya vita. Urusi ya Vladimir itafilisika tu.

Mpe Russia heshima yake kupambana na Nchi 30 tena superpowers sio jambo dogo ndo mjue Russia sio nchi ya kawaida. Ukraine hii vita ishawashinda tayari na Russia amesema wakiendelea kukaza MATACORE operation itaendelea.

Mpaka sasa EU ndo mhanga mpaka sasa uchumi wao ushaanza kushuka kwa kasi hvi unafuatilia kinachoendelea?? Unajua Poland sahv wanaokota kuni kwa ajili ya next winter? Unajua kinachoendelea UK? Unajua kinachoendelea Finland au upo upo tu? Hatujaja Germany nk nk

Hii operation ikifika mwaka tu EU itakua na wakati mgum sana kiuchumi, washaanza kulia huko chakula hakuna, gharama za maisha zimepanda. Unajua EU hawataki hii operation iendelee na wanamshinikiza elensky akubali matakwa ya Mrussi??

Endelea kujazwa propaganda za BIBISIII. Mpaka sasa dunia imejua West ni dhaifu, waoga, walikuzwa tu kumbe ni wakawaida. Kama mnaombea uchumi wa Russia kudhoofika endeleni kuomba mpaka yesu anarudi Russia itazidi kuwa Imara zaidi ya hii.

Kitu kingine nilichojifunza kwako. Huijui Russia ni Taifa la aina gani. Full stop [emoji113]
 

Kama hajui silaha kali zimepelekwa Ukraine ila zimefeli. Pale snake island walipeleka mitambo yao bila sahau wale wajesh wao wanaowasifia kila siku ILA WALICHOFANYWA pale kisima cha nyoka hawana hamu[emoji28][emoji28][emoji28].
Kufuta aibu wakatuletea propaganda za vifaru vya Urusi kulipuliwa wakati vinajaribu kuvuka mto[emoji28][emoji119][emoji119].

NATO walikuwa wanajaribu kupima kina cha bahari kwa kidole, nadhani wamepata majibu

RUSSIA RUSSIA RUSSIA [emoji635] [emoji635][emoji635]
 
Bro sisi wote tuna tegemea habari za vyanzo hivo hivo ila una fanya research kidogo. Rusia ana kadiriwa kuwa na nuclear war heards 6500 ila sasa US ana 5500, idadi sio ishu, US amefanya nuclear enrichment mara 500 ya lile la Nagasaki na Hiroshima.

Akili zako zilitoka na Marinda asee, hvi unajua power ya Sarmat 2?? Unajua Russia yuko advanced kwenye ICBM??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…