Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yoyote amtegemeaye mwanadamu amelaania.

Zele aliona Marekani kama mungu wake. Lolote aombalo anatimiziwa, ikafikia hatua hata akaanza kuomba kwa silaha kwa kuforce.

Sasa Siku za "Zeleboy" zinahesabika.

Taratiibu Marekani anaanza kumtapika.

Now they begin to throw Zelensky under the bus.[emoji38][emoji38][emoji38]

Hebu soma maneno ya Yusuf Biden hapa[emoji1787][emoji1787][emoji116]

"Ukraine’s president, Volodymyr Zelenskiy, “didn’t want to hear” warnings of the Russian invasion, according to the US president".
Mwisho wa kunukuu.




 
Ukijua wewe inatosha
VIVA PUT IN VIVA RUSSIA
 
Mkienda nyie inatosha
VIVA PUT IN
VIVA RUSSIA
 
Kusoma kitabu sio kufata matakwa au maudhui yake.

Kuna msemo maarufu wa mzee wetu unasema za kuambiwa changanya na zako.

Kitabu kinafungua uelewa wako yaani unakua na maarifa mapana zaidi.

Icho kitabu ulichokizungumzia binafsi sikijui licha ya kukisoma ila game of throne nimeangalia kama nakumbuka ulikihusika hicho kitabu na hiyo series,kwa mfano kupitia pale unajifunza jinsi ya kuishi ukiwa kama mtawala trust no body,kua mdadisi,usikurupuke,andaa kesho yako n.k

Na haya ndio makusudi makuu ya fasihi andishi(vitabu)
1-kuelimisha
2-kuburudisha
Hata kama wameandika propaganda nyingi kiasi gani kwa mtu mwenye maarifa atatoka na elimu au burudani.

Hakuna kitu cha kuofia kwenye vitabu.
 
Mercenaries wengi walikuja kwa mbwembwe, wakaishia kupata aibu[emoji4]
 
Magazeti ya udaku , kaa Kwa kutulia ewe timu nduli Putin ,
 
Kichapo kinaendelea TU[emoji4]
 
Putin angekua muuaji,
Ukraine ingeshageuka mavumbi
 
Uchaguzi ujao wananchi wa poland wanapaswa wamchague mchezaji robert lewandowski awe rais wao. Raisi wa poland amewaomba nchi washirika wamsaidie silaha baada ya silaha zake kuwapa ukraine. Sijui mmenielewa
Hawa Poland kiherehere Sana,
Sijui wanajiamini Nini Hawa mbuzi[emoji34]
 
Hakuna jipya uliloleta, yote zilipendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…