Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Watulie tu si Russia anapoteza vita na ameishiwa sirahaWakati Zelensky akiendelea kushinda vita vya Ukraine huko mitandaoni twitter, BBC yaripoti kuwa Russia inagawa passports za Russia kwa wakazi wa majiji ya Kherson na Melitopol (Ukraine) ambao wameomba passport za Urusi na uraia wa Urusi (wanauvua uraia wa Ukraine rasmi). Zelensky amelalamikia hatua hiyo ya Russia akidai kuwa Russia yatengeneza raia wa Russia kwenye ardhi ya Ukraine..
View attachment 2257910
View attachment 2257911
| Ranking | Prefecture | Population | Urban population | Rural population |
|---|---|---|---|---|
| 1 | Donetsk Oblast | 4,387,702 | 3,973,317 | 414,385 |
| 2 | Dnipropetrovsk Oblast | 3,258,705 | 2,724,872 | 533,833 |
| 3 | Kyiv | 2,900,920 | 2,900,920 | -N/A- |
| 4 | Kharkiv Oblast | 2,720,342 | 2,193,027 | 527,315 |
| 5 | Lviv Oblast | 2,535,476 | 1,545,628 | 989,848 |
| 6 | Odessa Oblast | 2,387,282 | 1,592,602 | 794,680 |
| 7 | Luhansk Oblast | 2,263,676 | 1,963,80 |
Urussi uwezo mdogo Sana, wanajeshi wake Wana njaa wameshindwa kupambana.Siku 3 zilizopita jeshi la ukraine limeiteka Port of St. Petersburg huko Russia.Putin anahaha kuomba suluhu.Hii vita bado tu haijaisha? Ukraine kiburi anatoa wapi? Au Urusi uwezo mdogo
Saivi nguvu kubwa ipo kwa watu weusi,maana kwa wazungu wengi hiyo hali naona ishakuwa ya kawaida.kibaya zaidi huko marekani mashoga wamepewa hadi sheria za kuwafanya kuadopt na kulea watoto.Hapo mkuu wajiuliza why?wakati wao wamechagua wenyewe staili yao ya kuishi,ambayo ni vigumu kupata watoto.lakin hapo unaona lengo nikwamba katika malezu ya hao watoto kufindishwa vitendo vya kishoga ni lazma.Napia kuna asilimia kubwa ya wao kuwa mashoga,hapo wanakuambia ni demokrasia na haki za binadamu.Huu ushetani kwakweli unashangaza sana.
Usisahau kunitag MKUUHa ha dah, basi sawa mdau. Nikipata wasaa nitafanya hivyo.
VIVA KIDUKUKim Jong Un kampongeza Putin kwa majukumu muhimu anayoyafanya nchini Ukraine ya kuhakikisha usalama wa Russia hauhatarishwi. Pia Kim kamwambia Putin kuwa Korea ya Kaskazini inamsapoti kwa asilimia zoote
View attachment 2257881View attachment 2257882
Viva PUT INWakenya wameshazoea ukabila huko kwao,na ndio maana akaona alete Mambo ya udini kwny hii thread akidhani atatugaws kwa misingi hio.
Mimi Ni mkristo kwa 100% na itabaki kua hivyo milele na milele na nina-support wanachokifanya Russia chini ya The Great CIC Vladimir Putin na Nina amini US na West ndio baba wa Maasi hapa duniani.
Wamcheki Yoda awatumie mapanga, mikuki na hirizi za kuwasaidia wakipigwa makombora wasifeMsaada zaidi unahitajika! View attachment 2257573
VIVA PUT INWacha kunikimbia, nyoosha maelezo ueleweke....
Hamna sehemu nimemlaani Putin kwa kutumia maandiko, tatizo lenu mumepagawa hamueleweki.
Ni dhahiri waislamu wote wamemwagika kwa sasa wote wako nyuma ya Putin, kama wanamuabudu vile, kisa wanadhani kwa kufanya hivyo wanamkomoa Marekani.
Halafu waumini wa dini zingine wamegawanyika, kunao nyie mnaosema Putin yuko sahihi kufanya mauaji Ukraine kisa anaua mashoga.
RUSSIAAAAAView attachment 2258150View attachment 2258151View attachment 2258152View attachment 2258153
The flagship restaurant of the successor to McDonald's in the Russian Federation "Tasty - and the point" opened on "Pushkinskaya"
Utaelewa tu MKUUKwa hivyo suluhu ni kuvamia Ukraine na kuua watu, ndio itapunguza mashoga, siwaelewi kabisa.
Hakuna mahali nimekuambia jeshi ni kigezo cha kuwa independent nimekuambia jeshi ni kigezo mojawapo vya kuwa dola na zingatia hatuchukui kigezo kimoja kimoja. Nikuombe uzingatie maana ya kisiasa yaani strict political meaning ya political concepts ninazokuelekeza naanza kutilia shaka km unafuata maelekezoUnaelewa maana ya kupoteza independence?
View attachment 2257984
...became one of the regions of the Russian Federation. We unatwambia eti independent state, So wewe na Al Jazeera tumwamini nani? Kwanini mnakuwa na ujuaji wa kijinga mdau?
Independence ya Chechnya unayoizungumzia sii ya leo. Iliikoma 2009 mbona unakuwa mbishi sana mdau. Unasema kua na Jeshi ni kigezo tosha cha kua Independent. Haya wanaomiliki hizo Private military nao ni Independence?
Again, Kiongozi huyu wa Chechnya alitunukiwa wadhifa wa Lieutenant General na Putin.
View attachment 2257993
Unajua hicho cheo kina rank nafasi ya ngapi kutoka kwa Shoigu? If its independent state, Kwenye mfumo wa jeshi la Russia, Kadyrov anatafuta nini?
Ujuaji wa kijuha huo ndio unawafanya kua kama wajinga.
Tena hapo unatwambia federation ni serikali na serikali ya nchi zinazounda federation my foot. Uko serious kweli? So unataka kutwambia Russia kuna nchi 82? Moscow, St. Petersburg zikiwa among federal subjects hizo so nazo zote hizo ni nchi?
Dah!
Hivi kama kitu hukielewi kuna dhambi gani kukiri na kua huru kujifunza.