Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

acha uongo wewe unakuja na maneno yako bila hata source... leo the garden wametoa taarifa hii ...

The gardian
Russia-Ukraine war latest: Ukrainian forces โ€˜holding onโ€™ in key Donbas battles but losing up to 200 troops a day, Zelenskiy aide says โ€“ live
 
"Wise people study history, Because if you don't know what was you can't understand properly what is" Buddha.

Kila kinachotokea leo kina roots zake sio ajali au coincidence na tumejionea wenyewe hao weupe ni weupe kwelii kupitia maamuzi yao.
Sence 19thC viongozi wao wanamention NWO katika matukio tofauti ila kuna kenge atabisha bila hata rejea sijui anataka tumwamini yy kama nani?

UN ilianzishwa baada ya WW2 ilikua ni nmkusanyiko wa nchi 50 wakaunda UN charter na eneo ni US.

Cha kujiuliza kwa nini US atake yeye ahodhi peke yake ( NWO) kuhakikisha amani duniani? Na kuna nchi zaidi ya 150.........

Na ukizingatia kila taifa lina mamlaka,tamaduni,pesa,ulinzi wake,uchumi, siasa zake.
Kwa wenye macho ni dhahiri US anajiandalia kiti cha enzi hapa duniani,na mataifa yenye uthubutu,nguvu na visionary leaders wanawachalenge.

Nawasalimu kwa jina la RUSSIA...
Kichapo kiendeleee
 
warusi waishio Tanzania wana mbwembwe!!

Mrusi akitaka kuheshimika duniani aache uchoyo !! Elimu mchoyo, Uchumi mchoyo - sasa utakuwaje super power wakati hata lugha yako yenyewe unaongea mwenyewe tu.

Watu wanaokwenda Urusi kusoma wakirudi wanaishia kuwa mateja, nchi gani na namna hiyo.
 
Da Russia inaihudumia Dunia nzima aisee,Kila sehemu wanatoa huduma.
Kizuri zaidi hutoa huduma kwa mkopo pia,vita hii imetujuza mengi.
Kumbe wengi hupewa huduma kwa mkopo na hulipa taratibu,wamejisahau sana wanamtukana kawakatia huduma na kudai madeni yake,wanaanza kulia.
Finland,Sweden,Japan etc
 
Wewe tuletee Swastika kutoka jeshi lolote la West tukuamini au hata proof kwamba ni official Government ideology ya nchi za West.
Usikimbie naanza.
====
Air Force Academy

Flag of the Air Force Academy
Active2005-
Country Finland
BranchFinnish Air Force
RoleAir defence training
Garrison/HQTikkakoski
MarchSotamarssi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ