Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naam, tunasubiri.

Kipengele cha pili itapendeza ukikiwekea uzi wake!
 
Hakuna mfumo Bora wa Uongozi kama wa Russia Federation..... Wakatae wakubali....
Hizi nchi nyingi upande wa mashariki wengi hawazifaham kiundani. Lakini ni nchi zenye system makini sana ya kiuongozi. Ndio maana huezi kutana na viongozi ving'ast upande wa mashariki kama waliojaa upande wa magharibi.
 
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Huo sasa ubishi wa kishamba, mbona unataka kua kama Pro-NATO sasa wanaojikuta wanaijua US kuliko Wamarekani wenyewe.

Sifa ya ujuaji waachieni Pro-NATO..

Pro-Russia ni kwa waelevu ambao hupinga kwa fact, na huelekeza kwa fact.

Lete hizo note zinazoonesha Chechnya ya sasa ni Independent. Kama una mahaba na Kadyrov tulia jomba.
 
Chechynia ni Defacto independent that is by practice and reality ingawa inaonekana dominated only on papers ambayo ndio de jure . So msiishie ku Google you need to dig deeper. You can not compare Chechynia with Zanzibar .

Hizi ndio tabia ambazo huwa zinanikera, haya we mwenzetu umejulia wapi? Ulienda kumuuliza Kadyrov akuelezee republic yao ikoje?

Unafikiri kujiita Political Scientist inatosha kujihalalishia kila unalozungumza ni sawa? Una tofauti gani sasa na mrembo Yoda na wenzake.
 
Wakati wa Cold war..ndio alikuwa intelligence analyst. Na akapamda kuwa Chief spy ..... Wakati unavunjwa ukuta wa Berlin .. ndio alikuwa Chief spy of West Soviet..... Nyie... Nyie ....
Na alipiteza doxui zote na akatoroka .... Nyie nyie .... Someni muelewe
 
[emoji23]

Eiwaaa, ndio maana nikasema kile kipengele cha pili ukiweza kifanye uzi kabisa... Most hapa hata Pro-Russia wako wengi tu hawaifaham Russia. Wanamjua Putin tu zaidi ile Russia ya kwenye vyombo vya Habari.

Mfano kama hapo, Katika 10 waliokuwa wanajua idadi ya Federal states hapo Russia ni wawili ama watatu ama hakuna kabisa. Na issue ya Flag vile vile.

Sasa kule Ukraine wakiwaona Chechnya na bendera tofauti na ile ya Federal wanajua ile ni nchi nyingine. Akati kila Federal Subject ina Flag yao. Hata hii Crimea ya iliyoingizwa Russia juzi kati ina ya kwake.

Tri Color, yenye wembamba wa blue na red huku White ikichukua sehem kubwa.
 
Heshima taratibu inaenda inarejea [emoji23]
 
Kuna habari nyingine hii hapa. Wajeshi wa Ukraine sahv unaambiwa wanavua jezi wanaacha wanakimbia sasa najiuliza kama wanakimbia uchi wakikutana na chenchns watapona kweli??. [emoji23][emoji23]View attachment 2257640
Ha ha haa wanakua na nguo za kiraia ndani,juu wanavaa combat.
Mambo yakiwa magumu ndo kama hivyo wanavua combat.
 
Hao 10,000 wa mchongo, Bado idadi kamili anajitahidi kuificha. Ok now tufanye ni kweli ni hao 10k, Kwa mujibu wao Russia kapoteza over 30k. So hii inakuwa Russia kapoteza mara 3 zaidi ya Ukraine.

Enhe inakuaje wao kila siku wanalia lia kama Russia anachakazwa kiasi hicho?
 
Hata Mimi nilikuwa sijui hili, endeleeni kutupa elimu zaidi mkuu🙏
 
Turkey si yupo NATO?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316]. Hawa jamaa wananifurahisha sana[emoji1787][emoji1787]
Turkey Yuko NATO.
NATO ni umojq wa kijeshi sio wa kiuchumi.
Huu umoja mpya ni umoja wa kiuchumi G8.
Pia ikumbukwe pia,Turkey kwa miaka mingi ameomba kujiunga na EU amakataliwa.
Hivyo Yuko huru kushirikiana na upande wowote mwingine utakaomuhitaji,ndo kama huu Sasa G8.
 
Yaani nimeshangaa eti kumbe UK ni 6 mbali kabisa licha ya kelele na kuwashwa washwa kotee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…