Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ugoro ni huo wa kuamini NATO ilikosa mahali pengine pa ku test zana zake hadi iende kufanyia majaribio huko Luhansk au Donetsk.
 
Ataangushwa asipoangalia, Kwa Sasa wenzie Wana plan na mioangoya mapigano kimiundimbinu Hadi next year yeye Putin asijeina kesho vita iishe arekebishe uchumi wake.

😂😂😂😂Yaani akithubutu kusema yaishe imekula kwake mazima na wale watu ni A+ haya mawazo hawana ni sisi tu apa.

Arekebishe miundo mbinu gani wakati vita haipiganwi ndani ya ardhi yake?

Arekebishe uchumi gani wakati kupitia hiii OP ni email za kuomba huduma kutoka kwake zinaingia kila sekunde.

Wao wanakaa kwenye vikao yeye yupo kwenye mipango(vikao) kabla ya kuanza OP mpaka hapa tulipo,wanaokaa sasa ivi wamechelewa kuchanga karata zao.

Kuhusu kuangushwa haliwezekani katoa kauli moja 18% ya nguvu kijeshi katumia (zelenks alisema ni wastani wa mabomu 1000 kwa siku wanarushiwa) akaenda mbali zaidi kawaita wote ni wazi kua anawamudu.

😂😂😂😂Jiulize 18% ya nguvu za kijeshi kwa taifa lako tungekua tumebakiwa na nini?

Safari ni ndefu zaidi ya nilivyokua nawaza kabla ya OP.
 
Kwahio ushirikiane na shetani kwa sababu ni mtemi mwenzio?😂
Get to your damn senses bro! Hao NATO wanataka ushirika na wewe ili wajinufaishe wao by the end. Dunia ilikofikia you have to fight for everything. Ukitaka kuwa mnyonge watakufanya kibaraka wao
 
Kwa Sasa USA ana organize Ulaya waweke Kambi Poland na nchi jirani na Russia, this is joke.

Source: BBC leo
Biden ameshashauriwa tena na tena: ^Do him whatever, Joe. Only that don't touch him personally, never, ever! Stick to the script! For US has nothing to do (another way of saying, incapable of dealing) with Putin.^
 
Umesema kinyume chake....south America, Africa na Asia wanaweza wakaunda shirika lao la soka na kuiacha Europe na North America...
It is quite possible....na hili limeanza kujadiliwa
Jamaa amefungwa kiakili sana. Yani bila hizo FIFA na UEFA zenye baraka za mashetani anafikiri waliobaki duniani nje ya NATO hawawezi fanya mambo makubwa sijui. Ngoja waanze na sarafu mpya ya kibiashara ndo atafunguka akili vizuri kuwa NATO si Miungu.
 
Ugoro ni huo wa kuamini NATO ilikosa mahali pengine pa ku test zana zake hadi iende kufanyia majaribio huko Luhansk au Donetsk.
FYI: US anatumia kigezo cha kuimarisha usalama na uchumi wa mataifa mbalimbali kwa kusudi la kuyatawala inavyopenda. Soon nchi zote duniani zitaongezwa kwenye idadi ya majimbo yake 50++ Talk about NWO strategies! Tena usishangae wakaanza na Jamhuri ya Muungano wa Watazamaji 🙂

Unategemea nini taifa lingine likiweka zana zake za vita nchini mwako? Unaishije na familia nyingine ndani ya fensi yako? How does it ^come-come,^ hata?
 
What is so special about BRICS??

EU wana Sarafu moja ya Euro, wana mfumo mmoja wa demokrasia, wana UEFA, wana free movement ya bidhaa na watu, wamekubaliana na wanatekeleza standards nyingi, wame set bar high kujiunga nao n.k

Hiyo BRICS ina kipi special sana hadi tunasikia kelele zake zisizoisha hapa.
India wako na demokrasia, wenzao China na Russia hakuna demokrasia. China itakubali kufungua soko lake liwe free kwa bidhaa za India au South Africa kwa bidhaa za China??

Kwanza kuna vigezo gani vya kujiunga na huo umoja au yeyote tu akiamka akijisikia kutaka kujumuika anaingia?! Shambolic like AU
 

Mimi tuu single digit ukileta ahsante ahsante utatumika mpaka uchakae😂😂😂 imagine nchi yenye kila kitu yaani kama n bigii haubaki hata na rangi uonewe huruma ww naniii?
 

Wanatafutwa wenye sumu na EU na US ili likitokea la kutokea hakuna Muda wa kukusanya hasira😂😂😂ni kazi kazi.

Wakubwa zako wanaelewa ndio maana kila siku kiguu na njia.
 
Korea Kaskazini haina majeshi ya US nchini mwake, ina kipi cha ajabu kuizidi Korea Kusini na Japan zenye majeshi ya US ?
Japan na Korea Kusini wanatupa misaada hadi sisi. Sijui unamaanisha nini ukisema wanaishije!
 
Tulia dawa ikuingie, mazishi ya Euro na USD yako karibu
 
Kipi kinatochuzuia sisi, Burundi au Zimbabwe kushindana na Marekani au China??
Dunia inataka ushindani on a ^win-win,^ fair ground. Lakini Marekani yenyewe inatamani na kupanga kuuatamia ulimwengu wote kama mali yake. Pathetic!
 
Shida ya wanachama wa NATO ni kushikiwa akili na USA na hili ndio tatizo la kwanza tutakaloanza kuhangaika nalo kuwavuruga. Ni kuua ushawishi na nguvu ya USD kwenye biashara
 
Homicidal dictator anabwabwaja tu, hakuna mwenye akili nzuri anayemwamini au kumzingatia tena.
 
Warushe kiuchafu chochote urusi ili wachezee iskander hadi wapoteane hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…