Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Nimelipenda bandiko lako ndugu !Kwa kweli Nato is not for small countries, Nato iko kwa ajili ya Britain US France Germany and Italy, vi nchi vidogo hufanya na Nato kama puching bag au training ground, ya kufanya maandalizi ya kujilinda
Mimi nina wakika Nucreal Russia akiamua ku attack Lithuania sidhani kama US na Britain wako tayari ku-engage kwenye vita na Russia ku-defend 2m pple state of Lithuania, wakati wanajua kupambana na Russia watapoteza zaidi ya nusu ya jeshi na uchumi wao huenda na kufutwa kwenye uso wa dunia kwa nchi kama Britain.
Article ya tano ya Nato anaesema attack on one of us is attack on every one of us" haitekelezeki mwana diplomat moja wa US alisema hoyo article no 5 ni "ironclad" vazi la chuma maanake halivaliki US Britain yenye uchumi wa trions of $$ hawako tayari ku-riski vita na Russia ku defend nchi kama ya Estonia ya $10bn economy its impossible and illogic
therefore Nato anatumika kama tishio kwa Russia but is a 'toothless dog' haiwezi kuingia vitani ku-defend vi nch vidogo iko pale kwa ajili ya big 5.ie US Br Fr Gr na Italy ndo maana Utruki amegundua Nato haina manifaa kwake ameanza mjadala wakujitoa,
Na mshukuru sana Putin na jeshi la Russia kwa jumla kutuonyesha madhaifu ya hizo nchi na jeshi lao la Nato, hamna silaha ambaye haijapelekwa pale Ukuraini kutoka magharibi ila hawajafanikisha lolote kwa Urusi wanajeshi wa Ukuraini wanakufa kama panya na hawa wanee huruma wataisha wote US na Britain are world evil, ni wabinafsi tena wakubwa sana.
Wanakimbiana, kuna wakimbizi walitaka wawalete hapo RwandaAcha wazungu na wenyewe waonje ladha ya vita haswa wakimbizi,wanachukuliaga poa vikitokea Africa na middle east.
Ask Q tueleze kidgo kuhusu chegetNimelipenda bandiko lako ndugu [emoji2956]!
Cheget ni nick-name ya hicho kijibriefcase cha code za Nuclear cha Russia. Wanasema ni part ya Automatic system kwa komandi na control ya Russia's SNF.Ask Q tueleze kidgo kuhusu cheget
Usisahau kuna jasusi moja bobevu na hatari sana laitwa Nikolai Petrushev huyu huenda akaja kumrithi Putin. Ni mtu hatari sana huyo. West washukuru Putin yupo madarakani otherwise ingekuwa ni habari mbaya sana kwao kama Petru angekuwa kwenye usukaniLabda sina hakika, ila katika historia yake inaonesha hajawa jeshini. Wala hakuwah kua KGB Officer kama ilivyo kwa Putin
View attachment 2270770
So kama alikua huko basi hiyo ni siri ya Kremlin.
Medvedev kaingia serikalini rasmi (not as president) enzi hizo Putin kaingia madarakani. Wakati Yeltsin anajiuzuru nà Putin kukaimu nafasi yake kama Acting President alimteua Medvedev kua Deputy head of Presidential Stuff... (Mchizi wake 😃)
2000 hiyo during presidential election akawa Campaign Manager wa Putin, 2000 hiyo hiyo wakati Putin kaanzisha Vita dhidi ya ma-oligachi, Med akasogezwa hapo "Gazprom" hii tunayoisikia leo akawa hapo kama Chair wa board.
Inasemekana ndie aliyerejesha uhai wa Gazprom kwa kuitoa kutoka 7B dollar market capitalization hadi 300B dollar alipotoka huko wakati anaingia kwenye uraisi hiyo 2008.
Kakaimu vyeo kadhaa kwenye federal Government kama Chief of Staff of Kremlin na vyeo vinginevyo vyote under Putin.
Ukiangalia ile trust aliyonayo Putin kwa Medvedev, inakupa majibu mepesi tu kwamba hawa wawili lao ni moja.
Medvedev binafs namchukulia kama History imelala kwenye kichwa chake... issue za kijeshi sina hakika.
Safi hiii[emoji298][emoji298][emoji298] [emoji388] Philippines are considering connecting to Russian financial messaging system to continue trading with Russia - Philippine Ambassador to Moscow.
@LLSeniors
Naam, Ila Patrushev kapea ki-Umri, ni mkubwa kwa Putin by one year!Usisahau kuna jasusi moja bobevu na hatari sana laitwa Nikolai Petrushev huyu huenda akaja kumrithi Putin. Ni mtu hatari sana huyo. West washukuru Putin yupo madarakani otherwise ingekuwa ni habari mbaya sana kwao kama Petru angekuwa kwenye usukani
Kabisa MKUU pengne wanamtu wao ambae hata hatujawahi kumgusiaNaam, Ila Patrushev kapea ki-Umri, ni mkubwa kwa Putin by one year!
Hili chombo linaweza kurudi kwa Medvedev.
1. Kwanza ni Kiongozi mkuu wa Chama chenye ushawishi zaidi Russia, UR (United Russia) ambacho amekaimu kama mwenyekiti.
Funny-fact hapa,
[emoji842]Putin na Medvedev wapo vyama vya siasa viwili tofauti. Putin yupo All Russian People's Front, Medvedev yupo United Russia.
[emoji842]United Russia, Moja ya waanzilishi wa hiki chama ni Fundi Sergei Shoigu na wenzake.
[emoji842]Putin alikuwa kwenye hiki chama pia (United Russia) kabla hajamkabidhi mikoba Medvedev!
2. Pili umri una m-favor, ukiangalia historia Russia hawana historia ya kuweka vijizee madarakani.
3. Kwa sasa ni second most powerful man after Putin, ni Deputy Chairman of Security Council. Ambapo Patrushev anakuja second kwake.
Ila haya ni mawazo yetu., Russia nao wana ya kwao huko waliko.
Aisee hata Mimi nimecheka kwa sauti kutokana na hilo neno*kuwavuna".Eti kuwavuna 😂😂 aiisee wewe jamaa bhn
Enheeee!!⚡⚡⚡ The United States is using Ukraine as a weapon against Russia, American director Oliver Stone said in an interview with La Repubblica newspaper.
He also expressed confidence that the war was provoked. At the same time, the director believes that in the end everything will turn against the United States.
"Our energy and food supply largely depend on Russia. Everything will turn against us, and we are already seeing this with inflation. Ukraine is used by the United States as a weapon against Russia. They say that the war was not provoked, but I think it was," Oliver Stone said.
@LLSeniors
Kwani kuna tatizo??, Kuna ushahidi usio na Shaka WA kusema dini zilizoletwa na watu weupe ni dini sahihi?Kwahiyo Watu warudi kuabudu Mizimu kama walivyokuwa Mababu zao?
Tena sio wachumba TU,Bali ni WA humba sugu wa kike.US kwa Russia ni wachumba tu[emoji1787]
Kabisa MKUU watakuja tuuuuNiwakumbushe tu Russia hajawahi kuacha op au vita njiani pale Chechnya kapigana miaka 10 1999_2009 mbaka wahuni wakasanda Georgia alikubali yaishe akachia majimbo mawili .Finland alitoa 10%ya ardhi bado huyu Ukraine anajitia mgumu saiz watakuja wenyewe tu mezani .
Saaana, ile Move ya Medvedev kujiuzuru uwaziri mkuu kisha kuteuliwa as Deputy Chairman huwa naamini siyo ya Bure.Kabisa MKUU pengne wanamtu wao ambae hata hatujawahi kumgusia
Ila natamani nipewe umri zaidi nije kushudia KIDUME chengine kitakachokujá kurithi mikoba baada ya PUT IN
Ila kama hatakua Medvedev mwenginewe natamani nimjue nione atakavyowapelekesha hawa UKRO NATO maana wanajikutia akili kuubwa
Kumbe wakikutana na watu smart na wazalendo kama akina PUT IN wanakua VILAZA tuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unadhani kiongozi yoyote wa Urusi au Korea kusini ni wananchi kama Yanga wengi ni soldier.Hivi Medved alipita jeshini?
Mbona naona kila kitu anakirifaa kijeshi.
Nahisi he might be another tougher than Putin