For him hakuna lililo kweli basi.Na kama unadhani sio kweli do your own research.Hiyo ndiyo logic and rationalityAtakwambia huyo mzee ni mwali wa Putin.
They can't be everywhere.Anyway nadhani akili yako wewe ni ya panzi.If they are fighting the NWO,na NWO ndio walio-recruit M23 ili watengeneze mazingira ya kuwa-ibia resources zenu,huoni kwamba they are fighting on your behalf?Acha uzuzu wewe,this is common sense,huhitaji PhD kuelewa.Russia hawezi ku fight on our behalf my dear,wangekuja kutusaidia huku kongo tuwe na amani kama kweli wanatusqidia
Usifikiri urusi ni fala. Kuondolewa vikwazo na mazuio huko sijui fifa, uefa nk. ni hatua inayofuata baada ya OP.Kaka vita ina gharama kubwa mno kwa siku, sisi tulipigana vita miaka ya 70 lakini toka hapo uchumi ukayumba hadi leo.
Tena hii vita haiishii kwenye Uchumi, Mrusi aanze kujiandaa kufanya yafuatayo:-
- Kuanzisha mashindano yake maana FIFA hatutaki kumwona sura yake
- Kuanzisha UEFA yake maana hatutaki kumwona sura yake
- Kuanzisha Olympic yake maaha hatutaki kumwona sura yake.
- Michezo yote inayohusisha Umoja wa Ulaya na NATO hatutaki sura yake.
Yaani ni hivi ndugu zangu Dunia ya leo usijifanye mtemi utaumia - huwezi kujitenga na wenye nguvu wenzako, atapata madhara mengi mno huyu anayejiapiza kwamba ni mtemi wa Dunia subirini anguko lake.
For him hakuna lililo kweli basi.Na kama unadhani sio kweli do your own research.Hiyo ndiyo logic and rationality.
Pole sana - hatarusha. Wala hapa poland wala huko Lithuania. Maana jeshi lake tayari linashindwa kumaliza Ukraine yenye silaha za kale kutoka urusi. Anajua vema hana uwezo dhidi ya majeshi ya NATO. Hivyo atapiga kelele hapa na pale, kuonyesha kombora hapa na pale - menginevyo hatafanya kitu.Putin rusha kitu juu ya hii Military base ya US ipo Poland tu.
WASHINGTON —
The first American troops arrived in Poland Saturday to reinforce NATO allies in Eastern Europe, Poland’s Defense Ministry said, amid fears Russia may invade neighboring Ukraine.
View attachment 2276494
View attachment 2276498
AhahahahhGOOD NEWS
70 foreign banks from 12 countries joined the Russian equivalent of SWIFT.
This is reported by the Bank of Russia.
Unadhani hivyo!! Sawa...endelea kufikiri hivyo hivyo Ndugu yangu....sawa, sasa ya nini yote hayo ujitenge na Dunia ndugu!! hilo kombe nani ataliangalia. Nchi za Africa si za kuamini eti zitajiunga na shirikisho la Urusi.
Kwanza africa nani anaangalia ligi ya URUSI by the way !! South America hawawezi kukubali ujinga wa kujitenga na wanaojua kandanda sahau.
Wachezaji mahili wa Urusi wanaocheza Ulaya watapewa uraia ili kuendelea kucheza soka kwa viwango vya Dunia. Mrusi kayakanyaga sheikh.
Mkuu ukisema ungetoa ARV kwa watoto pekee je ni haki? Kumbuka wakinamama ambao hawakuenda nje ya ndoa hata mara 1 lakini bwana alijipatia HIV kwa siri na kumpa mkewe. Vipi huyu hastahili? Tena ukipenda kuhurumia watoto - je itasaidia nini ukikubali wazazi wafe tu? Nani ataangalia watoto?Hivi nyie watu mnashida gani? Mmepewa ngoma hawataki kuwapa dawa waendelee kuwapiga kwenye ARV na mnacheka tu.
Mimi ningekua Rais nitasaidia wale watoto waliopata kwa bahati mbaya either ajali au kuzaliwa nao ila kama unafanya ngono zembe sahau kuhusu ARV utajihudumia. Utaone jinsi watu watakavyo nyooka kama hawatakua makini na ngono kuna vitu Africa tunajiendekeza tu.
hao hawajawahi kujua vita, ni wazee wa kuvizia watu wapo mskitini unarusha bomu afu unajifanya wewe komandoo.Kuna huyu mwamba alizungumza jambo nikacheka kinoma View attachment 2276467
Kama mnalijua hilo mlishindwa nini miaka 20 kuwafuta... He he he zile ni Semi heavy duty sio vijiFuso mjomba [emoji23]hao hawajawahi kujua vita, ni wazee wa kuvizia watu wapo mskitini unarusha bomu afu unajifanya wewe komandoo.
Umesema kinyume chake....south America, Africa na Asia wanaweza wakaunda shirika lao la soka na kuiacha Europe na North America...
It is quite possible....na hili limeanza kujadiliwa
Kuna mawili nayaona kwnye comment zako,kutokujua kunakoletwa na kutosoma ama ubishi unaoletwa na kujua sana.
Nmeshakwambia Finland amejiunga pindi wenzie wanapigwa so vgumu Urusi kuishambulia at the same time yaishambulia Ukraine, si jambo la imani kwamba imevamiwa kwa ajili ya kutaka kujiunga NATO but fact maana mwenywe Putin aliweka hlo wazi (nmekupa link hapo usome why kashambulia hujasoma waja kuhoji hoji kwa uvivu wako wa kusoma).
Whether intelijensia ilisema ama la ila uvamizi wa Ukraine ulikuwa hauepukiki maana asingewafanya alichowafanya wangemdharau majirani wote na wangejiunga eventually maana wangemuona No Action Talking Only.
☆ Donetsik na luhansik yatambulike kama majimbo huru na siyo kama sehemu ya NATO na jeshi la manazi ya Ukraine kutest dhana zao za kijeshi na kuua wakazi hovyo
☆Ukraine isitishe mara moja ushirika wake wa kijeshi na NATO (mazoezi, Mafunzo na silaha za kijeshi za NATO) kwa usalama wa mipaka ya russia na watu wake.
☆Ukraine isijiunge NATO.
☆No USA biolabs in Ukraine.
☆Ukraine iache mara moja kuwatumia manazi na mabandera kuwatesa na kuwaua waukraine wenye asili ya Urusi.
Mwisho kilichoiponza zaidi Ukraine nikujifanya kama anaiweza Russia hadi akaona njia rahis ya kumaliza mgogoro wao ni Vita, kwa kutangaza Rasmi Vita dhidi ya Urusi, ndo hapo Russia akatumia msemo wa wahenga wa "MTOTO AKILILIA WEMBE MPE UKIMKATA SHAURI YAKE"
Sema kwa vile Putin nikama mzazi kwa Ukraine akaamru Vikosi vyake visiende kupigana Vita kama Zelensky alivo amru bali vikaendeshe special millitary operation tu. Maana siyo vizuri mtoto kumuadhibu kama adui.
Hahahahaha anapata tabu sanaUnateseka ukiwa wapi??
Ahsante sana kwa videoUnajua mkuu,wewe kama binadamu kama unajitambua,hupaswi kushangilia jambo kama hili,kwa kuwa huu ni ushindi for humanitys' adversary-Satan.Western governments are representatives of Satan or the NWO, while Russia is fighting on our behalf.Acha Uzuzu mkuu,wake up.Watch this👇,labda akili itazibuka.
@Yericko Nyerere inakuhusu hii MKUU maana muda sio mwingi kupitia zile apdet zako unazotupatia unaenda kula BANNow when I posted about Russian military Success and Crushed Azov Battalion, The Facebook said my post Goes against Community standards. Now any Facebook Controller Read this very Slowly and Understand. I AS WALTER SHALL SUPPORT RUSSIA TILL DEATH DO PART ME. And that I WON'T fear to be banned. I am HAPPIER without FACEBOOK. I have said it. You can do what you want !