STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,601
Nimeona asee MAURIOPOL inaanza kujengwa upyaaaMchakato wa kuijenga upya mariupol umeshaanza. Pesa ya kufanya reconstruction imekopwa kwa wajerumani wa tandahimba.
Ndugu hao Security council wametoa macho gani?!?! Ukiona habari inatangazwa Sana na media za west ujue ni propaganda tu...na Bucha ilikuwa hivyo hivyo..eti non-functioning shopping cente !! fix baada ya kuona wametolewa macho na UN security council
Hii iko sawaNimebadili rangi kwenye my recent post,inaonekanaje?
Ona uongo wa bbcBoris wa Uingereza awatamani wanasayansi wa Russia kwa bongo zao zilivyo juu zaidi ktk tafiti mbalimbali za magunduzi ya mambo anua ikiwemo makombora, (hypersonic missiles, Iskandar-M missile, Sarmat missles) na missile defence tech. Awaomba wanasayansi hao wahamie UK wakawapige brush wanasayansi wa UK wenye uwezo mdogo kimagunduzi
=====
View attachment 2275143
Boris wa Uingereza awatamani wanasayansi wa Russia kwa bongo zao zilivyo juu zaidi ktk tafiti mbalimbali za magunduzi ya mambo anua ikiwemo makombora, (hypersonic missiles, Iskandar-M missile, Sarmat missles) na missile defence tech. Awaomba wanasayansi hao wahamie UK wakawapige brush wanasayansi wa UK wenye uwezo mdogo kimagunduzi
=====
View attachment 2275143
Hivi Ukraine mitambo ya ulinzi wa anga wanayopewa na magharibi wanaifanyia nini? Mbona kama anga lao wanategemea lilindwe na nguvu za giza! Kuna Iris-T walipewa na Germany, haijaanza operation?Zelensky anasema kuwa Urusi imemimina makombora kwenye shopping centre iliyokuwa na watu zaidi ya 1000 ndani.
Mwambieni Zelensky aache kuficha silaha kwenye maeneo ya shughuli za kijamii.
View attachment 2274594
Imeshachukuliwa?? Usifurahi mapema... Ramani ninayoona inaonyesha theluthi 2. Kweli mafanikio kwa Taifa Teule baada ya miezi ya vita na kupoteza makumi elfu?? Amka, kaka!Una mahaba na nchi za NATO tu, baasi. Donbas siimeshakuchuliwa na Urusi au unaongea Ukraine ya Ukonga?
Badala ya kujadili ushindi anaanza kuogopa anaweza kupoteza Krim?? Pole.Any attempt to encroach on Crimea will lead to a declaration of war on Russia, if a NATO country does it, World War III will begin - Dmitry Medvedev
Wewe jamaa mbona ghafla hivi umekuwa empty minded?Sasa kina nani wamekataa kulipwa? Creditors na walioweka vikwazo ni makundi mawili tofauti. Kwenye kununua bonds ilikuwa specific zitalipwa kwa USD na ndio mara zote hulipiwa uko sasa unasemaje "wakubali kulipwa kwa Ruble". Kama ni hivyo hakuna maana ya makubaliano yale
Usipate tabu na kutumia nguvu sana kuelewesha. Nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi hata ikikataliwa kuwa si nyeupe au nyeusi. Uhalisia utakubalika tu wakati utakapofika.Kabisa yaani inashangaza jamaa kutoka kua nyutro mpaka kua upande ule wamagharibi
Na sawa hatumpangii mana hatutaweza sababu kashaamua ila awe basi anaongea ukweli sio kuleta mambo kwakishabiki hapa hatutamuacha tutampa ukweli wamambo ulivyo
Kabisa Grand alikua analeta mapinduzi ila jamaa wakamla kichwa kwakuropokwa kwake akirejelea hope akili itamkaa sawa
Ila hata Proved huyu nae kaamua kuwa bendera nae ila wakitudanganya hatutawaacha
Walau kwasasa kabakia Tsh huyu kwambaali anakua anaelewa ingawaje nae kunamuda anazirusha kidogo
Yote kwayote acha tuendelee kuwatwanga msasa pengine wanaelewa ama wataelewa huko mbeleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Boris wa Uingereza awatamani wanasayansi wa Russia kwa bongo zao zilivyo juu zaidi ktk tafiti mbalimbali za magunduzi ya mambo anua ikiwemo makombora, (hypersonic missiles, Iskandar-M missile, Sarmat missles) na missile defence tech. Awaomba wanasayansi hao wahamie UK wakawapige brush wanasayansi wa UK wenye uwezo mdogo kimagunduzi
=====
View attachment 2275143
eti non-functioning shopping cente !! fix baada ya kuona wametolewa macho na UN security council
Any attempt to encroach on Crimea will lead to a declaration of war on Russia, if a NATO country does it, World War III will begin - Dmitry Medvedev
Kuna vita za aina nyingi [emoji41][emoji41][emoji41]