Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🔥 Medvedev (ex Russian president) - “Some regular idiot— who is a former minister from Latvia, sent a signal that NATO and the European Union are gonna take Kaliningrad from us. Looks like he drank or ate something bad. Proposes to start a third world war. He will come to his senses- he will be afraid of every rattle at the door. And rightly so. We have a good memory.”
 
Duh....
 
Siku si nyingi watakaa chini wayajenge presha imekua kubwa mno
 
Na huu ni muda mzuri kupeleka hizo THAAD na PAC-3 kiev maana kumeanza kuwaka moto ndo tuzione

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Awape Na THAAD

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaupiga mwingi mno humu kwenye huu Uzi. Big up sana[emoji106]
 
Ukraine wanapata loss kubwa sana hapo Snake island.

Hii ni mara nyingine Ukraine wanaenda kujaribu ila wanafeliView attachment 2274804View attachment 2274805
Russia said ....

In fact Ukraine haiwezi ota kuichukua Snake Island. Hakuna kamanda mjinga ataiteka Snake island ambayo haina lolote la maana kwenye ulinzi ukiwa nayo na ni njia ya kuharibu silaha na zana za Russia zikiwa hapo. Ndio maana mara zote Bayraktars na rockets kama HIMARS zinashambulia silaha za Urusi hapo. Snake island haina maana kuwa chini ya Ukraine kiulinzi, waichukue then what. Russia ndio wanaweza itumia kufanya amphibious landing kwa Ukraine lakini mara zote Raptor boats pale, landing crafts na silaha nyingine huwa zinapigwa na Ukraine. Snake island iko within range ya rockets na artillery. Kama walilipua Moskva iliyokuwa mbali washindwe pale karibu.

Nenda YouTube zipo video nyingi sana za nyakati tofauti Ukraine wakishambulia Snake island. Sasa walitaka kuitwaa kwa kutumia nini kama hawajaenda na troops
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…