Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mzee Organize your writing in paragraphs, that way ipo kama uchafu haivutii kusoma.
 

Mimi wa huku namtumbo naona kabisaa RUSSIA uchaguzi wake ni wa kimkakati kwa wale wenye bifu, nguvu na utayari wa kupambana na EU na US.

A+.
 
Alafu utasikia wajinga akina FUSO na mwenzake Yoda , marekani wanaweza kupambana na Russia,hebu fikiria F-35 zilivyo za kisasa zimeshindwa na jamming system ya Urusi pathetic!!!

‘Suppressed’ By Russian Electronic Warfare; Missiles Fail To Hit Target – Local Media Claims​

By
Tanmay Kadam
-
June 29, 2022
https://www.facebook.com/sharer.php...ers-suppressed-by-russian-electronic-warfare/
F-35 Stealth Fighters ‘Suppressed’ By Russian Electronic Warfare; Missiles Fail To Hit Target – Local Media Claims
By Tanmay Kadam- June 29, 2022
 
Mkuu kama
ulivyosema haulipwi,lakini hiki mnachokifanya humu kwenye huu uzi ni kikubwa sana.
Naamini sisi wote ni wakubwa(watu wazima).

Inabidi tuonyeshe huo ukubwa wetu kwa wanaotusoma.
Humu pro russia mmejipambanua kwa ujengaji wa hoja.
Nafikiri hapa kuna mitazamo tofautitofauti na ndio inayotufanya tujadiliane humu,kuna mahaba(siyo yale ya chumbani).

ILA mimi naamini watakaokuwa sahihi ni wale mitazamo yao itakayoleta matokeo chanya.
Hata hicho mlichokuwa mnabishania ni matokeo ya pitapita yenu katika elimu

Ninakusihi usifikie/msifikie huko kwani ni kawaida katika mijadala inayodiliwa na wasomi.


Kwani mkizidi sana usomi/akili utaondoka/itaondoka mtabakia na kile cha awali.Mtadharaulika na hata kwa yale ya mwanzo wakati tayari mmeshajijengea jina tayari.
TUENDELEE NA PUTIN WETU
 
Ndugu, ina maana wewe. Ni smart zaidi kuliko hao walioanzisha hiyo BRICS?!!
 
Zama za Democrasia ya propaganda anayohubiri US duniani huku akiitumia kama kichaka cha kuchonganisha mataifa mengine kwa kisingizio cha uvunjifu wa democrasia kisha anaingiza majeshi yake kufanya looting ya dhahabu na vitu vingine vya maana inakaribia mwisho.

Tuombe hii operation itoboe December ili kina Boris wavurugane hapo mjini UK baadq ya kukatiwa gas supply huku Ruble ikiwa ni 15 against USD
 
UJUMBE

Kutoka kwa kijana halisi wa Africa hayati Chinua Achebe.

"The white man is very clever. He come quickly with his religion".

We were amused at his foolishness and allow him to stay Now he has own our brothers,and our clan can no longer act like one.He has put a knife on the things that held us together and we have fallen apart.

NB
Huu ni ujumbe nimependa kushea nanyi ukipenda kudadavua jaribu kuhusianisha na uzi huu ili kutokukera watu.

G.morning.
 
Uganda si wanazalisha ARV watatupA jirani zao
 
Dah! FUSO kama FUSO!
Hivi fuso si ndio linabebaga matikiti?
 

Nashukuru kwa kutumia muda wako kunionya na kutuelekeza.

Hayo yote yalitokea kwenye PM ila mwenzangu ndio kalileta hapa.

Thanks again nadhani yameisha wala sitataka kitu kama hiki kijirudie tena.
 
Kama Ukraine wanaweza kupambana na Russia hakuna nchi itashindwa kupambana nayo.
 
[emoji777][emoji2925]🇺[emoji1218]🇷Negotiations between Iran and the United States on oil have failed[emoji777]
Taarifa njema hizi [emoji276]

Meanwhile

[emoji95] The Presidents of Russia and Iran met within the framework of the Caspian Summit.

Putin said that Moscow and Tehran are in constant contact on political and security issues.

Raisi invited the President of the Russian Federation to cooperate on the Caspian Sea in the field of transport, transit, fishing and tourism.
 
[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Asichokijua ni kwamba individuals na mataifa huimarishwa kwa mapambano, siyo kujikalia tu bila adventure.
WAKUU naelewa historia US akipata shida sana Vita zake alizopambana one to one. Lkn najua pia US anataka kuaminisha Dunia kwamba wengine hawawezi defend sera za nje, albeit Ukraine na interest ya kutaka kulala na panga Kwamba mumeo hatakuelewa. So ilikuwa lazima apigwe, ....

Wananchi wa Ukraine wasichokijua ni zele kuwaingiza vitani bila sababu. Zaidi ya hapo ni hapa ambapo tunakwenda kushuhudia Separation za hizi hegemonic power

Na ninyi mnadai speech hii is a dead one. Atapeleka majesshi Poland na kanchi kengine Kwa mwamvuli wa NATO. Trust me. Putin atafanya nini tusubiri tuone
 
Putin ni akili kubwa sana
 
Ukiacha nyuklia ni zana au silaha gani nyingine ya kivita ambazo Russia hajatumia kwenye hii mnayoita Operation??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…