“I wonder how the whites successfully convinced Africans that polygamy is a sin but gay is a human right” – Kim Jong-unSahii kabisa,
Ni aibu Kubwa Sana kumuona mwafrika anashabikia mwanaume kuolewa na Mwanaume mwenzie, huku akipondea mwanaume mwenzie kuoa MKE Zaid ya mmoja.[emoji28]
Hasira yanini weeee babaaaaaa dadeki na badoUnanipa order kama nani? We kiazi nini, jadilini mada, ID yangu HAIWAHUSU.
@T14 Armata kabisa MKUU [emoji3][emoji3][emoji3]Hivi vidubwana hapo mach na Feb vilifanyiwa promo ya kutosha!
View attachment 2274427
Habar njema sana hizi[emoji845][emoji1130][emoji1666][emoji635][emoji630][emoji1128][emoji1221][emoji1054]TEHRAN (Tasnim) – Iran has applied for joining the BRICS[emoji845]
The spokesperson for the Iranian Foreign Ministry announced at a press conference on Monday that the Islamic Republic has submitted its application for membership in the BRICS.
Marine za taifa gan MKUU zinazopiga jaramba !!?LTIHUANIA YOU ARE PLAYING WITH[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji845]About 300 marines are conducting firing exercises at the Khmelevka training ground in the Kaliningrad Region, the Baltic Fleet said on Monday.[emoji845]
[emoji23][emoji23]ndio mkuu maana naona wenzake kama wamempuuza alichoandika hata kumpatia like tu hawataki, ili kumfanya asiwe frustrated ikabidi nimfariji kwa kuigeuza Urusi kuwa Ukraine.Umeamua kumfariji jamaa[emoji23]
Jamaa amekuambia USA majaribioa yao manne yamefail sa unakaza mshipa ili iweje jibu kwa hoja msewKawadanganye watoto wenzio, Warusi weusi mnajiona mnajua sana vitu. FICHA UJINGA USIZUNGUMZE USICHOKIJUA
Hizi habari ndo nzuri kuzifatlia[emoji845][emoji1130][emoji1666][emoji635][emoji630][emoji1128][emoji1221][emoji1054]TEHRAN (Tasnim) – Iran has applied for joining the BRICS[emoji845]
The spokesperson for the Iranian Foreign Ministry announced at a press conference on Monday that the Islamic Republic has submitted its application for membership in the BRICS.
OveratedHivi vidubwana hapo mach na Feb vilifanyiwa promo ya kutosha!
View attachment 2274427
Acha kuokota habari ya mwezi April hiyo hv hauoni aibu
Tukikataa kulipwa hatuna uhalali wa kusema kashindwa kulipa deni, So wakienda default it will be an artificial default which doesn't reflect anything from their economy.Russia inakataa kwamba imeshindwa kulipa, bali vikwazo vinauzia kufanya transactions.
Sawa mkuu zinakuja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu The green rajab naomba uendelee kututumia picha za taifa letu Tukufu Russia pic zinaleta hamasa san mwaga picha za kutosha
Urrraaaa......
Nani wamekataa kulipwa? Russia inabidi ilipe kwa USD sio kwa hela zake na mara zote huwa inalipa kwa USD. Sasa nani kakataa kulipwaTukikataa kulipwa hatuna uhalali wa kusema kashindwa kulipa deni, So wakienda default it will be an artificial default which doesn't reflect anything from their economy.
Sijui ni nani huwa ananunua mafuta ya Waajemi pale EU. Iran ijiunge ili angalau mkutano wa St. Petersburg Economic Forum uwe na watu kadhaa sio kama wa mwezi huu ambapo wenye vyeo pale walikuwa ni mwakilishi wa Taliban na wageni wa Belarus. Compared na mkutano wa Davos unavyokuwaHabar njema sana hizi
DUNIA inataka kuelekea kwenye mkondo sahihi
OP ydhidi ya UKRAINE ilikua imepangiliwa vyema haswaaa
T14 Armata borell na EU yake washakosa mafuta ya waajemi[emoji4][emoji13][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuzuia kutumia USD ni sawa na kuzuia malipo mkuu. Hapo tumeboronga hilo halina utetezi, tunamfumba mdomo then tunamwambia ameshindwa kula? Ni upumbavu tunaofanya.Nani wamekataa kulipwa? Russia inabidi ilipe kwa USD sio kwa hela zake na mara zote huwa inalipa kwa USD. Sasa nani kakataa kulipwa
Tatizo lako unaweka mapenzi mbele bila fact Rusia hajashindwa kulipa madeni yake Ila vikwazo vya kutumia amana zake zilizopo nje ambapo ana around 600bilion dollar zimefungiwa akataka kulipa Kwa dolla zilizop nchini kwake wamezuia mfumo kupokea malipo saivi kasema atalipa Kwa rouble Napo pia wamezuia sasa utasemaje kashindwa kulipa nchi kushindwa kulipa madeni inamaanisha imefilisika Ila Rusia hajafilisikaNani wamekataa kulipwa? Russia inabidi ilipe kwa USD sio kwa hela zake na mara zote huwa inalipa kwa USD. Sasa nani kakataa kulipwa