Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

There were gossip that Lisichansk would be surrendered quickly. The General Staff decided to prepare defense in Bakhmut, Kramatorsk and Slavyansk.

The Office of the President tried to convince the military to go on a counteroffensive, showing success before the G7 and the NATO summit, but Zaluzhny refused to play politics, and so in Severodonetsk they lost a lot of heavy weapons and well-trained manpower.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna watu wanajua usikatishe tamaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚tukijua kutafsiri maandishi ya wazungu basii tunanelezea na location aliyopo ni nyuzi ngapiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jiulize kuna parachuti walilodizaini liruke usawa wa kamba ya kuanikia nguo?
Blaablaa tuu
 
Waliitumia Rambo , Anord Shuzilakiniga na komando kipensi.....🀣🀣🀣
 
Ulidhamiria kweli kulisema hili mjomba?
 
Hii ya wajerumani kupiga passports size imenikumbusha Jamhuri High school Dodoma nilopokuwa advance,yaani msimu wa baridi nilikuwa na nawa macho na makwpa Tu[emoji16][emoji16],wiki nzima[emoji119]
Hahahaha mkuu haukunenepa kwasababu ya uchafu kurundikana mwilini
 
Pole sana...mjitahidi tu kubaki na I'd zenu mnazotoa maboko msijifiche fiche, hakuna atayewafanya chochote humu..kuweni huru tu, mbona pro Russia ni viumbe waungwana sana...Msiogope sana, sawa bibie?[emoji2956]
Bibie baba ako
 
Wengine duuh kaka hata hauko comfortable ila Kuna wengine huwa wako comfortable kumuheshimu mtu aliyemzid maarifa flani. Usikatae cheo bro kwa mchango unaotoa binafsi likubali jina tu

Mkuu ni sexless linavyotumika kwenye hili jukwaa(JF) halina mahusiano yyte na kumtunuku mtu heshima.

Hapa watu wako na ubandia mwingi (wachache ndio wamejidhihirisha)tofauti na social network nyingine.
 
Mkuu EU haiwezi firisika kwa matukio kama haya, watateteleka na kubaki kwenye mstari, alafu watafute alternative ya hiyo gesi ya Russia. Vita ya kwanza ya dunia na ya pili zilipita hawakufirisika. USSR nayo iliathirika kiuchumi kwa vita ya Afghanistan, na hapa tukubaliane Russia itaathirika na hii vita. Ukraine hakuna ubishi wana kazi kubwa kujenga upya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…