Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The United States intends to supply Ukraine with medium and long-range missile defense systems. In addition to air defense systems, the US is also likely to announce its intention to transfer counter-battery radars to Ukraine, - CNN.
Aisee! Kweli USA ni Super power na inaitesa sana Russia kwenye hii operation, Asingekuwa USA Ukraine isingeshinda haya mapigano hapa chini;

☆Aliipatia Ukraine Javelin ikakomboa mji wa kharson
☆Aliipatia Ukraine Switch blade drones ikakomboa mji wa mariupol na black sea yote.
☆Aliipatia Ukraine $40b ikakomboa jimbo la luhansiky

☆Mwezi uliopita aliipatia Ukraine makombora ya masafa marefu ikateketeza maghara ya silaha za warusi kwenye kambi za jeshi za Urusi.

☆Wiki iliyopita aliipatia Ukraine silaha zilizo saidia kukomboa mji wa Severodonetsk ambao kwasasa upo chini ya jeshi la Ukraine baada ya majeshi ya urusi kuamuriwa na putin ya withdraw vikosi vyake kwenye mji huo.

☆Jana USA kafanya kikao cha G7 kilichopelekea Moscow kumiminiwa mvua ya makombora na jeshi la Ukraine mpaka meya wa Moscow akakubali uwezo wa Ukraine kwa silaha nyingi zisizo isha.

Yani hii USA ni hatari sana naamini kabisa hii wiki wakishapeleka hizo, missiles and Air defense systems Jiji la Moscow na Petersburg litakiwa chini ya jeshi la Ukraine na vikosi vya Urusi vitageuzwa panya wa shimoni hapo Ukraine.

Note; Huu ni mfumo mpya wa kuwajibu Pro-NATO ili wasikimbie uzi na kuanzisha ID mpya maana wanayo yaandika hapa hata mtoto wa kidato cha pili mkondo F, hawezi umiza kichwa kujua huo ni ugoro.
#Slava Ukraine [emoji1255][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Umeanza vizuri unamaliza kishamba, we kabila gani? Umekulia kwenye dela eeh? Be like a Gentleman. Zungumza ueleweke sio mipasho eboo
 

Umeamua kumfariji jamaa[emoji23]
 
MOD RUSSIA TODAY
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation in Ukraine ( June 27, 2022)

Part 2 (read part 1)

❗️ Russian Federation Armed Forces continue launching attacks at military facilities located in Ukraine.

💥 High-precision armament of Russian Aerospace Forces has neutralised the base of 106th Battalion from 63rd Mechanised Infantry Brigade of the AFU near Visunsk (Nikolayev region). Over 40 Ukrainian servicemen and 12 units of military equipment have been eliminated.

▪️ Attacks have also resulted in the elimination of AFU manpower and military equipment in 27 areas, including those that formed part of the Right Sector near Lisichansk, as well as those of Azov and Kraken near Kharkov.

💥 5 AFU command posts and 3 munitions, missile and artillery armament depots have been neutralised near Bereznegovatoye (Nikolayev region) and Novodruzhesk (Lugansk People's Republic).

✈️💥 Operational-tactical and army aviation, missile troops and artillery have neutralised: 24 command posts, artillery and mortar units in 58 areas, as well as manpower and military equipment in 304 areas.

💥 Within the counter-battery warfare towards Donetsk, high-precision armament of Russian Aerospace Forces has neutralised: 3 Grad MRLS plattoons near Avdeyevka and Dzerzhinsk, a plattoon of M-777 155-mm howitzers near Konstantinovka, 2 Giatsint 152-mm howitzer plattoons near Kalinov and Artyomovo, as well as 2 2S1 Gvozdika self-propelled artillery system plattoons near Ocheretino and Novolugansk that had been launching attacks at Donetsk and othe cities of the Donetsk People's Republic.

▪️ Russian air defence means have destroyed 10 Ukrainian unmanned aerial vehicles near Noviy Burluk, Arkushino, Kurulka, Semyonovka, Chervoniy Shakhtyor, Ternovaya (Kharkov region), Chernobayevka (Kherson region), Shcherbakovo (Zaporozhye region) and Petrovenki (Lugansk People's Republic).

💥 2 Tochka-U tactical missiles have been intercepted near Kakhovka (Kherson region), as well as 1 MRLS rocket over Snake Island.

📊 In total, 215 airplanes and 132 helicopters, 1,373 unmanned aerial vehicles, 350 anti-aircraft missile systems, 3,830 tanks and other armored combat vehicles, 684 combat vehicles equipped with multiple rocket-launching systems, 3,025 field artillery cannons and mortars, as well as 3,870 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.

#MoD #Russia #Ukraine
@mod_russia_en
 
Duh, nimesoma marambilimbili nimegundua kitu Russia wana miamba. Just imagine hayo ni maandishi tu ila ujumbe ni mzito utafikiri mtu anaongea moja kwa moja. Heshima kwa Russia jamani
 
‼️🇮🇷🤝🇷🇺🇨🇳🇮🇳🇿🇦🇧🇷TEHRAN (Tasnim) – Iran has applied for joining the BRICS‼️

The spokesperson for the Iranian Foreign Ministry announced at a press conference on Monday that the Islamic Republic has submitted its application for membership in the BRICS.
 
Mkuu nadhani kabla ya kuja na hitimisho kwa kitu usichokifahamu, ungeanza kwa kuomba msaada wa kuelimishwa kwanza kwa kile unacho fikri hakiwezekani.

Sijui chochote kuhusu background yako ya elimu ila kwa ulichokiandika naweza sema either una elimu duni juu ya physics na hesabu au physics uliikimbia soon tu baada ya kufika kidato cha tatu ila kwasisi tuliopitia msoto wa physics na hesabu tunaona kuwa inawezekana kabisa. Basi kwa kulitambua hilo nitakuelemisha kwa mfano hai kabisa ambao hata ambae hakwenda shule anaweza elewa kama yupo tayari kuelewa.

Elimu kidogo: Mkuu ndammu bila shaka unaijua bastora, sasa ipo hivi Ukimchukua jamaa yako ukamusimamisha umbali wa mita300(Urefu wa viwanja vitatu vya mpira) then ukakoki bastora yako vizuri na kumlenga halafu kwa pamoja ukamuita jina lake(kwa sauti ya kufika hizo mita) + kufyatua risasi, basi huyo jamaa yako atakufa kabla hata sauti yako haijamfikia.

Kwanini: kwasababu speed ya risasi inayotoka kwenye bastora nikubwa kuliko speed ya sauti(hii ni physics) kimehesabu tunasema hivi Speed of bullet~384m/s > Speed of sound 340m/s.)
Where; Symbol (>) implies greater than.. and (m/s) implies 1meter is covered within 1second.

Mwisho wa elimu: kwa kiwango chako cha elimu yako juu ya ulimwengu wa physics na Math, naomba niishie hapo kwenye mfano wa bastora nisikupeleke kwenye supersonic na hypersonic missiles, ambazo zinahitaji angalau mtu aliesoma mada za Waves, mechanics, Radioactivity na Atomic structure.

Therefore, kama umeelewa uhalisia uliopo kati ya sauti na speed ya risasi kutoka kwenye bastora(kifaa cha mwanzo kabisa cha moto baada ya gobole) basi hutaona tena kama haiwezekani supersonic missile kuwa na speed mara tano zaidi ya speed ya sauti.
 
👏👏
 
Source pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…