Hivi itakuwaje mfano US wakarusha kombora kumuua Lavrov hapo Iran kama walivyofanya kwa yule kamanda wa Iran??Russian Foreign Minister Sergey Lavrov and Foreign Minister of Iran Hossein Amir-Abdollahian held a bilateral meeting in Tehran.
View attachment 2269657
Tukiachana na statement ya uzalendo uliyomaliza nayo nakubaliana wewe kwenye hoja zako kwa angalizo la karata muhimu ya USA ya nguvu ya usambazaji wa tecknolojia na uhitaji wa pesa yake. Ukizingatia hayo, Bado hatuwezi kutoa hitimisho kwa mtindo uliotumia japokuwa inawezekana.US kashafail tayar kwa hilo
Hujui kama RUSSO anauza mafuta na GAS kwawingi huko INDIA na UCHINA katika kipindi hiki
Nabado atafanya nao biashara mingi sana ikumbukwe UCHINA na INDIA kwajumla yao wanatakriban ya watu 3.sB yaani mtaji mzuri sana wa biashara kwa RUSSO maana hayo mataifa mawili tu ya BRICS yanarasilimali watu yakutosha
Hatujaenda bado kule kwa BRASIL na South Africa
Wakat tunasema vikwazo havitaiathiri RUSSO kama walivyotarajia watu tuliona mbali MKUU mkawa mnalalama lalama nakubeza
Atakacho ama anachofanya RUSSO ni simple tu anahamisha biashara kutokea West to East
RUSSIA TAIFA TEULE
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatenganisha vizuri kabisa, soma taarifa vizuri.huwezi kutenganisha NATO na EU, wote wana common interest. The EU is a unique and essential partner for NATO. The EU is a unique and essential partner for NATO. The two organisations share a majority of members, have common values and face similar threats and challenges.
Umesema vyema sasa ndege zinazoenda lithiania hazitaruhusiwa kupia juu ya anga la urusi kama urusi wataamua kufunga anga lake!!Mkuu nafuatilia habari tu. Najitahidi kuangalia habari kutoka kila upande bila ubaguzi. Lithuania inatekeleza sasa maazimio ya Umoja wa Ulaya kutoruhusu bidhaa kadhaa za Urusi kwenye eneo lake. Hivyo hazipitii tena kwenye reli inayopita katika Lithuania hadi Kaliningrad.
Naona kwamba Urusi imetisha mara kadhaa hatua kali (na kuonyesha picha za roketi zinazoenda hapa na pale) dhidi ya nchi zinazotuma silaha Ukraine. Nisipokosei hadi sasa hakuna kilichofuata.
Kwa hiyo nimekuuliza: roketi hizo zenye muziki mbaya zifanye nini zikifika karibu na Lithuania na eneo la NATO???
sasa kwa taarifa yako Ukraine anaomba membership ya EU kwa nguvu zote ili akishapata ita accerate NATO membership.Unatenganisha vizuri kabisa, soma taarifa vizuri.
Kuna member ni EU na hawapo NATO ( Austria, Finland, Sweden, Cyprus, Ireland and Malta)
Na kuna members ni NATO na hawapo EU (Turkey, Montenegro, Albania, Norway, North Macedonia and Iceland)
So NATO na EU ni tofauti organs kabisa which operates in a very different aspects.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu mzee apumzike, atakuja kunya hadharani.
mpaka maneno ameshaanza kuyasahau
Naona haujapinga andiko langu Bali umeliongezea nyama tu.Ngoja tufanye kama Muhtasari,
kisiju pwani kwanza inaonesha wafikiri mwarab ni ngozi nyeupe tu.
According to study, kwanza Arab haielezewi kama ni Race, Wanadai Arab sio race, Arabs are not a distinct ethnic group, since there are both white Arabs na black arabs. Wanadai kua Some have blue eyes na wengine wana red hair; wengine are dark skinned; na walio wengi zaidi wapo somewhere in between.
Baadhi kama hao the black Sudanese Arabs ambao wana-claim descent ln the male line from Arabs of Mohammed's time, na yasemekana wanaweza kua correct in their claim.
Wala huezi tumia language as a sufficient criterion of Arabness since kuna wengi katika wayahudi wanaozungumza kiarabu lakini are not normally called Arabs.
Leo hii nyanyua mguu either mtandaoni au kwa watu kaulize Arab ni nini hakuna atakayekupa majibu yaliyonyooka, hata wao wenyewe wanajua ilivyo ngumu kutafsiri Arab n nini.
Neno Arab ina connotation of "people who speak clearly." hii ipo contrasted with ajam, or "people who speak indistinctly." Ingawa ajam (Kiajemi) came to be used specially of Persians, Na mfano wa hii contrast inafanana to that between Greeks and "barbarians."
Umeizungumzia Arab league, Yes arab league imeanza 1945, ilikuja kwa lengo la kuunganisha mataifa ya kiarabu ambayo nyuma hayana historia ya kua pa1 sababu kubwa ikiwa kwenye mvutano wa utawala na ukabila.
Kwa membership ln the Arab League the primary criterion ni language, Arab league ni muungano wa Arabic-speaking countries. Hapa utakuwa umepata majibu kwanini Djbout, Mauritania na Comoros wapo ndani ya Arab league.
Djibouti yupo ndani ya Arab league kwasababu ni Arab Speaking Country sio kwamba kwasababu ni Weupe kama waarab wale kwa mujibu unaowawaza kwamba kama ni weupe.
Afghanistan na Iran ni Muslim countries with over 97% percent lakini hawapo Arab league kwasababu sio Arab speaking Countries na vile vile sio waarab, Lakini wapo eneo moja. Iran wanazungumza kiajemi, Persian Language, Afghanistan wana-zungumza Pashto sio arabic.
Mtu anvyoitamka Arab, ni kama anavyoitamka Asia, anavyoitamka Europe n.k Ndani ya Asia kuna Chinese, Japanese, Korean, Mongolian n.k ndani ya Europe kuna Dutch, Polish, Irish, British, Welsh, Scottish, Portuguese n.k
Upande wa Arab nako kupo vile vile, in term of geneology, waarab wana-wagawa katika mafungu matatu, Ancient Arabs, Pure Arab (Walio kuepo kabla ya Abraham na Ishmael) na Arabized Arabs (Waarab waliofatia baada kwenye uzao wa Ishmael).
Ukija kwenye ethnic, Being Arab inabase kwenye criteria nyingi tu mfano
1. Genealogy kama waliopo Saudia,
2. Ancestry kama wale Afro Arab waliopo Comoro
3. Self Concept, kwamba naamua kujivalisha au kujinasibisha na Uarab.
4. Attribution of Identity, hii category wapo hao Sudan Kaskazini, ambao pia huwa wana claim hiyo ya pili kua chimbuko lao nyuma kabisa linatoka uko.
Nyinginezo ni kama Cultural, Language, Political (Hapa ndipo kuna Djibouti na Somalis), Society na Nationality.
Hivi itakuwaje mfano US wakarusha kombora kumuua Lavrov hapo Iran kama walivyofanya kwa yule kamanda wa Iran??
Nini kitatokea.? Russia watafanya nini??
"Nimewaza ujinga tu hapa"
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]There are reports that Ukrainian troops in Gorskoe and Zolotoe are signaling their readiness to surrender, there are up to 2,000 militants there (numbers are estimates)
Ambassador of the LPR to the Russian Federation[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
Weka article hata moja ya EU inayofanana na article 5 ya NATOhuwezi kutenganisha NATO na EU, wote wana common interest. The EU is a unique and essential partner for NATO. The EU is a unique and essential partner for NATO. The two organisations share a majority of members, have common values and face similar threats and challenges.
Jana nilikuwa nafuatilia documentary ya CSTO, wako Sita lakini wamejipanga.Weka article hata moja ya EU inayofanana na article 5 ya NATO
Anachokifanya RUSSIA ni kupigana vita zaidi ya mojaTukiachana na statement ya uzalendo uliyomaliza nayo nakubaliana wewe kwenye hoja zako kwa angalizo la karata muhimu ya USA ya nguvu ya usambazaji wa tecknolojia na uhitaji wa pesa yake. Ukizingatia hayo, Bado hatuwezi kutoa hitimisho kwa mtindo uliotumia japokuwa inawezekana.