Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mfano ukiangalia kuondka kwa Warusi Snake ISland. Ukpenda kuamini walikwenda kwa hiari yao, basi. Siamini.

Naelewa malezo ya Ukraine, kuna uhusiano na mizinga yao mpya ya 2S22 Bohdana. Wana chache tu lakini zinaweza kurusha grenedi janja 6 kwa dakika. Labda wameweka mbili tu kwenye pwani linalotazama kisiwa, ilhali wana picha kamili ya kila kitu, waliweza kuleta uharibifu mkubwa, bila Warusi kuwa na uwezo kujibu. Hivyo walikimbia.

Sasa mizinga hii iliweza kupiga kisiwa kutoka sehemu ndogo ya mwambao pekee, maana hazifiki zaidi ya kilomita 40. Sehemu hii ya mwambao iko kusini kabisa, karibu na mpaka wa Romania, urefu kama kilomita 16 na kutoka huko umbali hadi kisiwa ni chini ya km 40.

Kama Urusi ingekuwa na uwezo wa anga, ingetuma ndege 2 na kufyeka mizinga ya 2S22 Bohdana,
Ila hawakufanya. Kwa nini?

Nahisi wanakosa uwezo.

Hivyo afadhali kuwaondoa wanajeshi hapa kuliko kutazama jinsi walivyouawa wote.
 
Wanavyo ng'ang'ania utazani Wamerusha hata baluti tu pale Snake Island mpaka Russia kuondoka.

Russia kaondoka kwa malengo mapana Sana. Subiri muone...
Hakika kuna mtego umewekwa pale, putin akili kubwa sana na wanao mzunguka ni hatari kuliko yeye putin, Tuvute subirá kidogo hamta amini 😂😂😂😂
 
Nato kaeni kwenye kisiwa
 
WITHOUT SNAKE ISLAND OR CRUISER MOSKVA, AN AMPHIBIOUS ASSAULT ON ODESA IS ALL BUT IMPOSSIBLE
Snake Island is what we call "Decisive Terrain" for Russia if it wants to land forces and attack Odesa from the sea. It would provide a vital and unsinkable position from which to base air defense systems to cover the assault, as well as anti-ship missiles and long range artillery to support the landings themselves.

They might probably have been able to do that with just the cruiser Moskva... but the Ukrainians converted that ship into a submarine now, and it is not much help to Russia in that capacity. [emoji846]

For Ukraine's part, they don't actually need the island. They just need to keep the Russians off of it.

They have now accomplished that. [emoji6]

Click&read more from BBC

#ukraine #Russia #Putin #snakeisland #HarryRamsbottom
 
Russia will come up with novel solution , Ingawa niliwahi kusema kuchelewa kuchukua Oddessa ni tatizo kubwa sana kwa Russia ingawa itachukuliwa
 
Nato kaeni kwenye kisiwa
Mkuu, hakuna NATO huko. NATO haiko Ukraine, na Ukraine haiko NATO hadi sasa wala haikuwepo. Labda kwa bahati mbaya. Ninaamini Bwana Putin angehofia kushambulia nchi ya NATO.
Lakini kwa upande mwingine, siku hizi NATO ina madai fulani kwa nchi kuwa mwanachama, kama vile demokrasia, au kupinga ufisadi. Zamani hawakufanya vile, siku hizi ni tofauti..
Hapa kuna kazi bado nchini Ukraine.
 

Mkuu unachoongea una uhakika nacho? Unaweza nipa evidence?
 

Kabla hatujaendelea hizo habri ndo naskia kwako naomba evidence afu tuendelee na majadiliano
 
Hakika kuna mtego umewekwa pale, putin akili kubwa sana na wanao mzunguka ni hatari kuliko yeye putin, Tuvute subirá kidogo hamta amini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaleyale ya kyiv mtu akapiga U-turn sasa acha waneng’eke kuna jambo linakuja. Ila asilimia kubwa eneo la bahari lipo chini ya Russia
 

Kwamba ndugu yetu unataarifa za Ukraine mpaka unapingana na Washington post ausioo[emoji1316]
 
🤝🤝🤝👏👏👏Kichwa kingine chenye akili hiki
 
👏👏👏👏Kwa Putin
👏👏👏👏Kwa🇷🇺
 
An Island of that size is an easy target for advanced military might, Russia know this and have to make a tactical retreat.
Even Ukraine won't mount that island except for a suicide mission.

Russia played a smart one. It is a planned operation not zigzag and chancing.
 
Una mapenzi hata shetani anayaogopa.unajua maana ya kumiliki anga?
 
Nani kakwambia kisiwa kimerudi kwa wa UKRAINE. Ukraine ni ngumu kukifikia kile kisiwa maana kuna meri na bost za patrol kwenye black sea.ili ukichukue unabidi uwe na jeshi la majini
Hakuna jambo la kushangalia Ukraine kuirudisha Snake Island mikononi mwake. Putin anatakiwa aondoe majeshi yake yote ya Uvamizi katika nchi hiyo na alipe fidia kwa hasara na umwagaji wa damu aliofanya huko.
 
Ingekuwa vita ipo ivyo kama unavyosema basi ingekuwa balaa.Ukraine kwa sasa kwenye anga ndege karibia zote zimedondoshwa na WARUSI.labda drone ambazo ndo zilikuwa zinatumika kushambulia snake island.

Kwa sasa kupeleka silaha Ukraine ni kazi bure maana chochote kinachoingia wanakiona kwa sababu anga ni lakwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…