Kiko wapi,unai-sanction nchi inayoitegemea for almost everything!Uzuzu mtupu.View attachment 2255342
The largest gas companies from 9 European countries have agreed to pay for Russian gas under a new scheme.
This is evidenced by data from a study by the KSE Institute.
The UK allowed to conclude agreements with Gazprombank until May 31.
From April 1, Western companies from unfriendly countries must pay for Russian gas under a new scheme - by converting euros into rubles through Gazprombank
Ana kichwa kigumu sijui kama ataelewaUnapotetea kitu usiweke mahaba bali kuwa mkweli mkuu,huyu putin anachokifanya nikulinda na kuhakikisha usalama wa taifa lake ambapo alishaomba hiyo guarantee kwa nchi za magharibu wakiongozwa na marekan.pia usijitoe akili kuwa walimdharau na hiyo nato haipo hapo kwa bahati mbaya lengo ni kuisambaratisha urusi, napia utambue marekani na urusi washaingia mikataba ya kutowekeana millitary base nchi jirani mfano kisa cha cuba na uturuki.Wew unadhani urusi leo akitaka awoke base ya kijeshi Mexico,au Canada na hizo nchi zikasema zina uhuru wa kutopangiwa mambo yao, na hapo ujue wanapakana mipaka na marekani afu wanamkaribisha adui yake karibu nae.Hapo lazma marekani awavamie tena alivyo na ushetani atatumia silaha yeyote kuzipiga hizo nchi na hapo wew yoda utasema ana haki kwakua ni baba wa demokrasia na haki za kibinadamu.lakin kwakua ni raisi putin aaah utasema huyo diktekta na katili na hapo ukumbuke anaipiga Ukraine sio kwa vita kamili bali ni oparesheni ya kijeshi huku anagawa hadi misosi na maji kwa wanachi na wanejeshi mateka na kuwapa pia matibabu lakin hapa kiongozi wa urusi ni diktekta.huyo maduro na asadi viongozi halali waliopo madarakani kuongoza mataifa yao,marekani anataka kuwapindua kisa ni waadilifu kwa mataifa yao na kugoma kuwa vibaraka wa marekani.kwako wew mkuu yoda nimadiktekta kama marekani anavyosema, hapo usisahau ushetani alio fanya kwa hizo nchi najua wajua each and everything bila kusahau libya,Vietnam n.k.kumbuka hakuna mtu aliyemnyoshea kidole hata UN ilikua kimya.sasa putin na ayatollah wa irani walivyoenda kutoa msaada wa haki kwa sirya na venezuela means kwako mkuu nikwamba hao ni madktekta wamenda kusaidia madiktekta wenzao kisa wao wamechagua njio ya haki na usawa usio chini ya minyororo ya ushetani wa marekani.
Kaanza kulegea hana mataumaini tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akiwa mwenye huzuni ,rais wa Ukraine amesema iwapo majeshi yake yatauwachia moja kwa moja mji wa viwanda wa Sievierodonetsk ambao uko mashariki ya nchi hiyo basi haitakuwa rahisi kuurudisha mji huo mikononi mwao.
Hayo ameyasema leo wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari. Amesema iwapo itabidi kuondoka basi watahitaji askari mara 5 zaidi wa waliopo sasa na vifaa vingi zaidi vya kivita ndipo wapigane na warusi kuwaondoa
Kauli hizo za raisi wa Ukraine zimekuja wakati meya wa mji huo na makamanda wa majeshi wamesema tayari wamesharudi nyuma mpaka viunga vya mji huo baada ya mapigano ya muda mrefu ya mtaa kwa mtaa ambapo wamezidiwa na jeshi la Urusi.
Bangi imekusaidia mkuu unachokisema ukikitazama kuna ukweli ndani yake jamaa wanakangata kwa makelele halafu wanapuliza kimya kimya wasijulikaneWajerumani ni wababaishaji waliobobea, mwanzoni mwa hii operesheni waliahidi kutoa msaada wa kofia au helmet 5000 na inasemekana mpaka leo mzigo haujafika kiev, chancellor aliahidi ifikapo mwezi november watapeleka mfumo wa IRIS-T-r air defence system, siku chache baadae waziri wa ulinzi akasema huo mfumo hawana tena kwenye store yao ya silaha. Chancellor wao ni bingwa wa kumsema vibaya putin lakini zikipita wiki mbili anampigia simu. Nina wasiwasi kuna wajanja wa ulaya wanamuunga mkono putin nyuma ya pazia nina wasiwasi na macron na huyu cancellor wa ujerumani. Leo nimevuta bangi mchanaView attachment 2255253
Kwahyo US alivyoenda kuweka majeshi yake afghanistani,inamaana hio nchi ilikua inauchumi mkubwa sana na hapo kumbuka kaivamia tena ikiwa chini ya talibani.wataka niambia kitisho nikutoka kwa jirani osama bin laden tena akiwa ndie mshirika wa hao talibani,ambapo hawakumruhusu kuwavamia nakuweka base.Vip na kenya nayo inauchumi mkubwa sana au kusema imeruhusu marekani kuweka military base kwake kitisho kikiwa ni jirani zake alshababu(hapa ukimanisha nchi) na sio somalia na Serikali yake sindio maana yake.afu hiyo kusema Mexico na canada nimetolea mfano wew unasema namawazo finyu.lakin kwakua nimeshajua najadiliana na mtu wa aina gany nipende kusema nothing more to say to you.Huelewei sababu za nchi kuikaribisha US kuweka vituo vya kijeshi nchini mwao. Ukiona nchi yenye uchumi mkubwa imekubali US kuweka kituo cha kijeshi kwake ni kwa sababu inajiona haiko salama dhidi ya jirani au majirani zake, kwamba inaweza kuvamiwa wakati wowote .Sasa kuwaza tu kwamba Mexico au Canada zitaogopa kuvamiwa na US hadi zimkaribishe Russia kuwaongezea nguvu inaonyesha kwanza ufinyu wa mawazo yako.
Watu wana ungana na wenye hela sio wapenda vitaSawa kabisa,Urusi wa-develop new alliances in Eurasia,Africa and Latin America;Marekani na Europe sio dependable partners
Ana kichwa kigumu sijui kama ataelewa.
Mkuu nishamosoma mawazo yakeAna kichwa kigumu sijui kama ataelewa
Kipindi Russia anasogeza majeshi yake mpakan mwa Ukraine, nilimshangaa sana Zele kukataa kukaa mezani na jirani yake wayamalize mezani, Taifa la Ukraine litamkumbuka kama rais wa ovyo ambaye kairudisha nchi miaka 50 nyumaAkiwa mwenye huzuni ,rais wa Ukraine amesema iwapo majeshi yake yatauwachia moja kwa moja mji wa viwanda wa Sievierodonetsk ambao uko mashariki ya nchi hiyo basi haitakuwa rahisi kuurudisha mji huo mikononi mwao.
Hayo ameyasema leo wakati akijibu maswali ya waandishi wa habari. Amesema iwapo itabidi kuondoka basi watahitaji askari mara 5 zaidi wa waliopo sasa na vifaa vingi zaidi vya kivita ndipo wapigane na warusi kuwaondoa
Kauli hizo za raisi wa Ukraine zimekuja wakati meya wa mji huo na makamanda wa majeshi wamesema tayari wamesharudi nyuma mpaka viunga vya mji huo baada ya mapigano ya muda mrefu ya mtaa kwa mtaa ambapo wamezidiwa na jeshi la Urusi.
Ujue Watu hawaijuhi vizuri Russia
Kwa mtu mwenye IQ kubwa,hela sio issue,kwanza utu.Watu wana ungana na wenye hela sio wapenda vita
IndeedKwa mtu mwenye IQ kubwa,hela sio issue,kwanza utu.
Wazungu wabinafsi hapo anaangalia mustakabali wake . Poland anaonesha uhasama sasa anahofia vita ndio inaisha itakuwajeBangi imekusaidia mkuu unachokisema ukikitazama kuna ukweli ndani yake jamaa wanakangata kwa makelele halafu wanapuliza kimya kimya wasijulikane
Akili zimeanza kuwakaa sawa.A Greek court has overruled a previous judgment that allowed the #US to seize a portion of an Iranian oil cargo aboard an Iranian-flagged tanker off the Greek coast, according to Reuters.
#Greece
#Iran https://t.co/Gid3GbX6If