Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Mfano wewe hapo hujatumia akili bali mabavu [emoji16][emoji16]DENAZIFICATION aliyoitangaza dikiteta Putin imegeuka na kuwa MULTNAZIFICATION..,hii ikiwa na maana kwamba Ukraine Sasa Ina wanazi wengi wanoapigana dhidi ya dikteta Putin kuliko wakati wowote ule! Hapa ndipo tunaona tofauti kubwa sana kati ya mabavu dhidi ya matumizi ya akili
Kwakweli ni wapambanaji mpaka hata Donbas imechukuliwa [emoji16][emoji16]Yote Tisa,kumi askari wa Ukraine wanastaili pongezi kubwa kwa kuweza kupambana na kuilinda nchi yao mpaka dakika hii dhidi ya fashsti nduli dikteta Putin
Namtafuta yule aliyesema dunia ni ya mungu ila vitu ni vya mzungu. Kwa maana hiyo hawa jamaa bado walikuwa wanapima kina cha maji cha Russia kwa kumtumia lithuania. Empty set[emoji95] Updates!!!
[emoji845][emoji1151][emoji1099][emoji635]The EU Commission has prepared a draft document allowing Russia to transport goods to the Kaliningrad region through the territory of the European Union
This was stated by the member of the EU Parliament from Lithuania Pyatras Aust'evicius[emoji845]
Wachina hawawezi...waogawaoga sana..hizo mambo anayeweza kufanya ni mrusi....wengine hawawezi thubutu[emoji95] Updates!!!
[emoji845][emoji630][emoji1239]"We will return Taiwan by any means, including military"
The Chinese Ambassador to France in an interview with Livre Noir.[emoji845]
Donbass ni muunganiko wa majimbo mawili hambayo ni luhansk na Donetsk, kati ya majimbo hayo mawili dikiteta Putin hajaweza kuchukua hata Jimbo Moja kikamilifu,yupo anakazana na jimbo la luhansk tu ,Kwakweli ni wapambanaji mpaka hata Donbas imechukuliwa [emoji16][emoji16]
Putin ni dictator kivipi?Donbass ni muunganiko wa majimbo mawili hambayo ni luhansk na Donetsk, kati ya majimbo hayo mawili dikiteta Putin hajaweza kuchukua hata Jimbo Moja kikamilifu,yupo anakazana na jimbo la luhansk tu ,
Unaandika haya ukiwa wapi Ndugu....hii lugha ya 'dikteta' inaonesha ni mtu wa kiwango gani kiuelewa...ni uelewa wa chini kabisa...hata nchi za magharibi husita kutumia 'dikteta' kwa Putin...DENAZIFICATION aliyoitangaza dikiteta Putin imegeuka na kuwa MULTNAZIFICATION..,hii ikiwa na maana kwamba Ukraine Sasa Ina wanazi wengi wanoapigana dhidi ya dikteta Putin kuliko wakati wowote ule! Hapa ndipo tunaona tofauti kubwa sana kati ya mabavu dhidi ya matumizi ya akili
Yes Putin anawatesa sana west of course.
Kiongozi yeyote anayebadili katiba na kujipa mamlaka ya kutawala milele kama tunavyoona huko Uganda, Rwanda na kwingineko anastahili kuitwa dikteta tu, Putin alibadili katiba na kujipa utawala wa milele,ukiachana na Hilo, maamuzi yenye maslahi kwa umma uko Russia yanafanywa na mtu mmoja tuUnaandika haya ukiwa wapi Ndugu....hii lugha ya 'dikteta' inaonesha ni mtu wa kiwango gani kiuelewa...ni uelewa wa chini kabisa...hata nchi za magharibi husita kutumia 'dikteta' kwa Putin...
Yote Tisa,kumi askari wa Ukraine wanastaili pongezi kubwa kwa kuweza kupambana na kuilinda nchi yao mpaka dakika hii dhidi ya fashsti nduli dikteta Putin
Russia alikuwa na plan ya kubadili utawala na kuweka kibaraka wake huko kyvi, lakini wanaume wamemndindishiaSawa wamelinda mipaka mpaka 30% imekwenda Russia
Duh.....aisee.....anyway...JF Ina watu wa Aina nyingi...Kiongozi yeyote anayebadili katiba na kujipa mamlaka ya kutawala milele kama tunavyoona huko Uganda, Rwanda na kwingineko anastahili kuitwa dikteta tu, Putin alibadili katiba na kujipa utawala wa milele,ukiachana na Hilo, maamuzi yenye maslahi kwa umma uko Russia yanafanywa na mtu mmoja tu
Ila tukiacha hayo mambo tunayoyawaza kuwa ama anajihami na kuwekewa sumu,ama kuambukizwa korona ama vinginevyo,lakini ukweli hiki anachokifanya Putin ni bonge la propaganda.