Katika siasa kuna namna mbili za kutazama mambo . Chechynia ni Defacto independent state yaani katika reality na Practice isipokuwa unapoitazama kwa jicho la kisheria ni De jure not a complete sovereign state. Kwa waliosoma Political sciences tunaelewana bila shida .Huenda bendera zimemchanganya mwenzetu.
Nitumie nafasi hii kuwajuza wengine kidogo political system of Russia ilivyo.
Russia ama Russian federation ina federal subjects nyingi sana. Zipo hivi nitazitaja kwa kutumia msaada wa picha hapa chini.
View attachment 2257488
Kuna Republic 22 (Moja wapo ikiwa Chechen Republic, Hayo maeneo yenye Kijani kwenye hiyo Map), Oblast 46 (Maeneo yanye njano), Kraigs 9 (Hapo kwenye brown color), Autonomous Okrugs 4 (Rangi ya blue), Federal cities 3 (Hizo sehem zenye uwekundu), Autonomous Oblast (Eneo lenye rangi ya Zambarau).
Ili kufupisha hii post tujikite kwenye hizo Republics. Sifa ya hizi republic ni nyumbani kwa watu wenye asili moja. Mfano kama hawa Chechen(Chechnya), Chuvashia, Dagestan na nyinginezo. Hizi republic zina their own constitution, language, and legislature, lakini huwakilishwa na federal government in international affairs.
Mfano mzuri kama alioutoa Galip Vrl kwa Zanzibar ndani ya Tanzania.
Na kama haijaeleweka vizuri, naomba niwasogeze hapa kwenye hii Illustration nyingine.
View attachment 2257430
Hapo nilipoweka hizo dot mbili ndipo kuna wakuu wa hizo Republic na other federal Subjects kama Oblasts, Federal cities na zile autonomous tulizozitaja awali. Ambao mmoja kutoka serikalin na mwingine kutoka kwenye hizo regional parliament ndio wanaounda federation Council. Na federation Council pa1 na state Duma ndio wanaotengeneza hii inaitwa Federal Assembly.
What amazed me kwenye katiba ya Russia ni kua Raisi anachaguliwa kwa Popular Vote, yani Direct Vote kutoka kwa wananchi wala sio Baraza gani uko kukaa kujiteulia wanayemtaka kama wale wanaojisifu wakuu wa demokrasia duniani.
Kinachowachanganya nahisi ni bendera. Yes, hii flag ya [emoji635] tulioizoea ni Federal flag ila kila federal subject ina flag yao. Ndani ya Russia kuna Flags kama 82 hivi, Moscow wana ya kwao, St Petersburg wana yao na wengineo wote kama tulioizoea hii ya Chechnya.
Msaada wa kuelewa hili kwa Illustration ni kama chini hapo... Mtaiona Chechnya kwenye row ya kwanza na ya 5 kutoka kushoto...
View attachment 2257473
Baada ya hilo, ni kua mada yangu sijamaliza, kuna lililo la muhim zaidi ila nitaawambia baadae nikipata nafasi.
Katika hayo ni
1. Kuhusu hiyo Autonomous Oblast 1 pekee iliyopo Russia. Ni ya wa Jewish kina kitu hapo I bet it will blow your mind...
2. Kuhusu hiyo Federal Government of Russia ilivyo, baada ya hapo tuwaulize hawa wanaosema Russia kuna Udikteta watujuze ukoje...
Chechynia ni Defacto independent that is by practice and reality ingawa inaonekana dominated only on papers ambayo ndio de jure . So msiishie ku Google you need to dig deeper. You can not compare Chechynia with Zanzibar .Ask-Q mkuu pongezii sana umefafanua vizuri sana kwa undani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]Mambo si mambo [emoji23][emoji23]. Ooh EU wanaachana na Oil na gas ya Russia. View attachment 2256538
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unafansnishaje mfumo wa Russia na Kongo1.Rais wa Russia anaweza kulivunja bunge la nchi hiyo.
2.Rais wa Russia ana mamlaka ya ku suspend sheria zinazotungwa na hizo zinazoitwa Republics.
3.Hao wakuu wote hizo federations anawapendekeza yeye Putin, Romzan Kadyrov wa Chechnya aliteuliwa na Putin.
4.Hizo Republics kila zinaendeshwa kwa sheria za double standards kulingana na umuhimu wake kiuchumi au ubishi wa watu wake. Kuna sheria ilipitishwa na Medvedev mwake 2010 wakuu wa hizo Republics wasijiite Marais, Republics ya Tatarstan wakagoma hadi aliporudi Putin[emoji1787]
Tatarstans wanalalamika sana jinsi Putin alivyopora mamlaka za majimbo kuhamishia serikali kuu.
Huo mfumo wa Republics/federalism wa Russia hauna tofauti na Congo inayojiita Jamuhuri ya "KiDemokrasia" ya Congo au Korea ya Kaskazini ya Kiduku inavyojiita "Jamuhuri ya Demokrasia" ya Korea[emoji1787]
Umenijibu vyema ...Kwa Nini vyote vimepanda!?Sawa, ila Twende kistaarabu ili zisitokee imotions na matusi hata pale mmoja anapokuwa ameonyesha uelewa pungufu:
Inflation ni kuongezeka kwa bei za bidhaa na huduma na kuna uhusiano na kushuka kwa thamani ya fedha husika.
PPP ni uwezo wa fedha kufanya manunuzi ya kiwango fulani kwa rate fulani ya kubadili fedha ikilinganishwa na manunuzi hayohayo katika nchi nyingine
CPI ni utofauti wa bei za bidhaa zinazomfikia mtumiaji wa mwisho.
Nimeshaliongelea hili mkuu. Na nikakiri na mm nimeshtuka. Nikawaita na Pro Nato nisikie maoni. Tusikae sana hapa maana nshajua unachotaka kufanya😃Umenijibu vyema ...Kwa Nini vyote vimepanda!?
Yeye maoni yake kila siku ilikuwa ni kuwa wanajeshi wa Russia hawana chakula😀. Nyamizi sijaona maoni yake humu.
Msaada wa silaha wa $40bil ulienda wapi?Kwamba hizo silaha zimeshaisha tayari?Msaada zaidi unahitajika! View attachment 2257573
Mungu mbariki PUT INWahenga hii tunaisoma hivi; "Mahakama ya ugiriki imetoa amri ya kuiachia mara moja meli ya irani iliyokamwatwa na ugiriki chini ya maelekezo ya USA"
"Na serikali ya ugiriki itabidi iombe radhi meli zake mbili zilizoshikiliwa na Irani ziachiwe" Mahama Ugiriki.
Funzo; Maamuzi hayo yamefichua Uonevu na uovu wa USA kwa nchi zingine kupitia mgongo wa nchi washirika wake.
Naomba niunganishe na dot, kwa alichokisema mzee wa akili nyingi Mh.Rais V. Putin juzi kama siyo jana (nitatumia lugha yetu)
"Kuna aina mbili za taifa, taifa lililo huru na taifa linalo tawaliwa.Taifa huru hufanya maamuzi yake bila kuingiliwa na taifa lingine, ukiona taifa haliwezi kufanya maamuzi yake lenyewe basi jua hilo taifa ni koloni(taifa linalotawaliwa na taifa/mataifa mengine)" V. Putin.
Funzo kutoka kwa Putin; katika hii dunia kuna mataifa huru machache sana, mataifa mengi yanafanya uamuzi kwa kufuata shinikizo au matakwa ya mataifa yenye nguvu. mfano ni hayo maamuzi ya UGIRIKI juu ya kukamata meli ya Irani chini ya maelekezo ya USA. Kwa mjibu wa Putin(na ndo uhalisia) mataifa mithili ya Ugiriki siyo mataifa huru bali ni Makoloni.
OMBI: naomba Russia iendeleze operation yake na iendelee kushinda kila aina ya jaribio linalofanywa na hao mabeberu wanao tamani waendeleze uviranja wa dunia, hii itasaidia pia nchi nyingi kuamuka na kuondokana na hii dhana ya ukoloni mamboleo. tuna hitaji dunia iliyo na balance of power, tunahitaji mataifa yajiendeshe na kufanya maamuzi yake yenyewe bila kuingiliwa na taifa au mataifa mengine. Hiyo ndo dunia itakayokuwa salama leo, kesho na hata milele.
Mungu ibariki Urusi na operation yake dhidi ya hayo manyambisi ya dunia.
Kama kweli litasababisha machafuko EUROPE bora wanyongwe tena hadharani ili huko ULAYA kinukeHili tukio linaumiza Sana bora wangefia kwenye mapambano, yaani wakihukumiwa wengine mataifa ya ulaya kutasababisha vurugu Kwa raia kwenye nchi zao
Hatari chuma kime meguka kama Biskuti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bila kusahau howtizers zinateketeaView attachment 2257565
Katika siasa kuna namna mbili za kutazama mambo . Chechynia ni Defacto independent state yaani katika reality na Practice isipokuwa unapoitazama kwa jicho la kisheria ni De jure not a complete sovereign state. Kwa waliosoma Political sciences tunaelewana bila shida .
AgainHivi sasa Chechen ni Republic ndani ya Russia. Walikua "Independent" baada ya 1st Chechen war, na Russia kurudisha utawala wa hilo eneo after second Chechen War.
Chechen ipo under Control of Russian Federation. Unaweza kuilinganisha Chechen na Zanzibar kwa hapa Tanzania. Wana Rais wao lakini wapo ndani ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania.
Unadhani ataelewaKuhusu miji ya Ukraine aliyoizibiti Urusi.
Nianze na maswali kwanza kabla sijaenda mbali;
☆unaijua hata kidogo nchi ya Ukraine?
Unajua umhimu wa Odesa, Donetsik, luhansik, mariupo, kharison, snake Island na black sea kwa ujumla kwenye uchumi wa Ukraine?
☆unajua uti wa mgongo wa uchumi wa Ukraine upo miji ipi?
☆Unajua ukubwa wa eneo la miji ya Ukraine lililochini ya majeshi ya urusi ni Km² ngapi?
Haya ngoja niassume huijui Ukraine zaidi ya kuisikia tu kwenye social media. Basi bila kupoteza maana naomba nikurudishe hapa Tanzania unapo pafahamu vizuri kwa kuuliza swali ambalo ukilijibu ipasavyo litaondoa ujinga huo ulioko kichwani mwako. (NOTE; Majina kwenye mabano ni miji ya Ukraine inayofanania na hii yakwetu potentially)
☆Swali; hivi kwamfano Nchi jirani ya kenya ikiingiza majeshi yake Tanzania na kuteka miji ya Zanzibar(snake Island), Dar es salaam(Donetsik), Tanga+Bagamoyo(Luhansk) lindi(Mariupo), kilimanjaro(Kharison), ukanda wa pwani na bandari zake zote(Black sea) na kuipelekea moto Mwanza(Odesa) halafu ikaiacha Dodoma(kyiv) na mikoa iliyobaki unazani nchi yako itakuwa na hali gani kiuchumi na kihuduma za jamii?
MK254 nishakwambia akili yako ni unfit kwenye huu uzi, siyo kila kitu nikwajili ya kila mtu. Unajiaibisha mkuu, hicho kichwa chako sikwajili ya kuhifadhia meno na ulimi. Just use it to think as a human being and not as a living animal.
VIVA PUT INNilikuwa nacheki makala YouTube DW inamuhusu Putin nilidhani Team Putin na Pro-Russia wapo humu tu kwa wingi ila nimekuta comments nyingi zikimfagilia Putin na kuna watu wamechizika kabisa na Putin