LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums

Wapi mrussi alisema hata kutana na upinzani kutoka ukraine? Ukraine usiichukulie poa ipo vzr kijeshi mzee
 
So sad
 
Ndio sio Nuke ila kwa kweli tusitake kuona nuke. Apewe tu.
Wengne tulijua tu hata asipopewa ataichukua tu kwa lazma na hilo bomu hapo ni trela tuu, movie kamili litakalotua kyiv... ndio maana wameambiwa waondoke kyv kufikia kesho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..
 
Mkuu kuna video ya mlipuko mmoja huko ni balaa. Putin apewe tu hiyo Ukraine wasimjibu hata kama wanaweza.
ANAONDOA KWANZA VIGENGE VYAO VINAVYOWAPA JEURI, BUT ANAWAPA TARIFA BEFORE SO KAMA UNAKILI UNAONDOKA.

MBONA ANAFANYA FAIR SANA, TANGU MCHANA ALIWAMBIA ATAPIGA WAPI, SO NI MTU POA TU SEMA BINADAMU VICHWA VIGUMU​
 
Ze comedy haya inatosha muachie nchi tu anko vladimir mana ukija kustuka utakuja kukuta unaongoza panya na magofu tu mixer mende sio kwa vinu vizito vinavyoshuka hapo we kuna bomu limetua huko mpaka huku kibaha mwanalugali tumesikia
 
Kinachoniumiza ni miji inavyoharibiwa, plus hao watu wanavyokif!
,itachukua muda gani kujenga hiyo miji? Yaani mambo mengine siyo ya kufurahia kabisa Mungu asaidie hii mambo iishe
Na hilo liwe funzo kwa westernazi maana usa kafanya Libya iwe ka magofu ...
Mi nafurahi maana anaepasuliwa ni mzungu tena racist[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Putin baba we piga tuu si huku hayatuhusu asee
 
Kinachoniumiza ni miji inavyoharibiwa, plus hao watu wanavyokif!
,itachukua muda gani kujenga hiyo miji? Yaani mambo mengine siyo ya kufurahia kabisa Mungu asaidie hii mambo iishe
Huyo mungu wako akitaka kutuuzi ainyamazishe hii vita,watu tumepata vya kushuhudia alafu ww unasema vita iishe? Unafikili hao wanaopigana wajinga sana au unauchungu sana kuliko wenyewe,aisee kama huna cha kusema bora ukae kimya, maana nayo pia ni busara. Usituudhi sawa?
 
ANAONDOA KWANZA VIGENGE VYAO VINAVYOWAPA JEURI, BUT ANAWAPA TARIFA BEFORE SO KAMA UNAKILI UNAONDOKA.

MBONA ANAFANYA FAIR SANA, TANGU MCHANA ALIWAMBIA ATAPIGA WAPI, SO NI MTU POA TU SEMA BINADAMU VICHWA VIGUMU​
Hakuna haja ya kubishana nae. Sababu Ukraine hawezi tuma kombora likafika Urusi na kwa hivyo vitu vinavyoshushwa kutabaki majivu hapo.
 
Umeandika as if umekalia gunzi la muhindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…