lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Sawa,basi nimekuelewa.Mkuu mimi haya siyo mawazo yangu bali ni tafiti and statistics zilizofanyika na kutangazwa na vyombo mbalimbali za hari.
Nilisha andika humu ndani kwamba "Mlipa Zumari ndiye anayechagua wimbo"
Hapa ukiangalia kwa makini utagundua kuwa mlipa zumari ni nchi ingine mbali na hizi mbili zinazopigana na ndio maana Russia japo ananguvu kubwa kuliko Ukraine lakini anashindwa kushinda au kuimaliza vita.
Russia na Ukraine wameshakaa mezani Mara nyingi ili kumaliza vita kwa mazungumzo lakini imeshindikana na sasa wameamua kuchapana na hakuna anayejua mpaka sasa ni nini hatima ya vita wanayopigana.
Hii inamaanisha mlipa Zumari ndie atakayeamua Hatma ya vita hii.
Binafsi nawashangaa sana wale ambao hapa Jf wameamua kuchagua upande pro Russian vs Ukraine bila kujua kuwa hivi ni vita vya panzi na anayefaidi ni huyo Mlipa zumari
Kula 🤛mkuuAkhi njoo umsikie mdau wetu wa Winter is Coming analalama 😂...
Nisiishie hapa niwaambie jambo la ziada, huyu jamaa nilimsema nyuma kua ni mwandishi wa kitabu alichokiulizia Akhi cha Winter is Coming...
Huyu mdau ni Mrusi, katika kitabu chake kamnukuu Senetor wa US, John McCain juu ya Cover... Someni vizuri hiyo Caption upande wa chini ya hii Cover Kwamba "As one of the most influential critics of Vladimir Putin's reign of terror. Garry Kasparov has become a champion of the causes of freedom, democracy and Human rights in Russia" Sen. John McCain
View attachment 2255605
He he he kwamba kitabu kinaandikwa na "Chess Master wa Russia" halafu kinapewa Credit na Adui wa Taifa lenu, really? Tuendelee kula mtori nyama zipo chiniiiiii
Najua kuna baadhi mshaanza kujiuliza Senator John Mc Cain ni nani!
Si busara kuandika wasifu wake mambo yatakuwa mengi mda mchache, Cha muhimu tizameni hii video mumskilize alivyokuwa akiwandaa wa Ukraine miaka ya kati hapo kupigana na Russia...
Hiyo Video ni ya 2016, McCain Yeye ni huyo wa pili kuzungumza... nawaandikia maongezi ya kwenye video ili kwa wale ambao ngeli ya kusikia inawapa tabu basi msome kila maneno waliyoyasema...
View attachment 2255613
Wa kwanza akaanza hivi "I admire the fact that you will fight for your home land. Your fight is our fight. 2017 will be the year of offense. All of us will go back to Washington and we will push the case against Russia. Enough of a Russian aggression, it's time for them to pay a heavier price. Our fight is not with Russian but with Putin. Our promise to you is to take your calls to Washington. Inform the American people of your bravery and make the case against Putin to the World"
Kisha akaingia McCain mwenyewe sasa kuzungumza, anasema kwamba... "I believe you will win, I am convinced you will win and we will do everything we can to provide you with what you need to win. We have succeeded not because of equipment but because of your courage. Soo I thank you and the world is watching because we can not allow Vladmir Putin to succeed here, because if he succeeds here. He will succeed in other countries.
Baada ya Video nitaeleza kwanini Hicho kitabu cha huyo mwamba na kwanini nimeleta hii Video.
Great details are for the people with Higher analyzing capability. Msikonde nipo kwa ajili yenu.
Kitabu cha Winter is Coming kimetoka October 2015, wataalam wa Mambo tunasema yalikuwa maandalizi ya Kisaikolojia kwa lile ambalo lilikuwa linaenda kufatia baadae! Nakupa fact nyingine ya "dharula". Series moja hivi pendwa inaitwa "Game of Thrones" ikatoka mwaka huo huo 2015 huku Episode ya kwanza nayo ikibeba jina lile lile la "Winter is coming" huku ndani maudhui yakifanana... Coincidence sio? Baadhi endeleeni kujifunika shuka Giza bado totoro.
2016, walikua washapanga kila kitu na ilitakiwa 2017 iwe hiki cha 2022 hii tunayoiona leo. Je nini kilitokea...? Ni Ujio wa Donald Trump madarakani. Ambae ana ukaribu na Rais wa Russia, Vlad Putin hivo hiyo mambo ikashindwa kutekelezwa. Kama mnakumbuka katika uchaguzi unaotuhumiwa kuingiliwa na warusi ni huo wa 2016, Uliomuingiza Trump White House January ya 2017.
Kwa wale mliokuwa mnajiuliza kwanini Trump analalamikiwa kwa kuhusishwa na Russia nadhani nitakua nimewafungua macho kiasi chake.
Hiyo 2017, 2018, 2019 na 2020 despite ya madhaifu ya Trump ila at least ni katika kipindi walau dunia ikaonja kupungua kwa kelele za vita duniani. Mind you ni katika uongozi wa Trump jeshi la U.S kujitoa Afghanistan na ni Trump ndie Raisi wa kwanza wa US kutia mguu North Korea.
So what happened in 2020 election ilikuwa ni lazima Trump ang'oke, kwasababu alikuwa yupo against wale wahuni nyuma ya Pazia. Nini kikatokea ni yule aliyekuwa mpambe wa Obama kurudi kuendeleza walichokua wamekianza kabla ya wao kuondoka madarakani.
Hapo nadhani nitakua nimewagusa pia wale wanaojiuliza kwanini Trump anapendwa sana na waumini wa aliyekua Raisi wa zama hizo marehem JF Keneddy! Hawa hawakua waumini wa Vita waliitanguliza Marekani kwanza.
Naam tuendelee, Ile movie ya "Servant of the People" iliyochezwa na Zelensky haikuwa ya bureeee. Ile movie ni Political Satire, imetoka 2015/16... Angalia sasa hii sequence ya haya matukio, Movie ikatoka 2015, mwaka mmoja na kile kitabu cha huyo mdau Kasparov... Kule Game of Throne ikirushwa Ep1 ya kwanza ikienda na jina lile lile. 2016 kikaanzishwa chama rasmi cha siasa kikabeba jina la hiyo Movie "Servant of the People Party", kisha uchaguzi uliofata 2019 kikaingia madarakani, Yule Main Character wa Movie ile ile ya "Servant of the People" anakuwa Predaa rasmi wa Ukraine kupitia "Servant of the People Party" 😂..
Enhe ikawaje Movie kisha Chama miaka 3 baadae Uraisi? Yes, Zelensky hana any Political background, he was Comedian. Ile ilikuwa makusudi kuwaandaa wadau namna gani wataongozwa. So they live in fantasies wanaingia kwenye boksi la kura wakiikumbuka movie ambayo mgombea alishiriki.
Hapa kwa lugha ya mkato tunaweza sema kibaraka kilikuwa kinaandaliwa, na ikafanikiwa... kinachofurahisha kwa hawa wadau. Tukio kabla hawajalifanya huwa wanaleta movie au mfano wowote kwa lengo la kuandaa Psychology za watu kama walivyofanya kwenye Covid (hii nje ya mada tuiache hivi hivi hewani). So wadau mnapoona wenzetu wamekomalia jambo flani msibishane kwa kutumia nguvu. Hayo ndio matokeo ya Hollywood's campaigns kwenye Vichwa vyao.
Tunaendelea, Gasho Elensky akaingia mzigoni 2019 hyo, Dementia Joe uchaguzi wa 2020 ukamweka madarakani... At the same time mshauri wa Zelensky katika mahujiano yake video nitaiweka ila sitoandika kila neno kutoka kwenye video hiyo cuz hii post itakuwa ndefu sana japo ishakuwa ndefu by the way.
View attachment 2255687
Ni kwamba issue waliyokuwa wanaifanya Donbas kipindi chote ilikuwa ni makusudi kwa lengo la kui-provoke Russia.
Matangazo ya wao kujiunga NATO lengo lilikuwa lile lile kui-provoke Russia. Waingie vitani, ingawa bahati mbaya nahisi cocaine ziliwazidia wakachukulia Russia ya kawaida so wakategemea ushindi. Rejea na kauli za Mc Cain huko Juu.
Ukiitizama hiyo video hadi mwisho utasikia anasema wazi kabisa "no, we won't speak about any dates of termination of war in the east (East yenyewe ndio Donbas wadau), quite the opposite, it will most likely prompt Russia to launch a large-scale military Operation against Ukraine"
Na kuna sehem tena anasema "Our price for joining NATO is a big war with Russia, and if we don't join NATO, it's absorption by Russia within 10 to 12 yrs. Halafu akaulizwa na huyo dada kwa hiyo itakuje akajibu "Of course a large-scale war with Russia and joining NATO as a result of defeat of Russia. The Coolest thing."
Hola hola Read between lines niambie umeelewa nini kisha endeleeni na hiyo video japo jamaa anazungumza kama cherehani 😂😂
Kufikia hapo naamini kuna kitu mtakuwa mmeongeza. Huu mchezo wanaufaham vizuri wanaoufanya, hapa wakisikika Ma Ex General wa United State na wengineo wakisema "West wame miscalculated response ya Russia" mjue wanamaanisha wanayoyazungumza japo wajinga wachache hawakosekani kuanza kuwaita Pro-Russia.
Oucchhhhaaao kila nikitype nazidi kunogewa hata sijui nimefika paragraph ya ngapi dadeki, likiwa gazeti someni kwa vituo huku mkishushia maji...
Pro Russia wenzangu, hata kama mnaelewa machache kuhusu huu mgogoro. Walau nyie hamjaingia kwenye msululu wa wale wanaopangiwa hisia na uelewa hadi kwenye mambo binafsi yanayowahusu.
Hivi vyombo vya habari kueni navyo makini sana. Ni kwamba Ukivipuuza utakuwa less informed na ukivifata mazima unakuwa misinformed. So now it's your choice, Uwe less Informed au Misinformed 🤔.
Ingawa from my point of view, ni bora kua na machache ya kweli kuliko mengi ya Uongo.
Again niseme lingine kama ushauri tu, watu maarufu like artists, actors na hata baadhi katika matajiri. Mkiamua kuwafata, na kuwafanya role-models wenu basi wafateni with preucations... Wafateni mkiamini ni binadam wenzenu na sio kila walitamkalo au walifanyalo basi ni sawa na wanaloliacha si sawa... Maintain Your own Values wadau wangu.
Hizi mambo kama Wealth, Fame and Power ni Gereza kama Magereza mengine hasa yanapokuja nje ya jasho lako... I mean bila kuvisotea. Sio kwamba nakushauri usitafute la hasha, tafuta...
Narudia tena tutafute on our own, tusiwe wepesi wa kuchukua kitu inaitwa "msaada katika safari ya ushindi". Em fikiria unapewa umaarufu unatengenezewa scandal ya kuku-blackmail baadae kwenye kile watakachokihitaji kutoka kwako.
Imagine binti kama ngaboru, After rising into fame kulinda image yake nakamata udhaifu wake hivo hata nikimwambia katangaze ugasho mbio anaenda. Huo ni mfano tu. ngaboru nimekutolea mfano kwenye maelezo marefu haya. You know naku-admire as you are the only shangazi upande wetu! High Five to ya 👊
Wadau, Let's fight for our freedom... hata kama huna uwezo wa kurusha ngumi kwa adui. Basi ongeza juhudi ujifunze umtambue adui yako. Ili akitaka kukuumiza basi hatokudhuru kiasi ambacho angekudhuru kama ungekua humtambui.
Mwisho mnisamehe post ndeeefu ha ha ha.
Hili nakubaliana na wewe 99%Nikweli mkuu ulichongea,lakin kwa upande wangu nitabaki kuamini kabisa kuwa rais wa marekani ni temporary employment tena (puppet),anayetumika kufanikisha mambo ya wakubwa wa dunia.
Sure, na mie naamini hivyo...kuna baadhi ya mambo hapa duniani hayotokei kwa bahati mbaya kabisa,naamini ni mipango endelevu na kusudi ni kutimiza lengo linalokusudiwa.
Vita ya US ipo dhidi ya Putin wala hawana haja na Russia. Wanajua wakiweza kuicontrol Russia basi wametimiza agenda zao. Kuna kimoja hiki always huwa kinafanyika kwa kujirudia. Mikakati ikianza kila kitu huwa kinapelekwa kwa siri hadi pale kinapokaribia tamati ndio wanatangaza ujio wa 1 mbili 3.Kama anavyowambia wa Ukraine hiyo 2017 kuhusu kupambana na taifa la urusi,hapo najiuliza kwa faida hipi wanayoipata raia wa marekani.Au waukraine watapata faida ipi ikizingatiwa huyo wanaepambana nae anamiliki siraha nyingi za nyuklia.
UN kwangu ni Umoja wa mchongo na upo kutimiza matakwa ya US... Wanyoosha vidole kote ila sio hapo walipoweka makao makuu yao.Hapo kuna UN marekani kumbuka je kazi yake ni ipi kama ipo ndani ya taifa lenye kusapoti vita ya Ukraine na urusi iendelee
Faida kwa Marekani wa kawaida haipo. Ipo kwa wale unaowasema. Wale wa nyuma ya pazia. Walio tingwa hegemony na uchu wa kuitawala dunia.Hapa najiuliza kuna faida ipi wanayopata raia wa kawaida wa marekani.
Naona hapa Putin anaimega Ukraine mdogo mdogo mpaka lengo litimie[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Russian troops captured the Severodonetsk airport. battles are currently underway for Borovskoye[emoji3538][emoji3538][emoji3538] https://t.co/HG8kWy8iZx
Haina msalia mtume ile inayeyusha chuma mie ni nani?Ha ha haa,unaogopa utachomwa?
Ni wapi ningepata elimu ya ziada kama hii.hapa ndio ujue jf nikisima cha maarifa ila kwa hii thread utapata kwa pro putin(rusia)tu ila pro nato wao nikupika hoja za kiuongouongo tu.ambazo ni tofauti na hali halisi for justify their self.Mkuu Ask-Q big up Sana.Hili nakubaliana na wewe 99%
Sure, na mie naamini hivyo...
Vita ya US ipo dhidi ya Putin wala hawana haja na Russia. Wanajua wakiweza kuicontrol Russia basi wametimiza agenda zao. Kuna kimoja hiki always huwa kinafanyika kwa kujirudia. Mikakati ikianza kila kitu huwa kinapelekwa kwa siri hadi pale kinapokaribia tamati ndio wanatangaza ujio wa 1 mbili 3.
Mfano, rejea kwa Walker Bush, baada ya kuvunjika ndio wakaliweka wazi issue ya USSR. 1991 up to 1999 ni kipindi ambacho mahusiano ya US na Russia yalistawi under Yeltsin.
Ni katika kipindi ambacho Russia ilianza kujazwa madeni. Kutoka 1991 hadi kufikia 1999 walikuwa na National debt over 134% ratio to GDP. Kwa wenye uelewa wanaelewa maana ya deni kwa Taifa ni nini.
Walipoweza kumjazia Russia madeni ndicho kipindi NATO walichaonza kuvunja treaty waliyoifunga ya kutosogea even an inch kuelekea East.
Kabla ya kuvunjika USSR, NATO ilikuwa na nchi 16 tu. 1999 wakati Yeltsin anatoka madarakani wakaongeza nchi 6 kwa mpigo zote hizi ikijitanua kuelekea mpakani mwq Russia. Waliongeza Bulgaria, Estonia, Latvia, Lithuania, Roma na Slovakia.
Kiu haikuishia hapo tu, 2004 wakamsogeza Slovenia... 2009 wakawasogeza Albania na Croatia. Kinachofurahisha ni kua Nchi hizo zinaongezwa NATO kwenye kipindi cha mabadiliko ya uongozi hapo Russia.
ie. Angalia 1999... Putin anaingia kama Acting President kabla ya 2000 kua Raisi Rasmi. 2004 kwa Slovenia ilikuwa ni mwisho wa term ya kwanza kwa Putin. 2009 ilikuwa ni enzi za Medvedev enzi hizo akichukuliwa poa poa. Hizi media za Magharibi zikawa zinatuambia kua Medvedev hana Itikadi za Putin.
2017, huo mwaka nao ukariri vizuri, NATO wakamsogeza Montenegro na 2020 wakamaliza na North Macedonia. Wakati huo huo wanampiga chapuo Ukraine kujiunga NATO.
Mind you kua ni kipindi chote hicho Russia chini ya Putin ilikuwa ikijijenga ndani kwa ndani. Na hatua ya kwanza aliyoifanya Putin ni kupunguza deni la taifa lake huko WB na IMF... Hizi taasisi sizani kama kuna haja ya kuzieleza naamini wazijua hata kwa uchache.
Alipofanikiwa kulishusha kutoka 134% hadi below 10% ratio to GDP, Ndipo alipoanza sasa rasm kuzimua aliyoyabeba. Kurejeshha Sovereignty halisi kwa Taifa lake... Georgian walijarib 2008 wanajua kilichotokea. Na ukubwa wa deni kwa mtu akitaka kuuelewa akaangalie kilichotokea SriLanka. Na ambacho US wanakilazimisha kwa Russia.
"Default" kitu ambacho ni ngumu kutokea kwasabau deni analoadaiwa Russia anaweza kulilipa na chenchi zikabaki. Je ingekuwa zile enzi deni linazidi pato la taifa kwa Yeltsin ingekuaje?
Sasa ukisema wanataka nini Ukraine, rejea kwenye hii Video Chini na ile uliyoisikliza jana. Shida yao ni Putin, na walikua wakiamini kumpelekea chokochoko kupigana na jirani yake.
View attachment 2256161
Vikwazo watakavyoweka kuushambulia uchumi wa Russia utapelekea machafuko ya ndani ambayo yatamgeukia Rais wao na kutaka kumuondoa. Na hii Putin na Lavrov wameizungumza mara kwa mara wakidai kua Western kwa hilo wamefail kinyume chacke Sanctions zina wa backfires.
UN kwangu ni Umoja wa mchongo na upo kutimiza matakwa ya US... Wanyoosha vidole kote ila sio hapo walipoweka makao makuu yao.
Hawa niliwatupa kapuni nilipowasikia wanamkoromea Eritrea kua na hii Citizenship tax system wakidai ni ya kinyonyaji while US naye anayo na hanyooshewi kidole. Ten bora Eritrea wana flat tax rate ya 2% kwa walio nje ya nchi yao kuliko US anayetembea na avarage ya 23%.
Faida kwa Marekani wa kawaida haipo. Ipo kwa wale unaowasema. Wale wa nyuma ya pazia. Walio tingwa hegemony na uchu wa kuitawala dunia.
Hapo US, wagombea wengine are elected directly by popular vote. Lakini president and vice president are not elected directly by citizens. Badala ake, they're chosen by “electors” through a process called the Electoral College.
Wananchi ndio wapige kura ya kuchagua Electors, kisha Electors waende wakafanye yao. That's fate ya Rais iko kwa 538 electors. Ikishindikana kwao kwa House of Representatives na Vice Prezda kwa House Senate. That's ni kama kusema US citizens hawachagui Raisi wao bali wanachaguliwa.
UK hali ni ile ile. Hawa nao wanachagua wabunge tu. Wawakilishi wa majimbo. Ila waziri mkuu ambae ndie mkuu wa serikali anateuliwa na Malkia. Hadi hapa kwa wengine watakuwa wamepata majibu kwanini approval rate ya viongozi hawa ukienda kwa wananchi wa kawaida inasoma number ya kiatu cha mtoto.
Canada nako mfumo ni ule ule, wanachagua wawakilishi tu ila waziri mkuu, Yule mkuu wa serikali anachaguliwa na kikundi cha wachache wanaojiita wawakilishi. Hii mifumo imekaa kimchongo sana na ni easy kui-munipulate kwa kuweka viongozi wanaomataka.
Sawa na Bongo tuishie kuchagua wabunge tu halafu hao wabunge ndio wakatuchagulie kiongozi wa nchi... Yes hiyo nayo ni Democracy 😟
Nyongeza: Asilimia 90.3% ya Ardhi ya Canada ni mali ya Queen Elizabeth II, 9.7% ndio ipo Privately owned. Maana ake kua katika watu Mil 38 waliopo Canada wamepanga kwenye ardhi ya Malkia Elizabeth. Haishtui akili hii?
Tutasemaje sasa Raia wa kawaida ananufaika na hiyo migogoro wanayoitengeneza nje.
Hahahahhaha. Unaeza ukala laser ya takow kabla hujala hata dollar 100Na ndio maana posho mlima kwa sabab kifo nje nje
Wewe umeelewa tafsiri ya kichwa cha habari ulioleta kweli?Putin: West unlikely to reject Russian energy for years
Putin kaanza kulainika - mdogo mdogo !!
vita hii haitoi mshindi, vita hii ni kupigania heshima ili watu mkutane mezani respecting each other.
Demokrasia imara au ufisadi imara na unyonyaji? Awamu iliopita ilikuwa na uafadhali kwa asilimia 90% ukilinganisha na hii ya Oligarchs toka Msoga na cartels zao.Ni wapumbavu tu wanatukuza udikteta wa China na Urusi. Hapa kwetu tulionja joto la udikteta kipindi kilichopita ,kwa rehema zake Mungu alituondeshea batili. Tanzania hatimaye ipo mbioni kujenga demokrasia imara na umoja wa kweli. Kazi iendelee.
mbona unahamaki...kwa nini Putin ajipe moyo sasa kwamba Ulaya hawawezi kuishi bila gas na oil yake.Wewe umeelewa tafsiri ya kichwa cha habari ulioleta kweli?
Tafta ufafanuzi wa hilo neno "Unlikely" ndio urudi tena kushangilia usilolijua.
huyu akiona neno Putin au urusi ni yeye na speed hadi kwenye uzi na kulishusha hivyo hivyo pamoja na maneno ya kejeli.Wewe umeelewa tafsiri ya kichwa cha habari ulioleta kweli?
Tafta ufafanuzi wa hilo neno "Unlikely" ndio urudi tena kushangilia usilolijua.
Majibu utayapata Winter hapo Putin akiwafungia koki, muda ndio utaongea. Wenzenu Poland wanakata kuni kama wapo Ifakara.mbona unahamaki...kwa nini Putin ajipe moyo sasa kwamba Ulaya hawawezi kuishi bila gas na oil yake.
Kifupi ni lwamba Putin asicheze na watu wa Ulaya Magharibi..ni balaa wale watu...
Hivi ndgu hiyo statement umeilewa vizri hapo Putin kalainika je?Putin: West unlikely to reject Russian energy for years
Putin kaanza kulainika - mdogo mdogo !!
vita hii haitoi mshindi, vita hii ni kupigania heshima ili watu mkutane mezani respecting each other.
Ana.washwa washwahuyu akiona neno Putin au urusi ni yeyena speed hadi kwenye uzi na kulishusha hivyo hivyo pamoja na mane o ya kejeli.
Kwani wewe umeelewaje hapo?Naona kama maelezo Yako hayafanani au kulingana na kauli ya Putin!Putin: West unlikely to reject Russian energy for years
Putin kaanza kulainika - mdogo mdogo !!
vita hii haitoi mshindi, vita hii ni kupigania heshima ili watu mkutane mezani respecting each other.
Hajielewi huyo kashalewa komoni anakuja kuropoka kindeziHivi ndgu hiyo statement umeilewa vizri hapo Putin kalainika je?
Bado mbichi kwenye ile asilimia ishirin au kwenye ingizo jipya
Kiingereza kigumu.....inabidi uwe mpole tu..Tuko watu wa aina nyingi humu...Hivi ndgu hiyo statement umeilewa vizri hapo Putin kalainika je?