Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

@T14 Armata ndio maana OP tunaona kama inachelewa kumbe inacheleweshwa hiii
EU wakipigwa na hali hii kwamiezi zaidi ya sita ijayo nakuhakikishia lazima EU hapo kitaaumana
Hali hii ikiendelea naona EU na NATO kimoja wapo kitatuacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pro-Russia niwaombe kitu, achaneni na ID ya huyo mteseka nyuma ya keyboard. Tieni Spana kwenye anayozungumza kama hayana maana. Hapo mtaanza kurushiana maneno ya kijinga halafu haipendezi.
Kuna kitu moja sijajua sababu ni nini ila hizi several attempts za Ukraine kwenye hii snake island, kuna kitu gani pale hawa jamaa kila baada ya mda wanajaribu kurudi kutaka kupakomboa japo wanaishia kuangukia pua kila wakienda?

 
The United States intends to supply Ukraine with medium and long-range missile defense systems. In addition to air defense systems, the US is also likely to announce its intention to transfer counter-battery radars to Ukraine, - CNN.
 
Cheki hili, speed ya 30 times unaijua? Warusi weusi hovyo nyie

Cheki hili, speed ya 30 times unaijua? Warusi weusi hovyo nyie
Biden!! mbona umepanic, kwa taarifa tu USA ndo Kwanza Yuko kwenye majaribio ya hypersonic missiles, four trials zote za USA zime fail, ...... Hypersonic missiles za Russia ziko na mach number 9-10 which is approximately equal to 29-32 times speed of sound ....
nadhani taarifa umeipokea Mr biden.....
 
Itakuwa kuna siri zao nyingi hapo, hii inafanana na zile attempts walizokua wanafanya Mariupol kiwandani pale na bado wakashindwa.
 
Itaathirikaje na EU isiathirikaje!!!??
EU safari hii hawapindui ila acha tuone maana kama RUSSIA pekee kawapelekesha hv
Mzozo ukitanuka kidogo kwakweli EU na Us wameonesha udhaifu hasaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawadanganye watoto wenzio, Warusi weusi mnajiona mnajua sana vitu. FICHA UJINGA USIZUNGUMZE USICHOKIJUA
 
Hapana Mjomba si kweli, Mach ndio Speed ya Sauti 1,235KM kwa saa au Meter 343 kwa sekunde... So unaposikia Speed ya Mach 9, jua ni Speed mara 9 ya sauti.
 
Kwa nini unamuita Rais Putin kuwa Dictator?
Hata NATO hawafanyi hivyo inakuwaje wewe?

Usije tusababishia kurushiwa sutan 2 mzee. [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wachapwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…