Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,776
Mkuu wewe hufai utawahurumiaUkamanda mnanipa mimi hapa nisimamie show mwanzo mwisho!
Wanaweweseka[emoji28]BBC wanauliza huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kusalimu amri ama ni mbinu?Ukraine yaviagiza vikosi vyake kuondoka mji muhimu wa mashariki unaoshambuliwa na Urusi
Dua zao za kukuEeeeh maana jamaa walipoona hawamuwezi mwamba Putin wakaanza kumuombea kifo.
Yaaani pro USA na NATO wanatamani Putin afe .
Wanaamini Urusi hawezi kwenda bila Putin.
Lkn ukweli Moscow Kuna wangama wakali Putin Mtakatifu.
Hata akifa Leo Urusi bado haitaweza kuyumbishwa.
Ahsante sana kwa somoHakuna "WACHAKATA TAAARIFA ZA KIJASUSI KAMA URUSI"... Kwanza kabla ya kujua "Intelligence" ..wanatakiwa kujua "ESPIONAGE".... MI NAWAPA TU TERMINOLOGIES... WAKATAFUTE WAO WARUDI..... Maana wengi akili zao ni za ULEZI ..KICHWA BOGA.... NGUMU SANA KUNG'AMUA VILIVYOMO KATIKA UJASUSI WA KIUCHUMI NA KIDOLA ...TUWAONEEE HURUMA....
Itakuwa kakimbilia PolandHivi yule mkulima wa trekta kuvuta vifaru mbona kimya siku hizi?
Tumepotezwa mazima na hawa majamaa na midini yaoMimi kwenye suala la dini Mimi naamini kabisa kuwa hizi dini zote zilizoletwa na ngozi nyeupe hazikuletwa Kwa lengo tunalohubiriwa Ila zilikuwa mahususi kumfanya mtu mweusi asiwe mbunifu na aachane na utamaduni wake na kumfanya aamini bila rangi nyeupe yeye Siyo kitu kabisa
Ha ha ha mie ni (Medvedev) times Infinity in term of Ugumu, Nilivyo na roho ngumu naweza Kuua Mende kwa Samart 2.... Yan nA hasira hadi nadiiiiiii 😂😂😂 kama Insha, Ngojera na Misemo ya kiswahili.Mkuu wewe hufai utawahurumia
SawaLavrov: The Europeans are trying to persuade Ukraine to return to negotiations with Russia, but the United States and Britain are preventing it.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣Mkuu unataka taarifa gani toka kwake?Hivi yule mkulima wa trekta kuvuta vifaru mbona kimya siku hizi?
Leningrad ama Saint Petersburg ya leo hiiNyani halioni kundule...
View attachment 2270679
Medvedev ⚡⚡⚡ German Foreign Minister Annalena Burbock said that Russia "is using hunger as a weapon."
It is surprising, of course, to hear this from officials whose country kept Leningrad in blockade for 900 days, where almost 700 thousand people died of starvation.
@LLSeniors
Unajua siielewi kabisa Marekani. Nikikumbuka miaka ile waliomba idhini katika Bunge lao kuishambulia Iraq, Libya na Afghanistan na wakapewa Idhini faster tu, tena hawakusubiri idhini ya UN. Pia nakumbuka ikitokea Askari au Raia wa USA awe anashikiliwa ama kuzuiliwa na nchi au kikundi chochote MKWALA UTAKAOPIGWA hadi walimshikilia wanamuachia na kuomba msamaha.
Kimewakumba nini safari hii !!! Inamaana Congress/Senate inasubiri nini kukaa na kutoa go ahead.
Kimetokea nini USA kweli anakaa kimya wakati anajua kabisa kuna raia wake wamekamatwa wakipigania Ukraine.
Lakini ngoja niwe na subira.
Halafu tunaiongezea mbwembwe si unajua cha kuiba aidha ukipunguze au ukiongeze hakiwezi kutoka sawasawa na originalHahaha kiongozi akiwa mchina.
There is New Sheriff in town.Unajua siielewi kabisa Marekani. Nikikumbuka miaka ile waliomba idhini katika Bunge lao kuishambulia Iraq, Libya na Afghanistan na wakapewa Idhini faster tu, tena hawakusubiri idhini ya UN. Pia nakumbuka ikitokea Askari au Raia wa USA awe anashikiliwa ama kuzuiliwa na nchi au kikundi chochote MKWALA UTAKAOPIGWA hadi walimshikilia wanamuachia na kuomba msamaha.
Kimewakumba nini safari hii !!! Inamaana Congress/Senate inasubiri nini kukaa na kutoa go ahead.
Kimetokea nini USA kweli anakaa kimya wakati anajua kabisa kuna raia wake wamekamatwa wakipigania Ukraine.
Lakini ngoja niwe na subira.
Si wawageuke hao US na UK waendelee na Maisha yao. Mbona wanaonekana kujitambua?Lavrov: The Europeans are trying to persuade Ukraine to return to negotiations with Russia, but the United States and Britain are preventing it.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi yawezekana wanaweza kuwakana wale mateka kuwa si raia wa US, kuna namna nyingi ya kuchutama tailo likivuka. H a aaa ah ha haaa!Unajua siielewi kabisa Marekani. Nikikumbuka miaka ile waliomba idhini katika Bunge lao kuishambulia Iraq, Libya na Afghanistan na wakapewa Idhini faster tu, tena hawakusubiri idhini ya UN. Pia nakumbuka ikitokea Askari au Raia wa USA awe anashikiliwa ama kuzuiliwa na nchi au kikundi chochote MKWALA UTAKAOPIGWA hadi walimshikilia wanamuachia na kuomba msamaha.
Kimewakumba nini safari hii !!! Inamaana Congress/Senate inasubiri nini kukaa na kutoa go ahead.
Kimetokea nini USA kweli anakaa kimya wakati anajua kabisa kuna raia wake wamekamatwa wakipigania Ukraine.
Lakini ngoja niwe na subira.
Hahaha.Halafu tunaiongezea mbwembwe si unajua cha kuiba aidha ukipunguze au ukiongeze hakiwezi kutoka sawasawa na original
Nalog off Z
Alikufa mkuu. Ile details sikuihidhi..lkn aliuwawaKuna yule mwingine pilot waliompachika jina la ghost of Kiev nae sijui kaishia wapi......ila tumepitia kwenye propaganda nyiingi mpaka leo hii na Bado mwamba Putin analisongesha huko Ukraine huku sie tukilisongesha humu jf
BBC wameanza kunyoosha maelezo