Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
"Tuiombee Ukraine na Urusi vita hii iishe"Vita vya Ukreni kwa siku inakadiriwa wanajeshi wa Ukraine 100 - 180 hupoteza maisha huku wanajeshi wa Urusi 70 - 150 nao hupoteza maisha.
Ukrain hupoteza zaidi wanajeshi wake kutokana na Urusi kumzidi kwa ubora wa silaha. Kama Ukraine itapatiwa aina na silaha alizoziomba toka nchi za magharibi na USA basi takwimu hizo za vifo vya wanajeshi wake zitashuka sana.
Tuiombee Ukraine na Urusi vita hii iishe, kwani mpaka sasa hakuna anayefaidika kati yao zaidi misiba kwenda pande zote mbili
Wengine hawa hapa tena wametumia sheria kuhakikisha hii alama haipotei kwenye makazi Yao. Ni West countries hao.Wewe tuletee Swastika kutoka jeshi lolote la West tukuamini au hata proof kwamba ni official Government ideology ya nchi za West.
😃😃😃😃😃Angalia usije kua delicious kwa kuogopa kua mchoyo myukraine wa kwa mpalange.warusi waishio Tanzania wana mbwembwe!!
Mrusi akitaka kuheshimika duniani aache uchoyo !! Elimu mchoyo, Uchumi mchoyo - sasa utakuwaje super power wakati hata lugha yako yenyewe unaongea mwenyewe tu.
Watu wanaokwenda Urusi kusoma wakirudi wanaishia kuwa mateja, nchi gani na namna hiyo.
Ni wapumbavu tu wanatukuza udikteta wa China na Urusi. Hapa kwetu tulionja joto la udikteta kipindi kilichopita ,kwa rehema zake Mungu alituondeshea batili. Tanzania hatimaye ipo mbioni kujenga demokrasia imara na umoja wa kweli. Kazi iendelee.Akili hauna kabisa vita vya tatu vya dunia lazima nchi zote za nato zirudi zama za kutumia vibatari na kuni ikiwemo marekani hivyo usijidanganye ...tena hapo ni NATO +USA VS RUSSIA TU sasa china ndiyo itachukua dunia yote na kuitawala usa na nato na russia itainuliwa na china hii ni aina mojawapo ya vita ila kama itatokea vita vya dunia vya tatu vya aina hii ya pili NATO +USA VS RUSSIA + CHINA + KIDUKU basi hapo nchi zote zitachakazana na ushindi bado utakuwa kwa china na russia
Pole sana Ndugu kwa maumivu unayopitia [emoji16]Kumnyonga mtu aliye jisalimisha ni kudhihilisha uoga.
Na Yule wa Rusia aliyefungwa maisha wakati ni mateka WA kivita mnaangalia upande mmoja Tu wajinga kabisaKumnyonga mtu aliye jisalimisha ni kudhihilisha uoga.
Yaani kunyongwa waingereza wawili ndio iwe vita ya kiduniaHii tayari ni vita ya Dunia
Waingereza siyo kama nyie WandengerekoYaani kunyongwa waingereza wawili ndio iwe vita ya kidunia
Heri ww unaeunga mkono ushoga,sijui ww pia ni Shoga?Ni wapumbavu tu wanatukuza udikteta wa China na Urusi. Hapa kwetu tulionja joto la udikteta kipindi kilichopita ,kwa rehema zake Mungu alituondeshea batili. Tanzania hatimaye ipo mbioni kujenga demokrasia imara na umoja wa kweli. Kazi iendelee.
Nikweli mkuu ulichongea,lakin kwa upande wangu nitabaki kuamini kabisa kuwa rais wa marekani ni temporary employment tena (puppet),anayetumika kufanikisha mambo ya wakubwa wa dunia.Yeye akiwa kama sehemu ya kufanikisha mambo Hayo,hivyo ukiangalia hata mlolongo wa historia tokea karne zilizopita mpaka sasa.Sure, lakini wanaozungumzia kuhusu Trump sio mie wala warusi bali wamarekani wenyewe. Na kuhusu Interference ya Putin sio kwenye boksi la kura bali katika Campaigns za aliyekua mpinzani wa Trump Hillary Clinton.
Na democratic ndivo walivyo, kila jambo huwa anatupiwa Putin or Russia vikipewa jina la Putin's Propaganda, Russia's Propaganda. Hata ile issue ya Hunter Biden Laptop ambayo kuna video nyingi zimezagaa mtandaoni, mojawapo aliipost Jesus Mlokozi. Waliita Russia propaganda lakini sasa wanasema Biden Laptop is real. Na hiyo issue ipo ndani ya Congress.
Ukirejea issue ya New World Order, yes is Real ila huwa sipendelei kuisemea bila ushahidi ama kuambatanisha kauli ya Viongozi hao wakilitamka.
Kama huyu Raisi wa US baba ake BUSH BIN LADEN 😂, Marehem George Hubert Walker Bush.
View attachment 2255891
Ndani ya Video anasema hivi "We have foremost, we have the opportunity to forge for ourselves and for our future generations a NEW WORLD ORDER. a RULE OF LAW not a RULE OF JUNGLE governing the conduct of nations. When we are successful, we have a real chance of this NEW WORLD ORDER, the Order in which a credible UNITED NATIONS can use it's PEACEKEEPING ROLE to fulfill the PROMISE and VISION of UN founders."
Hiyo ilikiua 1991 baada ya kuvunjika USSR, Ni maneno yaliyozungumzwa ndani ya sekunde 30, LAKINI ukiwa na uwezo wa ku-decipher encoded message kwa kutafuta maana ya kila neno lililozungumzwa ujumbe utakufikia and that was first time in History neno NEW WORLD ORDER kutoka kwenye kinywa cha kiongozi wa US aliye madarakani. H.W. Bush (1989-1993)
Ngoja nijaribu kutoa hint za Keywords kutoka kwenye video
1. NWO
🔸(Jiulize kwanini kaitamka na ina maana gani)
2. Rule of Law vs Rule of Jungle
🔸(Ukikosa maana nasaidia maana, Rule of jungle ni kama Local laws, Rule of Law is what we can tell kama International Laws) so aliposema A rule of law not rule of jungle governing the conduct of nation jijibu mwenyewe alimaanisha nini.
3. Peacekeeping Role
🔸Fatilia ujue Peacekeeping in United Nations ikoje na inafanya vipi kazi. To keep you in touch, kinachomwezesha US kuzurula na kuingilia affairs za kila nchi duniani toka baada ya WW2 ni hiki cha "Peacekeeping Role"
4. UN Founders
La mwisho na la muhim zaidi wajue UN founders ni wakina nani. Na hapa ukitaka kujua vizuri nenda deep kafatilie historia ya UN back ikiwa na majina mengine.
Na kuhusu Assassination ya viongozi kisa wapo kinyume na lile kundi nyuma ya Pazia. Kwa sasa sio rahisi na wadau wako smart zaidi ya tunavyowafikiria. You can't kill twice on the same cause. Now inaaminika hakuna kiongozi anayelindwa zaidi dunian kama POTUS (President of United States). Kitendo cha kua Assassinated ni kulitia doa Taifa.
Yule ilikuwa ang'olewe kwa Impeachment jaribio ambalo halikuzaa matunda, rejea uangalie kiongozi aliyefanyiwa attempt nyingi za kua impeached kwenye utawala wake. Sisemi kama Trump alikuwa kiongozi bora wa US kuwah kutokea lakini ukimlingaisha na hiki Kijibabu cha sasa Trump is far better.
Approval rate ya Anko Sam iko to historical low, Statistics zilizofanywa hivi karibuni umeziona. Kwa maslahi ya wananchi umewah kusikia jaribio lolote la kupumzishwa kwa Mzee?
Dunia yetu ya leo inahitaji mtu uwe na "detective personality" kuweza kuelewa mambo maana haikawii Zero kuitwa "O".
Proved kinachokusumbua wewe ni ufahamu.Ni hivii,nchi zote za Magharibi ziko controlled by the Ten Illuminati Royal Blood lines(see chart below👇).Families hizi ndizo architects wa hiyo ideology,kwa hiyo ambapo hawa-control haipo. All Western countries ziko controlled by the Khazarian Mafia au the Nazis.So hata families among the 13 ambazo sio Khazarians ziko controlled by the Khazarians,yes Nazis.Yes that is how strong they are,the Khazarians.Kwa mfano the Khazarian Mafia families kama the Rothschilds and Rockefeller control the other families kama Windsor,Lee Family,Russel Family nk.Hata huko ulaya hao Nazis sio official government ideology.
Huko Ukraine dikteta Putin aliwatumia Azov kama sababu ya kuhalalisha uvamizi haramu alioubatiza ' denazification'.