Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

PIGO JIPYA KWA URUSI - MAJIRANIII HAOOO NATO NI FINLAND NA SWEDEN - UTURUKI YATOA BARAKA ZOOTE.




Turkey has lifted its veto over Finland and Sweden’s bid to join the NATO military alliance after the three countries agreed to protect each other’s security, ending a weeks-long drama that tested allied unity against Russia’s invasion of Ukraine.
 
Mkwara mbuzi !!
 
Kufikiria nchi yoyote itakaa imalize kulipa deni lake ni umbumbu wa kiuchumi( kotokujua uchumi wa nchi unavyofanya vipi kazi).

Ili mradi nchi na serikali ipo nchi itaendelea kukopa tu madeni mapya huku ikilipa ya zamani.

Na hicho kinachoitwa deni la US ni Treasury bills na bonds ambazo nchi nyingine, makampuni makubwa na watu binafsi wananua kila Fed inapouza. Sio kama mikopo yenu ya Zimbabwe ya kuweka nchi rehani.

T-bills na bonds za US zinanunuliwa zaidi na Wajapan, Wachina n.k kwa sababu wanaamini watalipwa. IMANI ya wanunuzi kwa serikali ya US ndio mtaji wake, na hata siku wanunuzi wake wote wakitka walipwe hayo yote yanayoitwa madeni kwa mkupuo na US ikashindwa itakuwa ni kuharibika vibaya tu kwa uchumi wa dunia YOTE. Hayo ndio yatakuwa matokeo ya kushindikana kulipwa kwa deni la US[emoji1787].

Huu uzi una mbumbu wengi sana wa uchumi hadi unatia kinyaa.
 
Mkwara mbuzi !!
Mkwara Mbuzi?Subiri waendelee kufanya ujinga.Nia hapa ni kuonyesha uungwana na kuwafahamisha kwamba Urusi wanajua walipo na kwamba kama itakuwa lazima they will be hit.

Hata hivyo nakushangaa sana frankly,unafurahia mafanikio ya Shetani!!!! Mwanadamu!!!!Haingii akilini.Wewe Aidha ni mjinga sana,au mpumbavu.Wake up,you are in deep slumber.
 
Watoto wote wa Erdoğan , wanafamilia wake na wakwe zake wamesoma US na Ulaya na hao ndio Uturuki yenyewe hasa.
 
Huyu ndio mwamba sasa niliyemiss kusikia habari zake😂😂😂 naona kaamua kuongeza kikosi ili kuwanyakua zaidi vijana wa Comedian kilizi Zelensky
 
Tanzania tuna maisha mazuri, You can take a bath infinity times no authority will fine you. Wenzetu kuosha mara 2 nywele ni kosa, faini juu. There water rationing kijiji flan huko Italy. Hey buddies, walisema ni matajiri sana eh? Wazee wa vyoo vya msaada mko wapi wadau wangu.


⚡⚡⚡Italian hairdressers will be fined for double shampooing clients, writes The Guardian.

Hairdressers are required to save water because of the country's worst drought in decades. Such measures were introduced in the city of Castenazo, 10 km from Bologna.

Water rationing measures have also been introduced in other Italian cities. For example, public fountains were turned off in Milan.
 
Kuhusu Urusi kurusha kombora juu ya Super Market .....

“It’s not going to work – the Zelensky government is very clearly fighting back.

“But this is the Russian way of war.

“They don’t discriminate between civilians and combatants.” 😀😀😀😀😀😀
 

Ndio Raha ya kua na msuli haufanyiwi maamuzi ila kwa maslahi ya wananchi wako.

Huku tunashupalia misaada hatujui kua ni pingu zetu wenyewe ila kwa sababu mzungu kasema ni neckless tusiogope tunashangilia.

Kwa namna yyte ile hakuna kinachomshinikiza Turkey.
 

Shakedown successful!Turkey to green light Sweden & Finland entry into NATO​



Reports are coming in that a deal has been struck whereby the country of Turkey will agree to vote in favor or both Sweden and Finland joining NATO. The Turks previously said they would never agree; seemingly dooming the entry of both countries.
Turkey, Sweden and Finland signed a tripartite memorandum on the NATO membership processes of Finland and Sweden.
A photo released from the meeting wherein the deal was allegedly struck, shows lots of outright frowns on the faces of attendees.

None of the attendees look happy at all.
One wonders who got how much, and from whom, to make this deal happen?
 
NATO wataicheza sana ngoma ya Urusi mwaka huu 😂😂😂
 
Ukraine waendelee kuficha magari na silaha za kivita kwenye super markets, misikitini na kwenye makazi ya kiraia alafu zikija kulipuliwa wanalialia kutaka huruma ya jamii.
 
Mkuu usitegemee kwamba mambo yatakwenda vizuri kwa Russia all the time,there will be setbacks at times,hasa kwa vile the NWO cabal imeshaamua kui-annihilate Russia at any cost.

The satanic and demonic Western governments must however realize that this will only happen at Gods' choosen time,sio Satans' time,who they represent.
 
This man need a doctor, seriously 😂 Au yawezekana He took the wrong cheat sheets.

Your browser is not able to display this video.

🇺🇸 President Biden said that "NATO itself threatens its position."

The American leader said this while speaking at the alliance summit in Madrid.

"The bottom line is that together the alliance threatens its positioning... deals with threats and strengthens its position against threats from the East and South."
 
Urusi leo nawasalimia Shikamooni wazee wa Kaspersky
 
Ukraine waendelee kuficha magari na silaha za kivita kwenye super markets, misikitini na kwenye makazi ya kiraia alafu zikija kulipuliwa wanalialia kutaka huruma ya jamii.View attachment 2276153
🤣🤣🤣Sa ndio naelewa kwanini wajamaa wapiga sehemu ambayo sio ya kivita, asante mkuu. Kumbe Ukraine wanaficha huko silaha
 
Yes bro! Si wajua tena mambo ya Pro-NATO yalivyo... Kalishupalia sana.
Kwani hayo maswali yanahusiana vipi na hii mada yetu!?

Anatupotezea muda,ye kama hajasoma form I shauri yake.

Hapa maswali yajikite kumu husu PUTIN wetu URUSI na viongozi wake na haka KA-OP kanakoendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…