Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Akili naona zimeanza kurudi nato
 
Umenikumbusha kuhusu neno la Abracadabra
 
Woooza, Abracadabra ama Avra kehdabra.

Aisee, raha sana kujifunza dot nyingi nyingi za ulimwengu wetu huu. Maana it easy an understanding regarding complex issues zilizopo!
Dunia hii ina siri nyingi. Mimi huwa ni msomaji mzuri sana wa Biblia. Ndani ya Biblia kuna code nzito zimefungwa. Ni wenye uelewa tu wanaweza ku decode.

Mfano:-

20 Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza;
Luka 17:20

21 wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu.
Luka 17:21
 
Viherehere grade one nyambafu🤣🤣🤣, Putin aseee Mungu akuongezee miaka 100.
 


⚡Money loved silence

There is a collapse in all asset classes: the US stock market has lost almost 10 trillion capitalization in 3 days, the global stock market has over 16 trillion, cryptocurrencies have collapsed from the last highs three times (by $ 2 trillion), gold and metals are falling.
The debt market collapsed. Two-year bonds at the level of 2007. There are no protective financial assets yet.

‼️The global pyramid is collapsing, WE WATCH
 
Huh kweli tena na ukitaka kuona Raha ya hizi mambo, soma vitabu vyote. Mie ni Muslim Pure ila sikuishia kuisoma Quran pekee. Nimeisoma hiyo Bible, Vitabu vya Mabudha, Na iman zingine kama Judaism, Buddhism na sasa niko naifatilia Confucianism na wala sitoishia hapo nilijiwekea ahadi kuendelea mbele yani mbele na zaidi.

For that case lugha ya wenzangu (Muslims) in the same belief naifaham, lugha yenu niko aware nayo hadi lugha ya wapagani naifaham, Yes I know them ila nimeamua ku'practice Uislam.

The more you read, the more you widen your knowledge! the more you understand, the more wise you become.

Kwenye kitabu chenu Mithali 21:11 inasema "Mwenye mzaha aadhibiwapo, mjinga hupata hekima; Na mwenye hekima afundishwapo, hupokea maarifa.”

Hii maana ake ni kua Maarifa huja kwa kujifunza. Ili tuwe na maarifa ni lazima tujifunze; na ili tuwe na matumizi sahihi ya maarifa tuliyonayo lazima tuwe na hekima.

Another verse in Quran, Surah ya Al Zumar kama sikosei verse number 9, It say "Are those equal, who know and those who know not...?" Of course jibu ni Hapana, so there we go... Tunakuja jua kua knowledge is blessing.

I admire your effort, so as a friend of yours. I would urge you kuendelea kusoma zaidi na zaidi. Na in your journey of acquiring knowledge, be ready to accept challenge on the thing you already know! That way utaweza kujifunza mengi, MENGI MNO.

Nasema hivo coz I knows, Many books, many sources of knowledges tulizonazo hivi leo zina flaws kede kede. Hazipo katika asili yake na waliozichakachua sijui wana malengo yapi 😂.

So Instead of becoming aina flan hai ya kitabu. We should keep exploiting wisdom zipatikanazo ndani ya hivyo vitabu. Not only just katika Faith, but kwenye TAALUMA zote zinazotuhusu either directly or indirectly sie wanadam.

Wasanifu (Architects) knows well kwamba kua best on their works wanatakiwa kua na at least ile basic knowledge ya other fields involved ili kuepusha design ya "shimo la choo kwenye mlango kuingilia"....

🤗🚶
 
Putin ni katili, anaua watu sababu he got nothing to loose at his age 70+, he has eaten his life already now teminating life of innocent youngsters below 35.

Tena kwa sababu ya kijinga kijinga za kale wakati wa Soviet union.
Ila wayahudi wenye asili ya Russia ambao Zelensky angefanikiwa kujiunga NATO angewaua hapo Ukraine kwa msaada wa Marekani yeye angekuwa sio katili au sio!
 
Unatunyanyasa sis wa la saba A.

Ingenoga km ungetoa maana yake kiujumla.
 
Mimi najiuliza hapa if tunajua kichwani yupo vipi, sasa huko Kwa wazungu si ndiyo anawapa sababu ya kutuita waafrika nyani 🤣🤣🤣🤣🤣, yaani kwenye watu wenye akili halafu anatema pumba kama hizi anatudhalilisha waafrika
 
Yaaani sanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watesi wa wababu wa mababu zangu na wenyewe wanawababe wao.
Tena wanayopitia sasa ni kiduchu kulingana na mateso waliyotoa kwetu,ila inapunguza machungu.
Kichapo kiendeleee.
Yaani hapa umetugusa wengi.

Waarabu na Wazungu hawa wa Magharibi wametufanyia vingi sana kwenye zama zilizopita.

Embu pata picha, kwenye historia yetu babu wa babu yangu na ndugu yake wote wa kiume inaelezwa aliokoka kuchukuliwa utumwa baada ya kuibwa na bibi yake, akatorokea eneo ambalo ni Tarafa ya kisiju pwani akitokea mbwela huko Rufiji.

Sisi Leo ni descendant wao na majina Yao ndio zimekuwa majina ya Koo zetu.

Sasa Maslav tuna ugonvi nao upi?
Sisi waswahili wa Mashariki ya Afrika.
 
Mimi najiuliza hapa if tunajua kichwani yupo vipi, sasa huko Kwa wazungu si ndiyo anawapa sababu ya kutuita waafrika nyani 🤣🤣🤣🤣🤣, yaani kwenye watu wenye akili halafu anatema pumba kama hizi anatudhalilisha waafrika
Sio wote mdau, mfano wake wapo wengi mno huko. Kwani ulitegemea wangefanya maamuzi hayo waliyofanya?

Kuna yupo mmoja hivi "Genuine and verified copy" ya mwanamkiwi kasoro lugha tu.
 
Sijaelewa msingi wa swali lako?

Na pia kunusurika kwa babu zako hakukumaanisha hao washenzi waliondoka mikono mitupu bila kuchukua wajomba,majirani au jamaa wa babu wa babu zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…